Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote.

Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
 
Uchaguzi hakuna mpaka 2030. Hivi nyie masikio yenu mmetega wapi. Hizo Radio mbao na chanzo .......bro hazitawasaidia.
 
Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote.

Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
1770369490657.jpg
 
Wanapima upepo, saizi wako katika mikakati ya kuirudisha imani ya wananchi ambayo imepotea.

Ndio maana unaona hizi pesa zina mwagwa kwa hawa wanaoitwa kontenti krieata.

Tafsiri yake kwa sasa hawako tayari kuona mtu mwingine ambaye yupo kinyume na serikali aliye na ushawishi na mwenye kuaminika kwa wananchi, apate fursa ya kuongea lolote kuhusu serikali.

Japo naona pia kwa upande mwingine kuna pressure serikali inaipata kutoka nchi za kimataifa ikiwemo swala la vikwazo kutokana na hii kesi ya Lissu.

Sasa hapo ni kinachofuata ni calculation of the risk.

Kama upande wa serikali utaona ni risk sana kumuacha Lissu huru katika hiki kipindi ambacho ina struggle kurudisha imani kuliko risk za vikwazo ambavyo tutawekewa, basi siwezi kushangaa kuona danadana Mahakamani.
 
amka utachana shuka
 
Mnamchongea tu, hebu muoneeni huruma baba wa watu ameshateseka sana jela ili hali nyie mpo huru na familia zenu
 
Trump anakuja soon na ndo watajua kwanini opposition is leading mariakan by now. Mimi sitamwambia chochote unless huyo mama sumu ya tz anipgie cmu
 
Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote.

Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
Kuna mijitu lazima yafe ili taifa lipone , Mungu yupo kazini
 
Wamuachie tu huyo mjuba, maana bila yeye siasa za nchi hii zinakosa ladha na taifa linagawanyika vibaya. Lissu kwa sasa ana ushawishi mkubwa wa kuweza kuleta taifa pamoja, anakubalika kwa wananchi wengi
 
Back
Top Bottom