Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

Manahangaika sana kwanza mlisema chadema hawawezi fanya mikutano hawana sera sasa mnaleta vihoja.
Mtakojoa dagaa ninyi mafisadi ya ccm.
Yaani tukome sisi mnaotuletea madokezo ya kuomba hela?

Au hujui kwamba hata ratiba ya mikutano tumewapa sisi?? Haha ha ha haaa Nyumbu kama Nyumbu
 
Lakini mbona hakuanguka? Mwacheni tu tena wangekoka moto chini ya chanja hiyo.
 
Yaani tukome sisi mnaotuletea madokezo ya kuomba hela?

Au hujui kwamba hata ratiba ya mikutano tumewapa sisi?? Haha ha ha haaa Nyumbu kama Nyumbu
Mbona sukuma gang mna gubu kiasi hiki ninyi kama vitoto vya vyau.
Kila kitu mnalalamika tuu.
 
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.

Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.

Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa

Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.

Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Asije kuanguka akadai magufuli kamvunja tena miguu. Huyu akiongea kama ugomvi sasa hilo jukwaa lazima adondoke😂🤣
 
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.

Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.

Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa

Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.

Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Mwanaume pekee aliyabaki.. asiyenunulika..

Mwachee.. tuko naye.
 
Ukiendesha mwendokasi kwenye kibao Cha speed limit 50 na usipate madhara haina maana upo sawa.

..mfano wako hauendani na kilichotokea.

..Lissu ametumia hilo jukwaa na hakuanguka.

..Na Lissu anajulikana hotuba zake si chini ya saa 1.

..tuwapongeze WANANCHI kwa kumuandalia jukwaa Tundu Lissu.
 
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana...
Akili zako za kipimbi sana aisee
 
Tundu Antipas Lisu ni Kiongozi wa kitaifa hivyo miundombinu ya maeneo anayofanyia mikutano usalama wake uzingatiwe...

Bora wamjengee kichanja, halafu watu wajae, sasa watu wenyewe wako 7. Sasa sijui kama ujumbe umefika kweli.
😛😛😛

Sasa inabidi tumpe aka mpya, mzee wa kichanja.
 
Hivi Lissu ameshindwa kutulia na kuwa mungwana kwa Chuo chake aliposomea sheria kwa kuwasaidia namna ya kuondoa mkwamo kwa wanafunzi wa shule ya Sheria?

Mtakumbuka sakata la Shule hiyo ya sheria la hivi majuzi.
Hapana napinga Lissu hawezi kusaidia watu wapumbavu
 
Tundu Lisu ni mwanasheria, anachotakiwa kufanya ni kuanzisha chama kipya, hakuna atakayemzuia, atafuta kabisa chadema na watu wote watahamia kwake.
 
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana...
dah!
Aisee siasa sio poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom