Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,501
- 6,201
Miaka ya 90s ilikuwepo Kiswele na Tawakal Gari zinaingia mbeya saa 9 kutoka Dar,miaka ya akina GirikiYaani basi inatoka DSM saa 12 alfajiri,inafika Mbeya karibia saa moja usiku,ni zaidi ya masaa 12+ barabarani kwa umbali wa kama kilometa 790 hadi 800 na bado unasema dereva amekimbia sana??
Mabasi ni ya kisasa kabisa, miundombinu imeboreshwa vizuri tofauti kabisa na miaka ya 90 huko kweli kuna kitu cha kushangaza hapo?
Sehemu ipi hatarishi kwa njia ya Mbeya ukiitoa hapo Iyovi,Kitonga?
Wanatembea mwendo wa kawaida tu tusiwafitinishe bhana
View attachment 1886205View attachment 1886206