jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 995
anamaanisha kutoa hizo likes alizosema huwa anapenda kuzipata frm watu aliowataja...
Anatoa nini malizia bhana
Anatoa nini malizia bhana
kwa hiyo apa tunagongeana like sio?
Lemme see
hivi mi mbpna kila like nayogonmga na kugongewa nai-like tu? Ila like ya member mpya tamu sana....ila like ya jinsia nyingine ni tamu zaidi....na like ya mpenzi ni tamu munoooo
cc demba
bcc heaven on earth mwallu tinna cute mimi49 (ole wenu mgonge like hii post)
Nyani Ngabu, hii ilitoka moyoni au ya wivu ??????????Hmm... The Boss unatisha.
Nikipata likes kutoka kwa The Boss' naskia raha sana maana humu ni km mpira kuna man of the match,huyu kaka mada zake zimetulia ,pia yupo majukwaa yote na kote analenga mule mule..
Nikipata likes kutoka kwa Mentor nafurahiii maana yuko single na hajawahi kuficha marital status yake kuwa yupo single.....ni sie ladies kuplay zetu cards kuwin his heart,AM THRILLED i am one of them! nikiiweka kimtaa kaka yangu mentor kunipa likes ni km kunikonyeza vile...just flrting:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa
Nikipata likes kutoka kwa Invisible nafurahi sana yey,e comandoo kuweza kubuild and maintain chombo kama hiki ,watu wanakuwa informed at no time mie huwa naimagine Invisible atakuwa libaba sema linaloenda na wkt hahaaa i guess nikikuta nahisi umevalia miwani tinted na jeans lol,well kupata like kwa jitu la miraba minne it means a lot....
Wote nisiowataja likes zenu means a lot to me.it means my mchango is valued...and thats is a lot!
nyie je likes mnaionaje,ukiipata unajisikiaje????
:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:
Oups umeona sasa. mi nkajua maadam Mentor mdogo wangu kahusishwa labda ulimaanisha mambo ya "miliki bajaji yako na 0713 kabaaang"
Mpwa likes hazitolewi, zinagongwa lol
Hivi like inagongwa? Dah kwahiyo mtu akikupa like unamgonga?