Limebaki boom moja sina hata business idea

Limebaki boom moja sina hata business idea

Boom sio hela ya Kufanyia Biashara.
Wala usijipe Stress,
We Komaa malizia Chuo chako vizur, rud Home pumzika miez 2.

Then andaa Mipango kazi yako vizur ya kuajiriwa,
Anza hata kwa kujitolea kwenye taasisi ambazo course uliyosomea iko applicable.

Na Usihofu kuhusu Nauli na hela ya Kujikimu.
Ndugu jamaa na marafik watakubeba kwa kipind hiki.

Ushindi unaanzia Kichwan.

Ushindi unaanzia Kichwan...
Mkuuu ndugu watakupenda siku NNE ukiwa hauna KAZI unakua mzigo nyumbani
 
Hiyo pesa ni ndogo
Wenzako wakati tunasoma Lilikuwa 510k stationary 200k

Mipango ya biashara tulifikiri tukiwa kidato cha Sita.
Mwaka wa Kwanza ilikuwa kukusanya pesa.
Mpaka mwaka wa mwisho unakuwa ushanunua vitu vidogodogo vya Ghetto na biashara ndogondogo mtaji usiozidi milioni 2.

Laki sita alafu huna pakuishi, hapohapo mtaji ni uongo.

Kiufupi umeshajichanganya.

Hapo itakupasa laki tatu Nunua kitanda na godoro. Kitanda nunu used godoro nunua jipya.
Tafuta chumba cha elfu 40 lipa miezi mitatu 120k
Hiyo 180k iliyobaki nunua chakula cha elfu 80
Mchele wa Tsh 1800 kilo 10 =. 18,000/=
Maharage Tsh 3200 Kilo 5. =. 16000/=
Dagaa Nusu Kilo. 6000/=
Unga kilo tano mashineni 6,000/=
Kibiriti pakti chenye vibiriki 10. 500/=
Chumvi pakti 3 zile za buku
Kisado cha Viazi 4000/=
Kilo ya Kitunguamaji 2000/=
Mafuta Lita moja Alizeti 7000/=
Mahindi ya makande 2kg 2400/=
Sukari 1kg. 3000/=
Mche wa sabuni jamaa, 4000/=
Dawa ya Meno Tsh 3,000/=

Laki Moja itakayobaki
Nunua Jiko la gesi used mtandaoni elfu 10-15K. Jaza gesi Tsh 23,000/= jumla 38,000/=
Jiko la Mkaa Elfu 4

Nenda Karume,
Nunua pazia za mtumba mbili 10,000/=
Rudi tandale, shuka mbili Tsh 10,000/=

Utabakiwa na elfu 30,000/=
Hiya angalia AOB (any other bills) kama umeme hapo ulikopanga, maji au taka.

Kisha Anza msako wa KAZI, vibarua na vibolingo Association
 
Dah haya maisha niliyaogopa toka nipo kidato cha sita,mpaka namaliza mwaka wa kwanza nilkua na akiba ya 1 million, brother nilikula mihogo kuvaa mipauko kwa sana hata demu sikua nae
Nilinunua pikipiki used na kuifanya kama bolt oaa since then boom kwangu ni kama kilinda mfuko tuu
Mungu akijaalia mwakani February naachana na bodaboda niingie kwenye biz ya kueleweka
Kikubwa nidhamu ya pesa kupambana bila kuchoka naa bado naendelea kupiga kitabu nipo second year japo dharau haziishi lakini siri ninayo Mimi na mfuko wangu.Never give up ma brother
 
acha kuishi kwa kufuata maneno ya watu mkuu. Boom haikuwa pesa ya kufanyia biashara bali ilikua ni pesa ya kujikimu wakati upo masomoni.

Usije stress bure kila jambo lina wakati wake.
 
Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!!

Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea.

Natamani kulia natamani kucheka

Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje wakati unakata mfumo??
Hapo kashone Suti tu uanze kutembeza proposal for funding (business Idea) au CV kwaajili ya ajira. Ila pia unaweza kujifunza skills nyingine kama vile ufunde upate hela za kuendelea kubaki mjini.
 
Hakika wewe ni kuku maji, ukimaliza chuo nicheki kama unaweza kazi za nguvu.

Ukumbuke kununua jeans zako mbili na boom la mwisho.
 
Halaf kipind hiki mnapewa boom pesa ndefu mim nimelaliza chuo account Nina million 2 cash niseme ukwel nilijivunia maisha yangu binafsi chuo bila kua na hekaheka niseme ubahili nao ulinisaidia
ulikuwa unayo mipango mizuri, alafu pia jenda imechangia hilo.
 
Dah haya maisha niliyaogopa toka nipo kidato cha sita,mpaka namaliza mwaka wa kwanza nilkua na akiba ya 1 million, brother nilikula mihogo kuvaa mipauko kwa sana hata demu sikua nae
Nilinunua pikipiki used na kuifanya kama bolt oaa since then boom kwangu ni kama kilinda mfuko tuu
Mungu akijaalia mwakani February naachana na bodaboda niingie kwenye biz ya kueleweka
Kikubwa nidhamu ya pesa kupambana bila kuchoka naa bado naendelea kupiga kitabu nipo second year japo dharau haziishi lakini siri ninayo Mimi na mfuko wangu.Never give up ma brother
Pambana mkuu huko ndio kujitambua
 
Nilimaliza na 1.8 ndani ya miezi mitatu mtaani ikawa imeisha yote. Hicho kidogo kilichobaki kula tu usijisumbue… “Tazama ndege wa angani”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom