Life begins at 40 Vs Midlife crisis

Life begins at 40 Vs Midlife crisis

lakini mimi sio mlemavu
Ningekuwa na uwezo huo ningekusaidia kama itathibitika una uhitaji huo na huna uwezo ila sina huo uwezo mkuu.

Kutoa ni moyo sio utajiri, navyosaidia hao kama nilivyosema kwa walemavu nafanya kadri ya uwezo wa kidogo nilichojaaliwa, nikiwa sina kabisa huwa natoa salamu kuna baadhi tumeshazoeana.
 
Usijali mkuu... naelewa... Kwako huwa unaona ni jambo la kawaida kwa kuwa umeshazoea lakini unafanyaga jambo moja KUBWA Sana... ubarikiwe... Niombee Maombi yako tu mkuu nnashida kweli... Ubarikiwe...
 
Usijali mkuu... naelewa... Kwako huwa unaona ni jambo la kawaida kwa kuwa umeshazoea lakini unafanyaga jambo moja KUBWA Sana... ubarikiwe... Niombee Maombi yako tu mkuu nnashida kweli... Ubarikiwe...
Ni ishu ya muda kila jambo litakuwa sawa kwako, kikubwa usikate tamaa.
 
A bit late anyways,
Watu washasema hapa, una mtoto ananyonya at 40, unadhani hadi unafikia retirement si bado malezi yanapamba moto mkuu?
whats wrong with that?

naona mentality fulani hivi ya kijinga kutegemea watoto waje wakutoe,which is like stealing from other people

tafuta mawe ya ajabu ukistaafu jiwe ni refu mno,kusomesha na wewe kula mpaka ufe

hizi story za eti "nachelewa" kuzaa nani atanitunza ni mentality za nchi masikini sana kama zetu
 
Utakuja kuiona faida yake braza very soon..Mimi pia case yangu ilikua kama ya kwako. Kwako hiyo ni bonge la advantage unaweza usione saa hii kwakua ni mziki kuwatunza.
But believe me ugumu unaokutana nao kumbuka bado una nguvu za ku force..imagine unakua na vitoto vidogo ukiwa na 40 halaf mishe haziend..!!ungepagawa mara 100.

Mimi nilizaa at 22 mwaka wa 1 chuo.
Mkuu,unazaa at 20's hela umetoa wapi ya kulea mke na watoto katika middle class level?

Hela huna,kazi umepata ila bado ni hela ndogo

Hivi unawaleaje watoto na huyo mwanamke?

Hapo medical care ya uhakika,makazi bora,vyakula bora,mavazi,shule bora za International,magari,etc huna tusidanganyane ndugu!

Kama unawalea kiuswahilini unaweza zaa hata ukiwa na 15years na ukaweza

Ila mimi kulea au kuishi na my offsprings kwa level za kiswahili nilizotoka mimi haiwezekani

Formula ni fupi tu,tafuta mawe marefu,jenga misingi imara ya biashara au kazi throughout your 20's then your 30's you can afford any lifestyle na bado usiishiwe maana misingi ni imara kupita maelezo

Huna misingi imara then una-add human beings misingi yote inakua sio imara

Na watoto sio mali yako,wewe ni wewe,kuwahi au kutowahi ni mtoto muhusika,wewe jitegemee mpaka ufe,mtoto hana uhusiano wowote kukusaidia wewe lolote maana nae atakuja kua na jukumu la familia yake yeye

Unaoa,huna hela,unazaa vitoto matunzo ya kiswahili,unakaa uswahili two rooms,unatombewa na huyo mwanamke kabisa maana huna muscles kuwaweka kwenye harrier,vitoto unavipeleka shule za kiswahili yale yale uliyopitia unawarudisha kule kule,where is the advancement?
 
whats wrong with that?

naona mentality fulani hivi ya kijinga kutegemea watoto waje wakutoe,which is like stealing from other people

tafuta mawe ya ajabu ukistaafu jiwe ni refu mno,kusomesha na wewe kula mpaka ufe

hizi story za eti "nachelewa" kuzaa nani atanitunza ni mentality za nchi masikini sana kama zetu

Wapi umeona maandiko ya "nani atanitunza"?
 
Kupata Watoto mapema kuna faida nyingi kuliko hasara.

Tatizo ni mfumo mbovu tu wa maisha ya Bongo.

Wakati wa Nyerere tulisoma bure kwenye shule za umma pamoja na Watoto wa mawaziri.

Karibu kila mzazi mwenyewe Watoto wachache walikuwa ni Watoto wa tano na tulilelewa vizuri tu.

Wanawake waliujuwa wajibu wao mkuu ni kuwa wasaidizi wa waume zao na kuongeza generation kwa kuzaa.

Hiki kizazi cha ngoja hata kubeba mimba kinaona kazi na akibeba mimba anataka azae kwa oparesheni na tuendako watataka mbegu zikarutubishwe maabara wasibebe mimba kwa sababu tumeshakosea tayari mpango wa Mungu.

Kwahiyo tatizo kubwa siyo umri Bali ni mfumo wa maisha.

