yatima
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 354
- 130
Kitu kimoja ambacho kinanichanganya; Gadafi anaondoka madarakani kwa nguvu ya uma (kama Mubarak wa Misri na Ally wa Tunisia) au kwa nguvu ya Nato?NATO inalinda watu kwa kuua watu? Wote tunajua ilikuwaje Rwanda na Burundi in 1994,was NATO not there? mbona hawakupeleka majeshi yao pale?kuna mifano mingi kama hiyo,tusidanganyike.Westerners wana maslahi popote pale wanapotia mguu. Nawaonea huruma rebels wa Libya,wamefanywa chambo cha kuiuza nchi yao wenyewe na historia itawahukumu milele.
ni kweli kabisa .........pamoja na kuuza nchi yao ..........wamesababisha umwagaji mkubwa wa damu ..........damu iliyomwagika itawahukumu daima ..... watoto, wazee, wanawake na wanaume wa Kilibya waliokuwa waendelea na shughuli zao .... halafu wanastukia wanauwawa hovyo ..eti NATO inarusha marisasi ............si hao wazungu wangewaacha Walibya wafanye mambo yao wenyewe?????? YES THE WORLD IS NOT FAIR BUT MOSTLY THE WESTERNERS (FREEMASONS) ARE NOT FAIR.