Lily Ommy Vs Jonijo

Lily Ommy Vs Jonijo

are talk'n to me? Yaani nimheshimu Bdozen
Why?
nonsense
he should be respected by u Blouse slave's not me.
 
Jonijoo atafanya vizuri sana kwenye hio program Ya homa.
Am his fan,let watch him.
 
Yaani unamfananisha the king of interviews
lilyommy,the guy your mother your sister love?
Acha aisee lilyommy ni international presenter sio sawa na jonijoo ni bado sana kwa ommy

namkubali sana pia jonijoo kwa swag na misemo yake ya kisera flani hivi,lakini bado yuko local sana kama kina b dozen tu,

and the winner is lilyommy.
Kuwa na heshima kijana, B Dozen 'legend' unaanzaje kumfananisha na upcoming?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan , B-Dozen hamna kitu aisee labda kwenye kuhost show , vingine Yule mwamba pumba tupu, lil omy ni presenter anayejielewa Sana mana pia anahtaji guidance ya kisomi Sana , sidhan kama hata Wasafi wataweza kumguide vyema , ila ni bonge la presenter hapa Tz
 
B-Dozen ni bonge moja la presenter. Ana utulivu flani hivi,na anajua kumanage watu wake wale.
Ukija kwa Lil Ommy ni presenter mzuri sana, yupo natural, na very fast kwenye kuusoma mchezo. Jonijo ni mzuri ila audience yake ni strict vijana hawa wahuni wahuni au hawa wanavyuo. Sisi vijana wa zamani tunaweza msikiliza B-Dozen na Lil Ommy na wasituache sana.
 
Umechanganya mafile bro, huyo jamaa anamcompare Dozen na Jonijo sio Lil Ommy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B-Dozen ni bonge moja la presenter. Ana utulivu flani hivi,na anajua kumanage watu wake wale.
Ukija kwa Lil Ommy ni presenter mzuri sana, yupo natural, na very fast kwenye kuusoma mchezo. Jonijo ni mzuri ila audience yake ni strict vijana hawa wahuni wahuni au hawa wanavyuo. Sisi vijana wa zamani tunaweza msikiliza B-Dozen na Lil Ommy na wasituache sana.
Aache misemo yake ya kihunihuni kama anataka kwenda sawa na audience kubwa zaidi, sijui 'babako', 'kaa kitaalamu', 'bango limewaka' anarudia misemo hiyo kila mara. Lil Ommy is the real deal, ni kijana but still hana lugha za ujana saana ametulia hata watu wazima wanaweza msikiliza.

Mkuu
sasa jonijo akiacha kusema "Wahuni sio watu wazuri" atakua sio jonijo tena, maneno ya kihuni ndio utambulisho wake.
wanaompenda ndio target yake, Akibadilika hatakua jonijo atakua mtu mwingine
 
Sawa, ila kama sikuzote atakuwa hivo atabakia hapohapo na audience ileile (hatakua), ni kama Adam Mchomvu siku zote yuko palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumfananisha king wa afternoon show Bdozen na vitu vya kipumbavu, kuwa na adabu!
Yaani B dozen ni king wa show za mchana? Najua hapa kuna u team tu,,,

Hivi ushawahi sikiliza interviews za lil ommy tangu alipokua times yaani B dozen hamfikii yule jamaa kwa ubunifu. B dozen wa kawaida sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jonijoo atafanya vizuri sana kwenye hio program Ya homa.
Am his fan,let watch him.
Mimi kwa maono yangu Jonijo hato dumu sana Tv E may be apewe na kipindi Radioni,,,, inasemekekana baada ya lil ommy kwenda pale wasafi kipindi cha kina jonijo kilitakiwa kiruke mara moja kwa wiki sasa hiyo ilimkata sana jonijo sasa na shangaa na huko kwa majizo kapewa kile pindi cha homa kinachoruka mara moja kwa wiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani mkali kati ya Lil Ommy na Jonijo? Nini sababu ya hawa jamaa kutokaa sehemu moja wana ugomvi gani?
Baa tenda kipindi kilikua yente sana,zaidi ya hapo sijaona maajab ya Jonijo dizaini ile misemo ya kisela ambayo sisi tuliokulia mtaani ndo tunaielewa sana..
 
Yaani B dozen ni king wa show za mchana? Najua hapa kuna u team tu,,,

Hivi ushawahi sikiliza interviews za lil ommy tangu alipokua times yaani B dozen hamfikii yule jamaa kwa ubunifu. B dozen wa kawaida sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe Bdozen unamuona wa kawaida ....... Yule ni Legend wa show za mchana usimfananishe na hao wapuuzi wawili
 
Kwani legend ndo nini? Upcoming lakini kampiga bao yuko another level huyo legend wako kabaki na u local local wake hajataka apige step Internationally

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachombeba Lili omy ana kipaji lakn pia shule ipo kichwani , B-Dozen kipaji anacho sjajua kama shule anayo hapo ndo anapopwaya , ni vigumu sana kumove on kama shule haipo , utabakia pale pale
 
Nani mkali kati ya Lil Ommy na Jonijo? Nini sababu ya hawa jamaa kutokaa sehemu moja wana ugomvi gani?
Unauliza ukali katika nini?.

Omari Tambwe namjua back then huko Tabora home, jamaa very humble na disciplined.

Jonijo simjui na sijawahi kumsikia.

Maswali yako yawe detailed kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachombeba Lili omy ana kipaji lakn pia shule ipo kichwani , B-Dozen kipaji anacho sjajua kama shule anayo hapo ndo anapopwaya , ni vigumu sana kumove on kama shule haipo , utabakia pale pale
Shule gani unayoisema?..

B12 amesoma Arusha high school na pia amesoma IFM na bro wangu mmoja...Leta za ommy
 
Back
Top Bottom