Mtu kama Kassim Majaliwa uchaguzi ujao anatakiwa asigombee ubunge ale mafao ya uwaziri mkuu lakini mtashangaa anagombea tena ubunge wakati ana uhakika wa maisha hadi anakufa.

Watu hawana kiasi, ukiamuwa kuwa tajiri ndani ya nafsi yako utaenjoy maisha kuliko hawa unadhani wana kila kitu lakini hawana amani wala furaha na wana pesa kibao.
Kumbe unazaa mapema ili usomeshewe watoto shule bure na serikali?

Ushafeli ndugu
 
Wapi umeona maandiko ya "nani atanitunza"?
Hii kusema uwahi kuzaa mapema ni faida ulitegemea mtoto akufanye nini ndio iwe faida?

Unategemea kutunzwa uzeeni just like our parents walivyo na mentality kama hizi za hovyo

Yaani wewe ushindwe kutimiza wajibu wako wa kujitunza dunia hii huo mzigo umpe mwanadamu mwingine akufanyie kisa tu ulimzaa,na yeye familia yake atunziwe na nani?

Hii ni day light robbery!
 
Hii kusema uwahi kuzaa mapema ni faida ulitegemea mtoto akufanye nini ndio iwe faida?

Unategemea kutunza just like our parents walivyo na mentality kama zako
Kupata watoto ukiwa na nguvu ili uwalee vizuri, uzee tunajitayarishia wenyewe mkuu, hizo mentality za kutunzwa na watoto ni za zamani sana.
 
Kupata watoto ukiwa na nguvu ili uwalee vizuri, uzee tunajitayarishia wenyewe mkuu, hizo mentality za kutunzwa na watoto ni za zamani sana.
Ukiwa na nguvu zipi?

Nguvu una maanisha hela?

Upo 20's una hela,ulizipatia wapi?

Upo 20's una muda wa kukaa na watoto full time na bado ukaingiza hela regardless?

Au unasemea nguvu gani wewe?

Ukiwa 30's,40's au 50's unaweza acha kampuni yako wana run watu na wewe ukakaa na watoto muda uutakao na bado ukaingiza the same income...upo 20's kaa nyumbani uone!

Kadanganye wasiojua!
 
Kwamba walioko kwenye umri huo wote wana makampuni yao, wanaweza kukaa ho.e na watoto huku makampuni yakiingiza pesa?
Kwanza ujue tu wengi wetu ni hand to mouth kila siku lazima mtu atoke ili aingize kipato. Sasa niambie upo na uzee wako watoto bado wadogo utawalishaje na kuwasomesha kama hizo nguvu za kutoka huna?
 
Kupata watoto ukiwa na nguvu ili uwalee vizuri, uzee tunajitayarishia wenyewe mkuu, hizo mentality za kutunzwa na watoto ni za zamani sana.
Mkuu nikupe takwimu tu:

1.Wazazi walio wengi wanaopeleka watoto wao shule na kuwachukua mchana ni wazazi wa average age of 34 and above

2.Wazazi walio wengi wanao enda na wanao sehem za ibada ni wazazi kuanzia miaka 40 above

3.Wazazi walio wengi wanaopeleka watoto wao kucheza playing grounds ni wazazi kuanzia miaka 34 and above

4.Same way as clinic na swimming classes

Mzazi wa 20's age range haonekani kwenye takwimu yeyote hana muda huo,hiyo ndio kulea mtoto ukiwa na "nguvu"?

Mzazi aliepo kwenye age range ya 20's ni essentially nae ni a child!
 
Kwamba walioko kwenye umri huo wote wana makampuni yao, wanaweza kukaa ho.e na watoto huku makampuni yakiingiza pesa?
Kwanza ujue tu wengi wetu ni hand to mouth kila siku lazima mtu atoke ili aingize kipato. Sasa niambie upo na uzee wako watoto bado wadogo utawalishaje na kuwasomesha kama hizo nguvu za kutoka huna?
Suala la kutafuta hela ni lako,kama hilo linaleta mtihani wa kulaumiwa ni sisi sisi tusimlaume mwingine

Kuwahi kuzaa ni kwamba tumeona na sisi tutoe vitoto tuwe na rekodi tulizaaga ila kulea kwa standard zinazotakiwa resources hizo HUNA!

Hand to mouth inaondolewa kwa kufanya kazi kwa bidii kuanzia walao 20yrs to 40yrs,hiyo ni including kusoma na kupata rare skills that other human beings will be willing to pay you to have your services or products.

Na sio wote wanafaulu maisha,kuna watakaofaulua na watakao feli,kundi lipi tupo hiyo ni decision binafsi
 
Kwamba mtu akiwa 40+ awe tayari amewekeza na pesa zinamfuata tu mkuu? Sasa mbona wengi wetu ndio tunaanza kujitafuta, tulichelewa either kusoma, kupata watoto, kuwekeza...

Do we still have another chance?
Hii kauli ya life begins at 40 ni ya wazungu. Mtu kibao wanapata kazi wakiwa na miaka 36. Sasa anajipangaje na kutimiza yote ndani ya miaka 3?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom