Lily Ommy Vs Jonijo

Lily Ommy Vs Jonijo

Kinachombeba Lili omy ana kipaji lakn pia shule ipo kichwani , B-Dozen kipaji anacho sjajua kama shule anayo hapo ndo anapopwaya , ni vigumu sana kumove on kama shule haipo , utabakia pale pale
Ki uhalisia Lil ommy anakushawishi umsikilizee na utamani kuendelea kumaikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unamfananisha the king of interviews
lilyommy,the guy your mother your sister love?
Acha aisee lilyommy ni international presenter sio sawa na jonijoo ni bado sana kwa ommy

namkubali sana pia jonijoo kwa swag na misemo yake ya kisera flani hivi,lakini bado yuko local sana kama kina b dozen tu,

and the winner is lilyommy.
Kuonesha chuki... ukaamua umuingize na b dzn.

Umeulizwa mengine unajbu vngne, mwalimu wako alipata kazi sana

...
 
Samahan , B-Dozen hamna kitu aisee labda kwenye kuhost show , vingine Yule mwamba pumba tupu, lil omy ni presenter anayejielewa Sana mana pia anahtaji guidance ya kisomi Sana , sidhan kama hata Wasafi wataweza kumguide vyema , ila ni bonge la presenter hapa Tz
Times waliweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
khwy mafanikio ya mtu ndio tuzo?
kwanza mafanikio nini kwa uelewa wako labda
hv haujajua presenter anayesukuma gari kali kuliko hao wote ni b dozen
half kuna born to shine na vingine
kiufupi dozen huwez kum fananisha na lili ommy
dozen ni katangulia 2
Utachekwa siku nyingine....

Lil ommy ndio mtangazaji wa kwanza kushinda tuzo tena mbili za kimataifa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata kama ni majarida huoni anafamaika mpka huko sasa hhahaa mbona dosen hana izo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo tuzo hadi wadwanzi wanapata, mi huwa nazidharau. Kwahiyo Lil Ommy anafahamika kuliko kina Kikeke?[emoji1][emoji1][emoji1], bro hebu kuwa siriaz nitajie mafanikio aliyonayo Lil Ommy kumzidi Dozen.

Nikupe Mfano mafanikio ya mtu kama Millard Ayo;-
1. Anamiliki Channel ya news yenye subscribers wengi pengine kuliko zote E.A
2. Ana ushawishi mkubwa sana, kupitia kazi anazofanya
3. Anaingiza pesa nyingi sana kupitia kazi yake na ameajiri vijana wengi wanaomsaidia
4. Page yake ya IG inafatiliwa na watu wengi kuliko mtangazaji yeyote EA hii ni kutokana na wengi hufatilia habari kupitia page yake

Huo ndo mfano wa mafanikio nnayotaka kuyasikia, na sio vituzo uchwara za waganga njaa wa Naijeria waliolowea Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
khwy mafanikio ya mtu ndio tuzo?
kwanza mafanikio nini kwa uelewa wako labda
hv haujajua presenter anayesukuma gari kali kuliko hao wote ni b dozen
half kuna born to shine na vingine
kiufupi dozen huwez kum fananisha na lili ommy
dozen ni katangulia 2
Kwani tunaongelea mali hapa mkuu? Hapa tunajadili lil ommy na dozen nani ni bora mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo tuzo hadi wadwanzi wanapata, mi huwa nazidharau. Kwahiyo Lil Ommy anafahamika kuliko kina Kikeke?[emoji1][emoji1][emoji1], bro hebu kuwa siriaz nitajie mafanikio aliyonayo Lil Ommy kumzidi Dozen.

Nikupe Mfano mafanikio ya mtu kama Millard Ayo;-
1. Anamiliki Channel ya news yenye subscribers wengi pengine kuliko zote E.A
2. Ana ushawishi mkubwa sana, kupitia kazi anazofanya
3. Anaingiza pesa nyingi sana kupitia kazi yake na ameajiri vijana wengi wanaomsaidia
4. Page yake ya IG inafatiliwa na watu wengi kuliko mtangazaji yeyote EA hii ni kutokana na wengi hufatilia habari kupitia page yake

Huo ndo mfano wa mafanikio nnayotaka kuyasikia, na sio vituzo uchwara za waganga njaa wa Naijeria waliolowea Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
Millard ayo mnam-exaggrate Sana somtyme, ni kweli ana mafanikio ila sio Kwa kiwango hcho mnachotaka kutuaminisha
 
Namkubali sana jonijo,mondi kumpoteza huyu jamaa naona kama kapotea.
 
Bdozen hamna kitu pale ni Utopolo ule
uwezi mlinganisha jonijoo na Bdozen
jonijoo anaswag na misemo ya kihuni wanayoipenda vijana,
hata kimuonekano tu,utagundua jonijoo ni next xana kuliko huyo bdozen

sema Mashabiki wa cloudsfmtz ni kama mbuzi mmezoea kula majani hamjui Kama kuna vingine zaidi ya majani.
Dozen aliingiaje hapa?
 
Back
Top Bottom