Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
kwaiyo tuendelee kufyatua tu watoto hata uzeeni haina shida?Ninachojua ni kwamba maisha hayana formula.
Hayo mengine ni inspirational quotes.
kwaiyo tuendelee kufyatua tu watoto hata uzeeni haina shida?Ninachojua ni kwamba maisha hayana formula.
Hayo mengine ni inspirational quotes.
Naam. kama mbegu ipo na shamba la kupanda lina rutuba, watoto ni mtaji mwengine tulojaaliwa sisi masikini.kwaiyo tuendelee kufyatua tu watoto hata uzeeni haina shida?
Kuna inspirational speaker alinukuliwa akisema "wale wanaopata mafanikio mapema, wana hatari ya kufa mapema kutokana na kumaliza kutimiza malengo ya kuzaliwa kwao duniani"Kwa upande wangu nadhani sababu kubwa ni hali ya kuridhika na ujana, tunaona kama tutabaki vijana milele wakati muda unazidi kwenda, kuna siku nilipewa ushauri na mzee wangu alinambia "mwanang ukiona maisha yako yanaenda kwa asilimia flani kama ulivotarajia tafuta mwanamke oa anzisha familia mapema iwezekanavyo, hakuna muda sahihi 100% wa kuoa, kila siku kuna changamoto ndogondogo ambazo haziishi ila ukiona una uhakika wa kipato cha kutunza mwanamke oa achana na mambo ya ujana unapoteza muda tuu"
Haya maneno hadi leo yanakumbuka, ni ushauri mzuri ila kweny masikio ya vijana wengi ni kama makelele.
Kuna siku nilimuuliza mzee kwann alinambia hivo akanipa haya majibu;
-ukiwahi kuoa na kupata mtoto wa kwanza kabla hujavuka miaka 25 kichwa kinapata moto haraka sana wakati bado una nguvu(kijana), hii hali itaku-push kupambana sana kwa sababu kuna watu wanakutegemea home
-ukiwahi kuoa na kupata watoto mawazo yako, fikra zako na malengo yako yatakuwa yamenyooka, malengo yako yatakuwa na muelekeo flani, nguvu zako zote utazielekeza kweny maendeleo yako na familia yako, huta kuwa na muda wa kupoteza wa kukaa vijiweni au kwenda viwanja kujirusha.
-ukizaa kabla hujavuka 25, hadi mtoto wako let's say amalize diploma(sidhani kama kuna mwanang nitampeleka advance) atakuwa na miaka 19 plus na yako ww utakuwa 44, uzuri wa hii utakuwa angalau umemaliza part kubwa ya expenses za shule za watoto kabla hujafika uzeeni, ogopa sana kusomesha watoto uzeeni, ukisomesha mtoto wa mwisho uzeeni haina shida ila sio kwa kwanza aisee. Alaf faida nyingine una enjoy watoto wako wakati bado na ww una nguvu, dogo ana miaka 15 ww una 40 inapendeza sio dogo ana 15 ww una 50 ushaanza kuchoka inakuwa haipendez kiasi flani.
-Anyway huu ni ushauri tuu mzee alinipa nadhari tutajifunza kitu humu.
Ili uwe ushuhuda kwa wakubwa na wadogoUsipojisaidia hata huyo Mungu unayemwamini atakuacha ufe njaa au uwe na uzee wa taabu na dhiki kuu.




Aisee kitu ulichosema ni cha ajabu sana sijui hata nikujibuje, okay fanya hv subiri mafanikio yaje uzeeni uishi milele.Kuna inspirational speaker alinukuliwa akisema "wale wanaopata mafanikio mapema, wana hatari ya kufa mapema kutokana na kumaliza kutimiza malengo ya kuzaliwa kwao duniani"
Sijuwi kuna ukweli hapo au hii message ilikuwa too objective?
Maneno yako yamenipa tabasamu mkuu🙏🙏.Haiwezekan at 40 uwe umeji establish vya kutosha..
NB
japo wapo, ila sio wengi sana aisee..maana kkna watu wana bahat zao dunian hapa
Uko sahihi mkuu ila kuna dada namjua yuko early 40's ana nyumba 11 Dar na nyumba yake ya kwanza alijenga alivyomaliza form six tu.Huyo kaanza hustle toka yuko primary.Uzushi huo,tafuta ratio ya walioko kwenye 30+ age kama wamefanikiwa Kwa lolote,ni wachache sana badala yake kuanzia huko kwenye 40s ndio watu wengi wanaanza kufanikiwa na asikudanganye mtu miaka 50 Wala sio Mingi Wala sio Mzee unless unaumwa.
Ishu kubwa ni kutunza Afya ,kibongo bongo mafanikio uliwahi sana ni 35-50 hapo chini ya hapo ni uongo.
Nimependa ulichosema.Life is how you make it. No matter what age you are. Ukivuka 40 years na kama una uwezo wa kuenjoy, ndiyo usiende kujirusha kwa sababu umevuka umri wa kujirusha? Nani kwani anaweka hizi cut-off points/boundaries? Enjoy kama una uwezo. Life is too short. Kwanza usipoenjoy ndiyo kwanza unajiongezea ma-stress bure. Mara BP hiyo inabisha hodi. Mara kisukari. Mara matatizo ya moyo. Yanini uteseke roho? Narudia, life is how you choose to make it. Has no age boundaries. Do what makes you happy. Muhimu tafuta pesa, na tumia pesa.
umeongea point kubwa sanaMi naona Life begins at 25, ukifika miaka 25 akili zote za utoto zinakuwa zimeisha huwazi tena kupiga picha kali, kucheza games, kama ramani hazijakaa sawa na una akili timamu hata usingizi huwa unakata katkat ya usiku wa manane.
Na ukiendekeza mitandao ya kijamii unaona vijana wa umri wako wametoboa unaweza kujikuta hata furaha unakosa kabisa, ni umri mgumu sana vijana wengi wanajitoa uhai hapa 25-35, kwasababu changamoto za maisha zimeanza rasmi.
Kiukweli ukishafikisha miaka 40+ unaanza kuwa matured. Akili inaanza kuwaza katika mambo makubwa. Kama hujajenga utaanza kujitafuta ili ujenge na kama hujawekeza utatafuta uwekezaji ili uwekeze. Halafu ukiwa 40 na zaidi ndio kipindi ambacho hata ufunuo wa kumjua Mungu zaidi unaupata. Pole pole unaanza kuachana na mambo ya kujirusha na matumizi yasiyo ya lazima. Binafsi, nimefanya maendeleo ya kipato na kifamilia katika kipindi hiki. Ni kipindi ambacho nimejenga nyumba 3 na naendelea na ujenzi wa nyumba 1 (ghorofa). Halafu nimefanya uwekezaji wa mashamba makubwa. Nafanya kilimo cha mpunga, maparachichi na viazi mviringo, vilevile nafuga Ng'ombe, Mbuzi na Kuku kwa wingi. Zaidi, nimejikita kwenye shughuli za kiroho kwa kumtumikia Mungu na kuwasaidia wahitaji (Wagonjwa, Wajane, Wagane na Wasiojiweza). Ninatamani na nimeweka Agano na Mungu la kuwa na Informal Institution ya kusaidia wahitaji. Naomba kuwasilisha WanaJF.Huu msemo upo kama inspiration ya kupambana na kujiandaa vyema kwa walio chini ya 40 yrs, kutokana na uhalisia wa maisha ya binadamu akifikisha miaka 40 uwezo wake kwenye mambo mengi unakuwa sio sawa na ilivyokuwa kabla.
Nimejaribu tu kuwaza huenda huwa ni hivyo naomba wale ambao ni 40+ watupe experience yenye uhalisia.
Hongera sana mkuu upo vizuri kimafanikio na inapendeza zaidi unamtumikia Mungu wako.Kiukweli ukishafikisha miaka 40+ unaanza kuwa matured. Akili inaanza kuwaza katika mambo makubwa. Kama hujajenga utaanza kujitafuta ili ujenge na kama hujawekeza utatafuta uwekezaji ili uwekeze. Halafu ukiwa 40 na zaidi ndio kipindi ambacho hata ufunuo wa kumjua Mungu zaidi unaupata. Pole pole unaanza kuachana na mambo ya kujirusha na matumizi yasiyo ya lazima. Binafsi, nimefanya maendeleo ya kipato na kifamilia katika kipindi hiki. Ni kipindi ambacho nimejenga nyumba 3 na naendelea na ujenzi wa nyumba 1 (ghorofa). Halafu nimefanya uwekezaji wa mashamba makubwa. Nafanya kilimo cha mpunga, maparachichi na viazi mviringo, vilevile nafuga Ng'ombe, Mbuzi na Kuku kwa wingi. Zaidi, nimejikita kwenye shughuli za kiroho kwa kumtumikia Mungu na kuwasaidia wahitaji (Wagonjwa, Wajane, Wagane na Wasiojiweza). Ninatamani na nimeweka Agano na Mungu la kuwa na Informal Institution ya kusaidia wahitaji. Naomba kuwasilisha WanaJF.
na mtu mwenye miaka zaidi ya 35?Hapana, ujana nchini Tanzania ni kuanzia umri wa miaka 18 hadi 35.
