Mkuu,unazaa at 20's hela umetoa wapi ya kulea mke na watoto katika middle class level?
Hela huna,kazi umepata ila bado ni hela ndogo
Hivi unawaleaje watoto na huyo mwanamke?
Hapo medical care ya uhakika,makazi bora,vyakula bora,mavazi,shule bora za International,magari,etc huna tusidanganyane ndugu!
Kama unawalea kiuswahilini unaweza zaa hata ukiwa na 15years na ukaweza
Ila mimi kulea au kuishi na my offsprings kwa level za kiswahili nilizotoka mimi haiwezekani
Formula ni fupi tu,tafuta mawe marefu,jenga misingi imara ya biashara au kazi throughout your 20's then your 30's you can afford any lifestyle na bado usiishiwe maana misingi ni imara kupita maelezo
Huna misingi imara then una-add human beings misingi yote inakua sio imara
Na watoto sio mali yako,wewe ni wewe,kuwahi au kutowahi ni mtoto muhusika,wewe jitegemee mpaka ufe,mtoto hana uhusiano wowote kukusaidia wewe lolote maana nae atakuja kua na jukumu la familia yake yeye
Unaoa,huna hela,unazaa vitoto matunzo ya kiswahili,unakaa uswahili two rooms,unatombewa na huyo mwanamke kabisa maana huna muscles kuwaweka kwenye harrier,vitoto unavipeleka shule za kiswahili yale yale uliyopitia unawarudisha kule kule,where is the advancement?