Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Lolz....mie likes zako tu bana
Nafurahi umekuja kunisabahi...
Mie tena sina hiyana sabahi sabahika swabitana
jioni njema best.
Lolz....mie likes zako tu bana
Nafurahi umekuja kunisabahi...
mbo hujasema ukipata like ya kozo okamoto unapagawa kabisa?
Umesahau, hata ukipata ya Wiyelele unafurahia....
wiyelele ndio nini au ni kiitikio cha bolingo?
jamaa hako ka avatar kako kamenifurahisha sana sasa na kiswahili uandikage vizuri
sasa kama hapagawi aseme uwongo au?
Hahahahaaa.....Umenichekesha sana..!
Kweli dunia imeisha.
Yaani demu anajitongozesha kwa Mwanaume waziwazi. Mshindwe wenyewe mliotajwa!!
bila shaka huwa anatoa
Santeee sana.shilingi ya baba nyerere katikati kuna mwengeeee uuuuuuuuuu!!!!
Duh kumbe like zina maneno hivi aisee