Limenijia Tu...

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,563
Wapenzi
yaani naiandika hii thread huku nikicheka............Mnajua wazungu huwa wanasema when you are in love eh you feel some Butterflies in the stomach........najaribu kukumbuka na kuimagine feelings ambazo nilishawahizipata kipindi kile ........mwe yaani kila ukimkumbuka muhsika nlikuwa narukwa na roho ........kibaya zaidi najikuta natabasamu peke yangu na kuachia huu mwanya sijui pengo langu....

Najua kila mtu ana hisia tofauti pale anapohisi yuko in love...kuna wale ambao
1. Hushindwa kula kabisaaaa
2. Kama ni kazi hushindwa kufanya
3. Wanaotamani kila saa wawe wamelala na kukumbatia mito huku waki day-dream kama MJ1 hapa
4. Wengine wanaumwa kabisaaa hadi wamwone muhusika...........sasa hii sijui ni aina ya Hysteria au?

Naomba kujua how do you feel when you are in love jamani??
Je wanaume na nyie mnakumbwaga na hayo maswahib?
 
Hahahahha kuna saa ingine unajisikia tu kuimba nyimbo za mapenzi......afu kwa sauti kuuuubwa

Am in Love, love, love .....Yes am in love
With a D.....Djeyyyyyyyyyyyyyyyyyy
yes am in love...tarararaaa oooh yes I ammmmmmmmmmmmmmmmm tararararaaaaaaaaaaaa

Jamani. (Nacheka mwenyewe ka mwehu ah...........maisha!!)
 
Dah naona tofauti ya kupenda na kutamani ili nijue nipo upande upi.
 
Hahahahha kuna saa ingine unajisikia tu kuimba nyimbo za mapenzi......afu kwa sauti kuuuubwa

Am in Love, love, love .....Yes am in love
With a D.....Djeyyyyyyyyyyyyyyyyyy
yes am in love...tarararaaa oooh yes I ammmmmmmmmmmmmmmmm tararararaaaaaaaaaaaa

Jamani. (Nacheka mwenyewe ka mwehu ah...........maisha!!)

Naona umekumbuka kweli ulivyo kuwa mtoto enzi hizo lol mi huwa sipendi kukumbuka niliko toka
 
...unalo hilo! ...umepatikana ee? usinambie nawe ushakumbwa na dhoruba ya mapenzi.
Hongera Mwj1...LOL!
 
hahahahahaha MJ1 bwana
mie napendaga sana mambo yako
kwanza kabisa hiyo ya kukumbatia mto mmmhhhh
ndio tiba yangu..

lakini kikubwa mie trip za chooni haziishi

kila akini jia kichwani mie naenda kukaa chooni..
natabasamu nacheka chooni nikitoka hapo nakula ngumu ya jeshi..

na kingine napenda ku dress up na kujiangalia kwenye kiooo

fantasize akiwa hapo aniambia mmhh hiyo imekaa vizuri,
hiyo rangi nzuri, yaani ntatoa nguo zote na viatu vyote
halafu na pretend yeye ndio kioo mmmmhhhh
mwenzangu nashukuru saa nyingine ni Mungu tu
ajualo tufanyalo na tuwazalo ...
 
Acha hayo mapenzi yaitwe mapenzi,mi nilikuwa mpumbavu kabisa yani unatamani kila saa awepo karibu yako na shughuli nyingine za maisha unahairisha kabisa.
 
Mi huwa nashindwa kula kabisa na nakuwa kama niko angani naelea mwenyewe, nikiona simu inaita jina lake napagawa kabla hata sijaanza kuongea nae, mie napenda mpaka najistukia, ni raha sana kuwa in love
 
hahahahahaha MJ1 bwana
mie napendaga sana mambo yako
kwanza kabisa hiyo ya kukumbatia mto mmmhhhh
ndio tiba yangu..

lakini kikubwa mie trip za chooni haziishi

kila akini jia kichwani mie naenda kukaa chooni..
natabasamu nacheka chooni nikitoka hapo nakula ngumu ya jeshi..

na kingine napenda ku dress up na kujiangalia kwenye kiooo
fantasize akiwa hapo aniambia mmhh hiyo imekaa vizuri,
hiyo rangi nzuri, yaani ntatoa nguo zote na viatu vyote
halafu na pretend yeye ndio kioo mmmmhhhh
mwenzangu nashukuru saa nyingine ni Mungu tu
ajualo tufanyalo na tuwazalo ...
duh!sorry to tell u dis 'uchizi huanza kidogo kidogo '
 
Naona umekumbuka kweli ulivyo kuwa mtoto enzi hizo lol mi huwa sipendi kukumbuka niliko toka

...Ha ha, kamanda Fidel80 acha maskhara bana,...mawazo hayo ukiyakimbiza mchana, Usiku yatakujia ndotoni!
 
Acha hayo mapenzi yaitwe mapenzi,mi nilikuwa mpumbavu kabisa yani unatamani kila saa awepo karibu yako na shughuli nyingine za maisha unahairisha kabisa.

Mi binafsi sijui nini maana ya kupenda na sijawahi penda kabisaaaa
 
Wapenzi
yaani naiandika hii thread huku nikicheka............Mnajua wazungu huwa wanasema when you are in love eh you feel some Butterflies in the stomach........najaribu kukumbuka na kuimagine feelings ambazo nilishawahizipata kipindi kile ........mwe yaani kila ukimkumbuka muhsika nlikuwa narukwa na roho ........kibaya zaidi najikuta natabasamu peke yangu na kuachia huu mwanya sijui pengo langu....

Najua kila mtu ana hisia tofauti pale anapohisi yuko in love...kuna wale ambao
1. Hushindwa kula kabisaaaa
2. Kama ni kazi hushindwa kufanya
3. Wanaotamani kila saa wawe wamelala na kukumbatia mito huku waki day-dream kama MJ1 hapa
4. Wengine wanaumwa kabisaaa hadi wamwone muhusika...........sasa hii sijui ni aina ya Hysteria au?

Naomba kujua how do you feel when you are in love jamani??
Je wanaume na nyie mnakumbwaga na hayo maswahib?

MJ1, haya yalinitokea kipindi kile wakati ndo nakua,
lakini kwasasa nimeshasahau,
I strongly agree that it was a life time experience,
Ila hongereni akina dada, kwani haya yanaendelea sana kuwakuta hata,
katika umri wa utu uzima lol...
 
...Ha ha, kamanda Fidel80 acha maskhara bana,...mawazo hayo ukiyakimbiza mchana, Usiku yatakujia ndotoni!

Mpwa mimi flash back kwa kweli siipendi kitu kikuwa past ni past nafunika hata picha zangu za long sipendi kuzitazama
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahha kuna saa ingine unajisikia tu kuimba nyimbo za mapenzi......afu kwa sauti kuuuubwa

Am in Love, love, love .....Yes am in love
With a D.....Djeyyyyyyyyyyyyyyyyyy
yes am in love...tarararaaa oooh yes I ammmmmmmmmmmmmmmmm tararararaaaaaaaaaaaa

Jamani. (Nacheka mwenyewe ka mwehu ah...........maisha!!)

Nachungulia dirishani ooh
Naona ni mvua inanyesha ooh
Nauliza mpenzi utarudi lini eh
Mateso yanitoke nifurahi nawe
Ingawa umeondoka ewe dada
Umeniachia
Machungu tele.......
.
na mwingine:

Kupitapita kwake mtaani kunanishtua,
Sura yake ya kijapani na mwendo wake vinanizingua,
iye iye iye
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoa
iye iye iye
Nitamtuma mshenga akaulize wazazi wake,
Sherehe kubwa sana tutaifanya nyumbani,
Majibu mazuri nikipata
Hapo nitapokubaliwa....
RIP MBARAKA MWINSHEHE MWALUKA
 
Back
Top Bottom