boom

BOOM! Entertainment, Inc., doing business as Boom! Studios (styled BOOM! Studios), is an American comic book and graphic novel publisher, headquartered in Los Angeles, California, United States.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanachuo: Tupunguziwe boom lakina ada tulipiwe asilimia 100. Kuna mtu analipiwa laki 2 na anatakiwa kulipa milioni 1.3

    kizungumza kwenye kipindi cha Kapu Kubwa Leo, @bodaboda_mmbea amesema kuwa wanafunzi wengi na familia zao wanapata ugumu kutokana na ada kutolipiwa kikamilifu, jambo linalowalazimu kutafuta fedha za ziada ili kukamilisha masomo. Kwa mujibu wake, ni heri kiwango cha boom kitapunguzwa ikiwa hatua...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM kulipwa ‘Boom’ mara 2 kisha kuwekwa mahabusu ili walipe, Bodi ya Mikopo yasema waulizwe CRDB

    Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika. Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana kafaulu form six, pcb division two, kama private candidate eti ataweza pewa mkopo na boom au ni ngumu

    Huyu dogo alimaliza form six mwaka 2016 akafeli, sasa karudia sahivi kafaulu ana mawazo eti ataweza, pewa mkopo mana kwao hawana uwezo na anataka kusoma md, nikamwambia ngoja niulize wadau.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanafunzi wa UDSM tuliingiziwa Boom mara 2 kimakosa, kutudai wanatuletea TAKUKURU kutukamata, kwani hayo ni makosa yetu?

    Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo (boom) mara mbili kimakosa kutoka Bodi ya Mikopo (Higher Education Students' Loans Board - HESLB)...
  5. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB

    Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa. Ni takribani wiki ya pili sasa baadhi ya wanafunzi wanaotumia...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) wanachelewesha boom la 3 isivyo kawaida, maisha yanazidi kuwa magumu

    Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2. Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70. Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye wakati mgumu. Naomba kuwasilisha.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanafunzi Kigamboni City College nakaribia kufukuzwa, Boom la nne hadi leo halijatoka, Afisa Mikopo hajulikani alipo

    Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021. Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa. Mpaka leo hii, tarehe 6 Julai 2025, sijapata boom la nne kutoka HESLB. Hali hii imenitesa sana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Boom ni TZS10,000 kwa siku, na siyo TZS8,000

    == Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku maana yake wanafunzi walikosa baadhi ya mahitaji yao muhimu ya siku. Miaka Mitano baadaye Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale ya TZS7,500 na TZS8,000...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yasema changamoto ya mifumo ya Kibenki imechangia 'Boom' kwa Wanavyuo kuchelewa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa. Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Limebaki boom moja sina hata business idea

    Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!! Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea. Natamani kulia natamani kucheka Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatoa ufafanuzi kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata Fedha za Kujikimu "Boom"

    Pia soma: ~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo ~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa
  13. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Wakuu waliotumia boom kutoboa kimaisha watupe uzoefu waliwezaje? Au it's impossible

    Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu home hali ndo hivyo maisha sio mazuri sana Tunapewa elimu tu mtaji utajua mwenyew na sababu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kucheleweshwa ulipwaji wa boom ( Meals and accomodations ) ya elimu ya juu 2024/2025

    Vyuo vyote Tanzania vya elimu ya juu vimeshafunguliwa. Kadhia kubwa iliyopo kwa Sasa ni bodi ya mikopo kushindwa kuwapatia wanafunzi boom yaan meals and accomodations kitendo ambacho kinasababisha wanafunzi kushindwa kumaliza kulipa ada, na hasahasa kukosa mahitaji ya msingi ya maisha kitendo...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Boom la vyuo vya umma na binafsi linatofautiana?

    Hivi boom kwa vyuo vya binafsi na vya Serikali ni tofauti?
  16. Graduate Boom

    JamiiForums Tanzania SoC04 Turning Tanzania's Graduates into Job Creators through Graduate Boom

    INTRODUCTION: Hello everyone on JamiiForums! We all know education is important, and it's great that our government helps so many students go to university with loans. But what happens after graduation? The studies shows that there is an increase in number of university students who are...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Boom Sprayer ya kukodishwa mkoa wa Katavi?

    Habari wadau, Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumetoa Bilioni 100+ ya malipo ya Boom kwa Wanafunzi, Serikali itashughulikia kama kutakuwa na changamoto ya ziada

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Juni 10, 2024 Bungeni Pia soma: ~ Bodi ya Mikopo kuchelewesha fedha za kujikimu (Boom) kwa wanafunzi ~ Wanafunzi 150+ wa Chuo cha IFM hawajalipwa fedha zao za Boom kutoka Bodi ya Mkopo na uongozi upo kimya ~ Hali ni mbaya kwa wanafunzi UDSM...
  19. Ikulu T

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kijinga ya kupunguza mkopo(Ada) na kuongeza boom

    Hivi professor Adolf mkenda na wizara yako ya elimu mmeona waTanzania ni wajinga sana? Do you really think we are going to buy that childish trick of yours'? Hivi mpaka lini mtaendelea kunyanyasa watoto maskini wa kiTanzania ndani ya nchi yao iliyojaa utajiri kupindukia? Professor on which...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi DUCE walilia boom, walalamika viongozi wa serikali kuwatembelea uchaguzi ukikaribia

    Wanafunzi Chuo cha Elimu sehemu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania (DUCE), wailaumu serikali https://m.youtube.com/watch?v=0eDvfPF6Ys0 Mwanachuo bi. Nduguru aliyetokea Songea kusoma campus ya DUCE jijini Dar es Salaam akiongea huku akushangiliwa na wanafunzi hao wa kitivo cha...
Back
Top Bottom