Limenijia Tu...

Wanawake bana, sie wanaume hatuna muda wa kuchekacheka na kumuwazawaza mpenz kihiivyo labda iwe mna miadi mkutane saa flan ndo unawaza leo ntampa za kichinachina au za kijapani
 
Hahahahha kuna saa ingine unajisikia tu kuimba nyimbo za mapenzi......afu kwa sauti kuuuubwa

Am in Love, love, love .....Yes am in love
With a D.....Djeyyyyyyyyyyyyyyyyyy
yes am in love...tarararaaa oooh yes I ammmmmmmmmmmmmmmmm tararararaaaaaaaaaaaa

Jamani. (Nacheka mwenyewe ka mwehu ah...........maisha!!)

aaaaaaaaammmmmmmmmmmmmhhhhhh, tirirariririrarirariaaaaaaaaaaaaa
tararariririrarirdaaaaaaaaaaa

dah

ushaniambukiza
 
Wanawake bana, sie wanaume hatuna muda wa kuchekacheka na kumuwazawaza mpenz kihiivyo labda iwe mna miadi mkutane saa flan ndo unawaza leo ntampa za kichinachina au za kijapani
acha urongo wewe.... yaani hujawahi kupata kitu halafu wakati unaondoka ukaana kuimba na kucheza njia nzima??? dah siamini

i remember coming to america eddy murphy baada ya kupewa denda na lisa alikua chizi... what a good feeling!!
 
...Ha ha, kamanda Fidel80 acha maskhara bana,...mawazo hayo ukiyakimbiza mchana, Usiku yatakujia ndotoni!

"...Tell me it's real,
This feeling that I feel,
Tell me it's real,
For your love,
I will do anything"
Tell Me It's Real- K-Ci & Jojo
A%20S%208.gif
A%20S-heart-2.gif

Umenikumbusha mbali sana na hii signature yako
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Chauro na Gaga sijawaelewa vizuri!
penzi lipi hasa? mbona kama always tupo in luv na kama muna vituko hivyo maisha yenu yanaendeleaje wandugu?
 
Eti mwenyewe umekaa umeshikilia kisimu chako unasubiria sms au simu,basi itokee amepiga mtu mwingine na fyonzo atapata sijui hata walikuwa wamekosea nini.
 
MJ1, haya yalinitokea kipindi kile wakati ndo nakua,
lakini kwasasa nimeshasahau,
I strongly agree that it was a life time experience,
Ila hongereni akina dada, kwani haya yanaendelea sana kuwakuta hata,
katika umri wa utu uzima
lol...
mimi nawashangaa yaani picha la form three bado linaishi mpaka leo.
Currently napokumbuka am in lv naanza kujiuliza itakuwaje nikiachika/inakuwaje mtu kuishi single lady till uzeeni
 
Eti mwenyewe umekaa umeshikilia kisimu chako unasubiria sms au simu,basi itokee amepiga mtu mwingine na fyonzo atapata sijui hata walikuwa wamekosea nini.

halafu mnasema kila siku tunawatenda,
wakati mwatupenda mpaka mnakuwa machizi lol....
 
acha urongo wewe.... yaani hujawahi kupata kitu halafu wakati unaondoka ukaana kuimba na kucheza njia nzima??? dah siamini

i remember coming to america eddy murphy baada ya kupewa denda na lisa alikua chizi... what a good feeling!!

...kabisa bana. Hata mimi huugua kabisa, sasa kama huo ni upungufu wa sifa za uanaume haya tena. Mhemuko wa mapenzi hauna adabu hata kidogo...

"...Tell me it's real,

This feeling that I feel,
Tell me it's real,
For your love,
I will do anything"
Tell Me It's Real- K-Ci & Jojo
A%20S%208.gif
A%20S-heart-2.gif

Umenikumbusha mbali sana na hii signature yako

...Ehh, Dena haya tena. Zivute tu kumbukumbu iwapo ni nzuri.
Raha jipe mwenyewe bana.

Chauro na Gaga sijawaelewa vizuri!
penzi lipi hasa? mbona kama always tupo in luv na kama muna vituko hivyo maisha yenu yanaendeleaje wandugu?

Merytina hongera. Unamudu kila siku kuwa in-love?...mnh!
kuna siku inakubalika 'bendera ikigoma kufuata upepo.'..
 
Huku siruhusiwi kucheka asee.....dah....MJ1....
Ngoja natabasamu kidoooogo.....kabla sijashikwa......:smiling:
 
Back
Top Bottom