pole sana, sasa jipange next time utapata ambae mnaendana umri na mwenye lips kama hizo
money aint enough ofcourse its a matter of saying am satisfied, if you wont say that to money you will keep on hunting them to death. Mie nazisaka za kunifanya niishi kwa raha nitakavo mimi sio watakavyo jamii.
weeee, thubutuu...unafkiri pochi inasaidia kitu? hayo maeneo yana wireless communication, utashangaa tu hali inabadlika huko chini bibi anaanza kutoa jasho! lol
money aint enough ofcourse its a matter of saying am satisfied, if you wont say that to money you will keep on hunting them to death. Mie nazisaka za kunifanya niishi kwa raha nitakavo mimi sio watakavyo jamii.
hahahahaahhaa kwani weye ni wa pwani atii..............., aaah mie nikishatosheka na kiss yangu nachoropoka mwenzangu akaaa, utasikia mkojo umenibana naenda kukojoa nakuja sasa hv, ndukiiiii, sometimes nakuwa mtundu bin mkorofi bin shiiiidaaaarrrr
kila mtu akaendelea na safari zake baada ya kupata huduma, walau nili enjoy wakati niko kwenye foleni kwa kuziangalia tuu
Kama za huyu hapa....
lips for kissing bana yaani I can last for one hour........... full pumzi halafu hamna kupakana mate..... aaaahhhhhh!!
dia ni ukweli kuna mtu unamuona dah kwa sie wapenda kiss ni sheeedahapana, hujanielewa, sina issue na serengeti boys wala sija fall kwa huyo kijana, yaani ukimuweka mbele yangu mie ntachukua midomo yake tuu kisha yeye aondoke simhitaji, yaani kiss la hiyo midomo nikiliwaza nahisi nikianza simalizi
Nyuma ya hilo bango wanaonesha BET, huyo ni mbongo?
Dont judge all women for my view, a lot of women out there wako against my view, this is me, Kasie na sina tatizo lolote na mwanaume wala mwanamke. I live the way I want only that without breaking the law
Kuna bonadamu mahendisamu........
Nyuma ya hilo bango wanaonesha BET, huyo ni mbongo?
Na watu wenye kuchonga chonga midomo juu ya watu na kujiona kuwa hawawezi kuwa na kitu kisichofaa kwenye jamii ndo huishia kuoa changudoa, yaani mkewe usiku anamuaga, mume wangu naenda kazini na unakuta Junior. Cux anamsindikiza hadi anapoenda kujiuza na kurudi nyumbani akisubiri asubuhi mkewe arudi.
Bora mtu akaoa mke kama mie maana tabia zangu sijifichi ili huyo mume akajua namna ya kukabiliana na hizo tabia, kuliko ukaoa mke anaejionesha mtakatifu aliyeficha makucha kisha ukimujweka ndani ndo unakoma na roho yako, endelea kuchagua hivohivo utakuja jikuta unaoa hilohilo beberu.
FYI am not a wife material, marriage is not in my vocabulary.
haha alijua tayari ushaona ..yaaani lips zile acha kabisa, halafu anavoongea kwa upole sasa na anacheka kwa kujivuta ......... sijui anajua kuwa midomo yake mizuri na alijua kuwa namtazama, kwa kumuangalia alikuwa cool sijui hata ................