Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

..Wananchi ndio wamemuandalia jukwaa hilo.

..Wananchi hawana uwezo wa kujenga jukwaa la bei mbaya.
Sasa huyo si kiongozi mkubwa chamani, kwanini asitengewe fungu kwa ishu kama hizo.

Na ile afya yake hilo jukwaa mbona ni hatari sana!!
 
Hadi huruma,kuna mtu kaonyesha kuwa Mpiga picha wake sio ramsi,anatumia simu.
 
muhimu ni ujumbe tu na ukweli usikike , hayo majukwaa ya kifalme ni kule Ccm
Unajua hii kasumba ndio inasababisha watu wawe wezi wakishapata madaraka. Katiba inasema mtu akitaka kugombea ubunge sharti awe na miaka 21 na kuendelea.

Unakuta kijana ana miaka 23 anagombea ubunge kwa chama labda cha SAU, wananchi wanaanza kusema kuwa kijana hana hata gari ataweza kweli kuwa mbunge?? Wanaacha kusikiliza sera anazosema wao wanataka waone mali zake, matokeo ndio watu wanalazimika kukopa hela wakodi ma-V8 na wakishinda ubunge waanze kulipa madeni, wanaacha kufanya kazi waliyotumwa.

Wananchi tubadili mitazamo yetu aisee
 
Sasa huyo si kiongozi mkubwa chamani, kwanini asitengewe fungu kwa ishu kama hizo.

Na ile afya yake hilo jukwaa mbona ni hatari sana!!

..inawezekana kujengewa jukwaa la thamani.

..chama pia kingeweza kuwapa wananchi t-shirt, kofia, kanga, ili waonekane nadhifu ktk mkutano.

..lakini tutakuwa tunaficha hali halisi ya kiuchumi ya wananchi wa eneo alilohutubia Tundu Lissu.

..mkutano wa Lissu na muonekano wa hilo jukwaa ni SOMO ambalo nadhani limewapita wachangiaji wengi.

..kuna umasikini mkubwa hapa nchini, na CCM imewatekeleza wananchi. Majuzi tuliambiwa Tanzania iko UCHUMI WA KATI.
 
Tukiwaambia chadema ni saccos ya mbowe ,vijana wa cdm mnakuwaga wakali kuzidi pilipili haya sasa jioneeni!
 
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea.

Wewe ndiyo wa kuombewa na kuonewa huruma maana kukimbiwa na mke siyo mchezo.
 
Hadi huruma,kuna mtu kaonyesha kuwa Mpiga picha wake sio ramsi,anatumia simu.

..waonee huruma wananchi waliojenga jukwaa hilo.

..hiyo kata wananchi wake wana hali gani ya kiuchumi?

..wakati huohuo Samia kasema anajiandaa kuporomosha bonge ya mjengo wa mabilioni na litaitwa " Samia Complex. "

..pia ametumia mabilioni kutengeneza mabango yenye picha za kumtukuza na kumsifia.
 
..inawezekana kujengewa jukwaa la thamani.

..chama pia kingeweza kuwapa wananchi t-shirt, kofia, kanga, ili waonekane nadhifu ktk mkutano.

..lakini tutakuwa tunaficha hali halisi ya kiuchumi ya wananchi wa eneo alilohutubia Tundu Lissu.

..mkutano wa Lissu na muonekano wa hilo jukwaa ni SOMO ambalo nadhani limewapita wachangiaji wengi.

..kuna umasikini mkubwa hapa nchini, na CCM imewatekeleza wananchi. Majuzi tuliambiwa Tanzania iko UCHUMI WA KATI.
Jukwaa likianguka na akapata madhara ni faida ya nani sasa hiyo??
Hadi hao walinzi wake wamelishikilia jukwaa akipanda means ni tia maji tia maji.

Chadema waache hizo, basi hata angepanda juu ya meza.
Na hii ni kwa usalama wake tu.
 
Kama ilivyo mmaliza yeye mwenyewe
Yeye Magufuli imemmaliza nini? Hivi nyie mnavyojua eti kifo cha Magufuli ilikuwa hukumu ya Mwenyezi Mungu dhidi yake kwa ajili yenu ipo siku hii kauli mtaijutia kwa kifo kulikuwa haki ya Magufuli tu je hawa watu wengine hadi watoto wachanga waliokufa walikuwa na dhambi gani? Hadi wafe au waliwakosea nini chadema au mlifikiri ukiwa chadema hutakufa hata wewe unaandika huu uchafu ipo siku utaondoka
 
Jukwaa likianguka na akapata madhara ni faida ya nani sasa hiyo??
Hadi hao walinzi wake wamelishikilia jukwaa akipanda means ni tia maji tia maji.

Chadema waache hizo, basi hata angepanda juu ya meza.
Na hii ni kwa usalama wake tu.

..Lissu hakuanguka.

..maana yake jukwaa lilikuwa salama.
 
Yeye Magufuli imemmaliza nini? Hivi nyie mnavyojua eti kifo cha Magufuli ilikuwa hukumu ya Mwenyezi Mungu dhidi yake kwa ajili yenu ipo siku hii kauli mtaijutia kwa kifo kulikuwa haki ya Magufuli tu je hawa watu wengine hadi watoto wachanga waliokufa walikuwa na dhambi gani? Hadi wafe au waliwakosea nini chadema au mlifikiri ukiwa chadema hutakufa hata wewe unaandika huu uchafu ipo siku utaondoka

..tatizo la Magufuli ni kutenda ukatili dhidi ya wapinzani, ndio maana kuna kauli nyingi za kisirani baada ya kifo chake.
 
Tundu Antipas Lisu ni Kiongozi wa kitaifa hivyo miundombinu ya maeneo anayofanyia mikutano usalama wake uzingatiwe

Kuna picha nimeona huko twitter Tundu Antipas Lisu akihutubia Mkutano akiwa kwenye jukwaa mfano wa Kichanja cha kupigia Mahindi wakati wa Mavuno yaani mimesikitika mno

Natoa tu angalizo kwenu nyie akina Pambalu na Mwaipaya

Nawatakia Dominica Njema!
maccm bwana kwani jukwaa ndo chakula? kikubwa ni ujumbe kufika
 
Yeye Magufuli imemmaliza nini? Hivi nyie mnavyojua eti kifo cha Magufuli ilikuwa hukumu ya Mwenyezi Mungu dhidi yake kwa ajili yenu ipo siku hii kauli mtaijutia kwa kifo kulikuwa haki ya Magufuli tu je hawa watu wengine hadi watoto wachanga waliokufa walikuwa na dhambi gani? Hadi wafe au waliwakosea nini chadema au mlifikiri ukiwa chadema hutakufa hata wewe unaandika huu uchafu ipo siku utaondoka
Ehee! Na wewe ndo uachega kuhukumu wengine kwani wewe sio mungu! Hukumu ya haki anayo mungu tu. Huna kibari chochote Cha kumuhukumu lissu.

Kumbe una akili alafu unajizima data eeeh!
 
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.

Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.

Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa

Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.

Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Manahangaika sana kwanza mlisema chadema hawawezi fanya mikutano hawana sera sasa mnaleta vihoja.
Mtakojoa dagaa ninyi mafisadi ya ccm.
 
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono

Ilipaswa wawe na uwiano sawa wa vitendea kazi maeneo watakayo hutubia

Ukiangalia mwamba yeye kajichagulia maeneo yenye wafuasi wengi na kambi za cdm

Ingelipendeza majukwaa na menyewe yaendane na hadhi ya mtu atakayelitumia

Makamo mwenyekiti na alikuwa mgombea urais kweli jukwaa Hilo kweli ?
Jukwaa la mwenyekiti wako na mgombea wa urais mzee wa ubwabwa likoje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom