Jinsi kampuni ya Sauli Luxury Bus ilivyofanikiwa katika biashara ya usafirishaji

complex31

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
379
1,208
IMG_7937.jpg

Sauli ni kampuni ya bus za kusafirisha abiria kutoka Mbeya kuja Dar na Dar kwenda Mbeya, kampuni hii ina takriban miaka miwili toka ianze kazi rasmi katika ardhi ya Tanzania.

Katika miaka miwili hiyo kumekuwepo na changamoto mbalimbali lakini kikubwa ni haijawahi kupata ajali.

Mmiliki wa hii kampuni anaweza kua ni mfano mzuri wa kuigwa kwani ameweza kutonesha wengi biashara ni kitu ambacho huanzia mbali sana.

Miaka zaidi ya saba nyuma njia ya Nyanda juu Kusini Dar - Iringa - Mbeya - Tunduma - Sumbawanga na Songea kampuni kutoka China ya NEW FORCE na GOLDEN DEER walifanya mapinduzi makubwa sana kwa kuweza kuteka masoko haya na kua na abiria wa uhakika.

Mwaka 2018 SAULI ilianza kazi rasmi kukiwa na bus mbili tu moja inaanzia Dar kwenda Mbeya na nyingine inaanzia Mbeya kurudi Dar na kwa nauli ya 44,000 ambayo mpinzani wake wa karibu New Force na Golden Deer kwa nauli hii ya 44,000 aliweza kwenda Dar mpaka Tunduma.

Mwanzo hua mgumu sana lakini Sauli alikuja na itikadi zake za kufanya abiria wachague gari lake waache kupanda ya mpinzani

Kwanza aliweza kujali muda kitu ambacho kilifanya apendwe sana na kuanza kua na jina ingali ana gari mbili tu

Alitumia mbinu ya SCANIA pamoja na BENZ ni gari za luxury na bora kuliko gari za michina kitu ambacho pia ni kweli hivo pia iliweza khmuongezea credit ya biashara yake

Kampuni hii ya SAULI iliweza kupata jina na umaarufu katika kipindi kichache sana hivo kupelekea kuongeza bus zingine mbili aina na kufanya kua na total fleet ya bus 4 ambazo tatu ni Scania Gemilang na moja ni Mercedes Benz

Mzee huyu mwenye kampuni ameweza kutufundisha kuamini kwa kile tunachoona kinafaa kutokubali kuyumbishwa na kumuangalia mpinzani wako kwa jicho la karibu ili kujua wapi pa kumuovertake katika biashara
 
Ingawa umemuita mzee, nasikia mmiliki wa Sauli basi ni kijana tu below 40 yrs. Chuma zake zinakimbia sana, kwa kujali muda na umakini wa madereva wake pamoja na kuwa na magari imara, kweli apongezwe sana. Alisemwa sana kuwa atachemka vile ana mabasi mawili tu lakini amekaza na anazidi kutanuka
 
1. Usichokijua kuhusu sauli ni kuwa saul hakuanza na gari mbili alianza na gari 3, benzi moja na scninia mbili..

2. Huyo jamaa an hela chafu anaweza shusha hata gari 10 izo Scania isipokuwa anakwepa kukutana na kesi ya utakatishaji. Kwa gari izo izo tatu alizonunua alipewa kesi ya utakatishaji fedha, kakaa ndani zaid ya miezi 8 mpka rais alivyosema watakatishaji fedha watoke kwa kulipa fidia ndo alitoka.
 
1.usichokijua kuhusu sauli ni kuwa saul hakuanza na gari mbili alianza na gari 3, benzi moja na scninia mbili..

2.uyo jamaa anahela chafu anaweza shusha hata gari 10 izo scania isipokuwa anakwepa kukutana na kesi ya utakatishaji. kwa gari izo izo tatu alizonunua alipewa kesi ya utakatishaji fedha, kakaa ndani zaid ya miezi 8 mpka rais alivyosema watakatishaji fedha watoke kwa kulipa fidia ndo alitoka..
Upo sahihi kwa kiasi, na ni kweli nilikuwa ndani kwa kesi Ila nashukuru kila kitu kilienda sawa. Kuhusu pesa, Sina pesa chafu. Ninazo za kawaida tu
 
Sauli ni kampuni ya bus za kusafirisha abiria kutoka Mbeya kuja Dar na Dar kwenda Mbeya, kampuni hii ina takriban miaka miwili toka ianze kazi rasmi katika ardhi ya Tanzania.

Katika miaka miwili hiyo kumekuwepo na changamoto mbalimbali lakini kikubwa ni haijawahi kupata ajali.

Mmiliki wa hii kampuni anaweza kua ni mfano mzuri wa kuigwa kwani ameweza kutonesha wengi biashara ni kitu ambacho huanzia mbali sana.

Miaka zaidi ya saba nyuma njia ya Nyanda juu Kusini Dar - Iringa - Mbeya - Tunduma - Sumbawanga na Songea kampuni kutoka China ya NEW FORCE na GOLDEN DEER walifanya mapinduzi makubwa sana kwa kuweza kuteka masoko haya na kua na abiria wa uhakika.

Mwaka 2018 SAULI ilianza kazi rasmi kukiwa na bus mbili tu moja inaanzia Dar kwenda Mbeya na nyingine inaanzia Mbeya kurudi Dar na kwa nauli ya 44,000 ambayo mpinzani wake wa karibu New Force na Golden Deer kwa nauli hii ya 44,000 aliweza kwenda Dar mpaka Tunduma.

Mwanzo hua mgumu sana lakini Sauli alikuja na itikadi zake za kufanya abiria wachague gari lake waache kupanda ya mpinzani

Kwanza aliweza kujali muda kitu ambacho kilifanya apendwe sana na kuanza kua na jina ingali ana gari mbili tu

Alitumia mbinu ya SCANIA pamoja na BENZ ni gari za luxury na bora kuliko gari za michina kitu ambacho pia ni kweli hivo pia iliweza khmuongezea credit ya biashara yake

Kampuni hii ya SAULI iliweza kupata jina na umaarufu katika kipindi kichache sana hivo kupelekea kuongeza bus zingine mbili aina na kufanya kua na total fleet ya bus 4 ambazo tatu ni Scania Gemilang na moja ni Mercedes Benz

Mzee huyu mwenye kampuni ameweza kutufundisha kuamini kwa kile tunachoona kinafaa kutokubali kuyumbishwa na kumuangalia mpinzani wako kwa jicho la karibu ili kujua wapi pa kumuovertake katika biashara
Hizo gari zinatembea sio mchezo, na ni luxury kweli na comfortable. Hizo Scania sio mchezo.

Nimepata nafasi ya kusafiri nayo moja weekend, nahisi ndio tulikuwa basi la kwanza toka Mbeya kufika Dar
 
1. Usichokijua kuhusu sauli ni kuwa saul hakuanza na gari mbili alianza na gari 3, benzi moja na scninia mbili..

2. Huyo jamaa an hela chafu anaweza shusha hata gari 10 izo Scania isipokuwa anakwepa kukutana na kesi ya utakatishaji. Kwa gari izo izo tatu alizonunua alipewa kesi ya utakatishaji fedha, kakaa ndani zaid ya miezi 8 mpka rais alivyosema watakatishaji fedha watoke kwa kulipa fidia ndo alitoka.
Hii ndio bongo sasa ya wachawi,ukiwa na hela ukitaka kukuza uchumi wa nchi yako lazima ukamatwe na kunyang'anywa hela zako,ndio mana watu wengi wanawekeza nje ya nchi na kukuza uchumi wa huko,sisi hapa tunapenda kuwaona watu wanaomiliki cherehani 3 ndio tunafurahi
 
1. Usichokijua kuhusu sauli ni kuwa saul hakuanza na gari mbili alianza na gari 3, benzi moja na scninia mbili..

2. Huyo jamaa an hela chafu anaweza shusha hata gari 10 izo Scania isipokuwa anakwepa kukutana na kesi ya utakatishaji. Kwa gari izo izo tatu alizonunua alipewa kesi ya utakatishaji fedha, kakaa ndani zaid ya miezi 8 mpka rais alivyosema watakatishaji fedha watoke kwa kulipa fidia ndo alitoka.
Aiseeee!!
 
Hii biashara unatakiwa utembee nao miaka 15 ndo utaitwa mkongwe, miaka miwili tu hamna kitu hapo.
Kampuni inamiaka miwili unasifia ni sawa usifie ndoa yako kua umetimiza miaka miwili,wakti hiyo biashara inachangamoto sana pia kuondoa basi likiwa na abiria 10 ni jambo la kawaida.
Yani unaenda bila faida ili ratiba ya gari isiharibike
 
Kashikaji chenyewe ukimkuta njiani unaweza kumkaba ukasepa zako, leo usiku nmeenda shekilango ofisini kwake kutuma mzigo nmekutana nae na sio mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom