Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,322
- 114,624
Ningekuwa na uwezo huo ningekusaidia kama itathibitika una uhitaji huo na huna uwezo ila sina huo uwezo mkuu.lakini mimi sio mlemavu
Usijali mkuu... naelewa... Kwako huwa unaona ni jambo la kawaida kwa kuwa umeshazoea lakini unafanyaga jambo moja KUBWA Sana... ubarikiwe... Niombee Maombi yako tu mkuu nnashida kweli... Ubarikiwe...Ningekuwa na uwezo huo ningekusaidia kama itathibitika una uhitaji huo na huna uwezo ila sina huo uwezo mkuu.
Kutoa ni moyo sio utajiri, navyosaidia hao kama nilivyosema kwa walemavu nafanya kadri ya uwezo wa kidogo nilichojaaliwa, nikiwa sina kabisa huwa natoa salamu kuna baadhi tumeshazoeana.
Ni ishu ya muda kila jambo litakuwa sawa kwako, kikubwa usikate tamaa.Usijali mkuu... naelewa... Kwako huwa unaona ni jambo la kawaida kwa kuwa umeshazoea lakini unafanyaga jambo moja KUBWA Sana... ubarikiwe... Niombee Maombi yako tu mkuu nnashida kweli... Ubarikiwe...
nashukuru sana... asante uncle kwa kunijaliNi ishu ya muda kila jambo litakuwa sawa kwako, kikubwa usikate tamaa.
PointTunza kibunda chako.
Yeah hayo mengine ni mbwembwe tuPoint
Yaani umezaa ukiwa under 30?duh una roho ngumu sana mwambamimi katika 45
1st born atakua na 23yrs
2nd born atakua na 18yrs
3rd born atakua na 16yrs
Last born atakua na 12yrs
whats wrong with that?A bit late anyways,
Watu washasema hapa, una mtoto ananyonya at 40, unadhani hadi unafikia retirement si bado malezi yanapamba moto mkuu?
Mkuu,unazaa at 20's hela umetoa wapi ya kulea mke na watoto katika middle class level?Utakuja kuiona faida yake braza very soon..Mimi pia case yangu ilikua kama ya kwako. Kwako hiyo ni bonge la advantage unaweza usione saa hii kwakua ni mziki kuwatunza.
But believe me ugumu unaokutana nao kumbuka bado una nguvu za ku force..imagine unakua na vitoto vidogo ukiwa na 40 halaf mishe haziend..!!ungepagawa mara 100.
Mimi nilizaa at 22 mwaka wa 1 chuo.
whats wrong with that?
naona mentality fulani hivi ya kijinga kutegemea watoto waje wakutoe,which is like stealing from other people
tafuta mawe ya ajabu ukistaafu jiwe ni refu mno,kusomesha na wewe kula mpaka ufe
hizi story za eti "nachelewa" kuzaa nani atanitunza ni mentality za nchi masikini sana kama zetu
Kumbe unazaa mapema ili usomeshewe watoto shule bure na serikali?Kupata Watoto mapema kuna faida nyingi kuliko hasara.
Tatizo ni mfumo mbovu tu wa maisha ya Bongo.
Wakati wa Nyerere tulisoma bure kwenye shule za umma pamoja na Watoto wa mawaziri.
Karibu kila mzazi mwenyewe Watoto wachache walikuwa ni Watoto wa tano na tulilelewa vizuri tu.
Wanawake waliujuwa wajibu wao mkuu ni kuwa wasaidizi wa waume zao na kuongeza generation kwa kuzaa.
Hiki kizazi cha ngoja hata kubeba mimba kinaona kazi na akibeba mimba anataka azae kwa oparesheni na tuendako watataka mbegu zikarutubishwe maabara wasibebe mimba kwa sababu tumeshakosea tayari mpango wa Mungu.
Kwahiyo tatizo kubwa siyo umri Bali ni mfumo wa maisha.
Mtu kama Kassim Majaliwa uchaguzi ujao anatakiwa asigombee ubunge ale mafao ya uwaziri mkuu lakini mtashangaa anagombea tena ubunge wakati ana uhakika wa maisha hadi anakufa.
Watu hawana kiasi, ukiamuwa kuwa tajiri ndani ya nafsi yako utaenjoy maisha kuliko hawa unadhani wana kila kitu lakini hawana amani wala furaha na wana pesa kibao.
Hii kusema uwahi kuzaa mapema ni faida ulitegemea mtoto akufanye nini ndio iwe faida?Wapi umeona maandiko ya "nani atanitunza"?
Kupata watoto ukiwa na nguvu ili uwalee vizuri, uzee tunajitayarishia wenyewe mkuu, hizo mentality za kutunzwa na watoto ni za zamani sana.Hii kusema uwahi kuzaa mapema ni faida ulitegemea mtoto akufanye nini ndio iwe faida?
Unategemea kutunza just like our parents walivyo na mentality kama zako
Ukiwa na nguvu zipi?Kupata watoto ukiwa na nguvu ili uwalee vizuri, uzee tunajitayarishia wenyewe mkuu, hizo mentality za kutunzwa na watoto ni za zamani sana.
Kwamba walioko kwenye umri huo wote wana makampuni yao, wanaweza kukaa ho.e na watoto huku makampuni yakiingiza pesa?Ukiwa na nguvu zipi?
Nguvu una maanisha hela?
Upo 20's una hela,ulizipatia wapi?
Upo 20's una muda wa kukaa na watoto full time na bado ukaingiza hela regardless?
Au unasemea nguvu gani wewe?
Ukiwa 30's,40's au 50's unaweza acha kampuni yako wana run watu na wewe ukakaa na watoto muda uutakao na bado ukaingiza the same income...upo 20's kaa nyumbani uone!
Kadanganye wasiojua!
Mkuu nikupe takwimu tu:Kupata watoto ukiwa na nguvu ili uwalee vizuri, uzee tunajitayarishia wenyewe mkuu, hizo mentality za kutunzwa na watoto ni za zamani sana.
Suala la kutafuta hela ni lako,kama hilo linaleta mtihani wa kulaumiwa ni sisi sisi tusimlaume mwingineKwamba walioko kwenye umri huo wote wana makampuni yao, wanaweza kukaa ho.e na watoto huku makampuni yakiingiza pesa?
Kwanza ujue tu wengi wetu ni hand to mouth kila siku lazima mtu atoke ili aingize kipato. Sasa niambie upo na uzee wako watoto bado wadogo utawalishaje na kuwasomesha kama hizo nguvu za kutoka huna?
Hii kauli ya life begins at 40 ni ya wazungu. Mtu kibao wanapata kazi wakiwa na miaka 36. Sasa anajipangaje na kutimiza yote ndani ya miaka 3?Kwamba mtu akiwa 40+ awe tayari amewekeza na pesa zinamfuata tu mkuu? Sasa mbona wengi wetu ndio tunaanza kujitafuta, tulichelewa either kusoma, kupata watoto, kuwekeza...
Do we still have another chance?
Huna akili, wapi nimesema nisomeshewe?Kumbe unazaa mapema ili usomeshewe watoto shule bure na serikali?
Ushafeli ndugu