Likes zinazo nifurahisha JF

Likes zinazo nifurahisha JF

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
317
Nikipata likes kutoka kwa The Boss' naskia raha sana maana humu ni km mpira kuna man of the match,huyu kaka mada zake zimetulia ,pia yupo majukwaa yote na kote analenga mule mule..

Nikipata likes kutoka kwa Mentor nafurahiii maana yuko single na hajawahi kuficha marital status yake kuwa yupo single.....ni sie ladies kuplay zetu cards kuwin his heart,AM THRILLED i am one of them! nikiiweka kimtaa kaka yangu mentor kunipa likes ni km kunikonyeza vile...just flrting:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa

Nikipata likes kutoka kwa Invisible nafurahi sana yey,e comandoo kuweza kubuild and maintain chombo kama hiki ,watu wanakuwa informed at no time mie huwa naimagine Invisible atakuwa libaba sema linaloenda na wkt hahaaa i guess nikikuta nahisi umevalia miwani tinted na jeans lol,well kupata like kwa jitu la miraba minne it means a lot....

Wote nisiowataja likes zenu means a lot to me.it means my mchango is valued...and thats is a lot!



nyie je likes mnaionaje,ukiipata unajisikiaje????

:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:
 
Napitaga tuu....
Acha waje wenyewe
 
nikipata likes kutoka kwa THE BOSS' naskia raha sana maana humu ni km mpira kuna man of the match,huyu kaka mada zake zimetulia ,pia yupo majukwaa yote na kote analenga mule mule.....

nikipata likes kutoka kwa THE MENTOR,nafurahiii maana yuko single na hajawahi kuficha marital status yake kuwa yupo single.....ni sie ladies kuplay zetu cards kuwin his heart,AM THRILLED i am one of them! nikiiweka kimtaa kaka yangu mentor kunipa likes ni km kunikonyeza vile...just flrting:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa

nikipata likes kutoka kwa INVISIBLE nafurahi sana yey,e comandoo kuweza kubuild and maintain chombo kama hiki ,watu wanakuwa informed at no time mie huwa naimagine invisible atakuwa libaba sema linaloenda na wkt hahaaa i guess nikikuta nahisi umevalia miwani tinted na jeans lol,well kupata like kwa jitu la miraba minne it means a lot....

wote nisiowataja likes zenu means a lot to me.it means my mchango is valued...and thats is a lot!



nyie je likes mnaionaje,ukiipata unajisikiaje????

:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:



Heri yako wewe una uhuru wa kuongea bana,

hongera usishindane na hisia zako,

kamanta fursa, twenzetu..........Nadhani Mentor ujumbe kaupata




Angalia nimekupa like hapo,

sasa sijui ya kwangu hiyo unaisikiaje lol...
 
Ha ha ha!!! mpwa kumbe hiyo ni tungo tata....

Nilimaaanisha yeye huwa anatoa likes?

Oups umeona sasa. mi nkajua maadam Mentor mdogo wangu kahusishwa labda ulimaanisha mambo ya "miliki bajaji yako na 0713 kabaaang"

Mpwa likes hazitolewi, zinagongwa lol
 
Last edited by a moderator:
Lol... bidada ataka likes. Chukua izo superlikes.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom