Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

Ukiwaambia ukweli watasema wewe ni chawa wa mama.

J
Jukwaa la mgombea uraisi hilo.

ILa chadema.....
 
Lissu aitishe michango na namba zuwekwe tuchangie.

Inawezekana kutengeneza jukwaa imara simple ambalo anaweza akawa anatembea nalo katika msafara wake.

Lissu hajalipwa madai yake na Serikali Hadi sasa, wanataka awapigie magoti ndo walipe.

Tuko pamoja na kamanda Lissu,

Safari ya kupambania Katiba mpya Si lelemama.

Mungu akubariki.
 
Mwenye kiti kasha onja asali while makamu wake hazitaki hizo tamu
 
Mkuu Countrywide , japo Chadema wenyewe hawajasema, hizi ziara za Lissu, na mikutano yake, ni ziara binafsi ambazo haziratibiwi na chama, bali ni yeye Lissu ninafsi kama Lissu na atatumia fedha zake binafsi!.

Kwa vile buyu la asali limeishatua Chadema, zingekuwa ni ziara za kichama, angeisha wezeshwa.
P
Ni aibu sana kwa mzee kuwa muongo , yaani ziara ina katibu mkuu wa Chama bila aibu unasema ni ziara binafsi ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Countrywide , japo Chadema wenyewe hawajasema, hizi ziara za Lissu, na mikutano yake, ni ziara binafsi ambazo haziratibiwi na chama, bali ni yeye Lissu ninafsi kama Lissu na atatumia fedha zake binafsi!.

Kwa vile buyu la asali limeishatua Chadema, zingekuwa ni ziara za kichama, angeisha wezeshwa.
P
Buyu la asali ni la mfalme mbowe wa chadema
 
Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.

Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.

Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa

Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.

Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Acha mambo ya ajabu , kumbuka anafanya mikutano kwenye kata, so ametengwa kivipi ,chadema hawanaga mbwembwe
Swala hapa sio jukwaa ,swala nikipi unatoa kinywani basi
 
..ubora wa majukwaa unaendana na uwezo wa kiuchumi wa wananchi.

..jambo la msingi ni HOJA anazojwasilisha Lissu ktk mikutano yake.

Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.

Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.

Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa

Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.

Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
😂😂😂
 
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono

Ilipaswa wawe na uwiano sawa wa vitendea kazi maeneo watakayo hutubia

Ukiangalia mwamba yeye kajichagulia maeneo yenye wafuasi wengi na kambi za cdm

Ingelipendeza majukwaa na menyewe yaendane na hadhi ya mtu atakayelitumia

Makamo mwenyekiti na alikuwa mgombea urais kweli jukwaa Hilo kweli ?
Wakimfanyia hila malipo ni hapa hapa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom