Usijipe pressure bure we kula ilo boom alafu mtaani kutajijua kwenyewe hakuna alikufa sababu hajala chakula hii tanzania.Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!!
Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea.
Natamani kulia natamani kucheka
Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje wakati unakata mfumo??
Leo ukivuka jitahidi unitafute tule pweza kwa Urassa sawa,Institute of financial management (IFM)
Bado Hela ya kuto******bea nayo itatoka so hata ya kula lazima ujibane KWA mihogo daily........Institute of financial management (IFM)