Likes zinazo nifurahisha JF

Likes zinazo nifurahisha JF

Nikipata likes kutoka kwa The Boss' naskia raha sana maana humu ni km mpira kuna man of the match,huyu kaka mada zake zimetulia ,pia yupo majukwaa yote na kote analenga mule mule..

Nikipata likes kutoka kwa Mentor nafurahiii maana yuko single na hajawahi kuficha marital status yake kuwa yupo single.....ni sie ladies kuplay zetu cards kuwin his heart,AM THRILLED i am one of them! nikiiweka kimtaa kaka yangu mentor kunipa likes ni km kunikonyeza vile...just flrting:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa

Nikipata likes kutoka kwa Invisible nafurahi sana yey,e comandoo kuweza kubuild and maintain chombo kama hiki ,watu wanakuwa informed at no time mie huwa naimagine Invisible atakuwa libaba sema linaloenda na wkt hahaaa i guess nikikuta nahisi umevalia miwani tinted na jeans lol,well kupata like kwa jitu la miraba minne it means a lot....

Wote nisiowataja likes zenu means a lot to me.it means my mchango is valued...and thats is a lot!

nyie je likes mnaionaje,ukiipata unajisikiaje????

:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:

bold: nipe likes tano mkuu then nitakujibu. hahahahaha!
 
imaney i am si humbled na ulichokisema
ntahakikisha nakupa as many likes as possible now lol
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo apa tunagongeana like sio?

lemme see

Hivi mi mbpna kila like nayogonmga na kugongewa nai-like tu? Ila like ya member mpya tamu sana....ila like ya jinsia nyingine ni tamu zaidi....na like ya mpenzi ni tamu munoooo

CC DEMBA
BCC Heaven on Earth mwallu tinna cute mimi49 (ole wenu mgonge like hii post)
 
baby twenzetu muda umeisha wa kukaa hapa. tuwaachie walio single.
 
Na ukitaka kujua mtu mchoyo (mnyimi) chukua (likes received - like given); jibu likiwa positive angalia difference...kama kubwa sana mchoyo huyo....(with exception kwa wale watunzi wa thread...maana hao wanapataga like za kumwaga)

Mimi sikuhizi nimeshashtukia baadhi ya watu hasa jukwaa la siasa...sigongi likes hovyo hovyo aisee; hata kama kuna mapoint na like kimoyo moyo tu teh teh teh....

Jukwaa lina wagumu lile...teh teh teh
 
Lakini hata kwa watunzi wa tread mbona The Boss ana negative balance pamoja na kutunga the most popular thread on 'Masharti ya Nyumba ndogo'

You are so generous; ndio maana unakubalika (...kumbe si avatar peke yake bana)
 
salute nyumba kubwa, huku hakuna amvitu magumu kama kule...mara sijui marisiti ya hotelini...huku ni kulike-ana tu lol
 
Last edited by a moderator:
Na ukitaka kujua mtu mchoyo (mnyimi) chukua (likes received - like given); jibu likiwa positive angalia difference...kama kubwa sana mchoyo huyo....(with exception kwa wale watunzi wa thread...maana hao wanapataga like za kumwaga)

Mimi sikuhizi nimeshashtukia baadhi ya watu hasa jukwaa la siasa...sigongi likes hovyo hovyo aisee; hata kama kuna mapoint na like kimoyo moyo tu teh teh teh....

Jukwaa lina wagumu lile...teh teh teh

Duh! Hivi kumbe 'likes' zina maana sana kwa baadhi ya watu eeh...
 
Calculator yangu sijuhi inadanganya....

Umaana wa like unategemea kama una like the comment/contribution au the person...

Mimi napenda kwa kuwa naamini kuwa zinatokana na ku like the comment ingawa najua kuna walio kwenye group jingine....

Duh! Hivi kumbe 'likes' zina maana sana kwa baadhi ya watu eeh...
 
Nimegundua like zinaweza kukupa mchumba hapa JF ngoja nianze kumgongea like yule mwenye avatar inayonitoa jasho, labda ataingia line.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom