Bagamoyo Road au Morogoro Road: Wapi bora kununua kiwanja?

Bagamoyo Road au Morogoro Road: Wapi bora kununua kiwanja?

G

guest-1788672427

Guest
Tuseme mtu anataka kununua kiwanja

Lakini hajui achague viwanja vilivyopo kati ya Bagamoyo Road vs Morogoro Road, utamwambia aende wapi?

Kibaha au Bagamoyo?

Ni sehemu gani itakuwa na thamani na imechangamka zaidi ndani ya miaka 5?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom