Huzuni yangu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huzuni yangu!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ziltan, Aug 23, 2011.

 1. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,347
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tangu february nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa ambapo vyombo ya kimagharibi vinadai kuwa majeshi tiifu kwa kanali M Ghadaffi yanadhibiti sehemu ndogo ya mji wa Tripol, hivyo huenda Rais pekee mwenye msimamo juu ya ukoloni mambo leo hapa afrika ukawa pabaya... .
  Binfsi nishafika libya na wanachuo wenzangu wengi tu ikiwa ni moja y machache sana ktk mazuri yake ambayo naweza kuyashuhudia mimi niliyeko hapa ,je wale walibya na wengine
  maombi pleaz kwake
  Mola amsaaidie.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  pole sana
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Pole sana....lakini naomba nikuelimishe kidogo....umeiweka mahali si pake....hapa ni chumba cha malavidave......
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  dah niliifungua sred kwa spidi nikajikwaa!
   
 5. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila mtu atavuna alichopanda.
   
 6. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,347
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii ina sura zote yaan siasa na pia mapenzi kwa mtu fulan,
  binafsi nampenda ghadafi na kama ningeweza ningeenda kumpigania
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 417,504
  Trophy Points: 280
  tusimulie vihoja vya kadafi na yule mama wa kizungu hapo tutakuelewa................vinginevyo kimbilia kule IA
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Aaaaagggr! We huku hatupendi mastress. Hebu hamisha hii thread.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo asaidiwe je?
   
 10. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nimekosea jukwaa au? hapa sio MMU?
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Una bikira? maana hizo ndio sifa za Gaddafi yeye anataka mabikira ili akate siridi mwenyewe.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  s/he is in love with libya. so ni mahali pake,lol
  <br />
  <br />
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  nitakosa raha sasa.
   
Loading...