Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,832
Na je,
Chadema inafanya siasa kweli?
Sote ni mashahidi,
uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao.
Pamoja na hayo,
bado changamoto ya uhasama usio julikana, chuki binafsi kisiasa , kutoaminiana wala kutothaminiana miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani kuna onekana kwa maneno na vitendo.
Kwanini unadhani vyama vya upinzani nchini hawapendani na wala hawaaminiani wao kwa wao licha ya uwanja wa demokrasia kuimarika sana na wote wakilenga kukiondoa madarakani chama tawala?
Je kinachoonekana sasa,
ni Chadema ndio imejitenga na upinzani au upinzani ndio umeitenga Chadema?🐒
Mungu bariki Tanazanians.