Amina. Najisikia raha sana ninapomsaidia mtu mwenye uhitaji.Hongera sana mkuu upo vizuri kimafanikio na inapendeza zaidi unamtumikia Mungu wako.
Ni jambo zuri sana binafsi napenda sana kufanya hivyo kadri ya nilivyojaaliwa hasa kwa walemavu. Nadhani katika kitu nafanya kwa upendo mkubwa kabisa ni hikiAmina. Najisikia raha sana ninapomsaidia mtu mwenye uhitaji.
naomba unisaidie milioni 2 niende shule nikasome kama utakuwa na uwezo tafadhali...Amina. Najisikia raha sana ninapomsaidia mtu mwenye uhitaji.
naomba unisaidie milioni 2 nikasome kama utakuwa na uwezo tafadhal uncle...Ni jambo zuri sana binafsi napenda sana kufanya hivyo kadri ya nilivyojaaliwa hasa kwa walemavu. Nadhani katika kitu nafanya kwa upendo mkubwa kabisa ni hiki
lakini mimi sio mlemavuNi jambo zuri sana binafsi napenda sana kufanya hivyo kadri ya nilivyojaaliwa hasa kwa walemavu. Nadhani katika kitu nafanya kwa upendo mkubwa kabisa ni hiki
lakini mimi sio mlemavuAmina. Najisikia raha sana ninapomsaidia mtu mwenye uhitaji.
Wasilisha mahitaji na uthibitisho unaokuonesha kuwa umepata nafasi ya kwenda kusoma (shule) na huna uwezo wa kulipa ada na michango mingine ili nione namna ya kukusaidia.naomba unisaidie milioni 2 niende shule nikasome kama utakuwa na uwezo tafadhali...
FactManeno "life begins at 40" yana maana kuwa mtu akifika umri wa miaka 40, maisha yanakuwa bora zaidi, labda kwa sababu tayari mtu keshapata skills, experiences na namna bora ya kuyafurahia maisha. Msemo huu ulitungwa na mwanafalsafa Pitkins na umejipatia umaarufu mkubwa hapa duniani.
Katika kusomasoma kwangu nimekuja kufaham kwamba kumbe kuna watu wakifikia 40 wanapata hofu ya maisha(hapo hata mimi nikaanza kuwa na hofu), wanahisi uzee unakuja, ujana unaondoka, vile walivyokuwa wakiyafurahia maisha kama kujirusha, kula ujana vyote vinapotea ghafla.
Tunapoingia umri huu wa 40+, tunaanza kujitambua zaidi, kutambua thamani yetu zaidi na kutojali maisha na mawazo hasi ya wengine. Na hapa ndio hoja inapokuja, kwamba kwa mwafrika wa kawaida je ni kweli kwamba life begins at 40? Maana yapo mengi sana tunafatiliana, mtu kaacha yake anasumbukia ya jirani ili mradi tu amuumize au apate furaha kumuona mwenzake anaumia.
Wanasema at 46 life is at the peak, yaani kumbe ukifika 46 ndio umefikia peak ya maisha yako, baada ya hapo ile graph inaanza kushuka taratibu hadi upigwe chepe. Na wengine wanasema ukifika 40+ unatakiwa uwe tayari umefikia malengo yako kwa asilimia 90, kuzaa, kulea, career, kujenga, kusomesha...
Sasa je, nini kinaleta midlife crisis?
Kwanini katika umri huo mara nyingi tunasemwa kuwa we're going through midlife crisis?
Je, ni kwa sababu huenda hatujafikia malengo yetu ya kimaisha na hivyo kufanya maisha kuwa na ukakasi?
Imagine katika umri huu:
● Huna mke/familia(very optional)
□ Watoto wadogo hawajaanza hata chekechea(kina sie).
● Hujawa na sehemu ya kujibanza(kijumba).
○ Hujawa stable career wise, bado unajitafuta.
Ni lazima kichwa kiwake moto, lazima stress levels ziwe juu na usipoangalia unaweza kupata sonona.
Msije na hoja ya maokoto tu.
Happy Sunday, mtuombee sie wakosefu!!