LIBYA: Pigo kubwa, huzuni na simanzi!

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,647
6,829
Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,

In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,

Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.

Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.

Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.
 
Gaddafi alikuwa kiongozi dikteta, muuaji na mdhulumishi aliyewahadaa wananchi wake kwa vimisaada vidogo huku yeye akijilimbikizia mali nyingi. Alidiriki kuwaua wapinzani wake na kuwafunga kwa muda mrefu wote wanaomchukia. Hakuna kingine anachostahili ili kukabiliana na mashtaka yake kwenye ICC na ikiwezekana anyongwe ili akaonane na mwenzake Saddam.
 
Hivi unaongea kwa ushahidi au ushabiki!?
 
<br />
<br />
Ushahidi, tena ni Gaddafi huyuhuyu aliyekuwa anawasaidia waasi wa Liberia kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe na aliisaidia silaha Uganda kipindi cha vita na Tanzania. Labda atakumbukwa na waislamu kwasababu aliwajengea misikiti na kuwapa tende kipindi cha mfungo.
 
Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,

In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,

Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.

Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.

Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.
Yaani unaombea wenzako wauane, hata dikteta Gaddafi hakuwa na roho mbaya kama yako.

Tuachane na hayo soma hapa £1m for Gaddafi 'dead or alive'

A £1 million reward has been offered for the capture of Colonel Muammar Gaddafi as Foreign Secretary William Hague called on the Libyan dictator to recognise his 42-year rule was over and stand down his forces.
 
Usipoipisha tsunami ujue itakusomba utake usitake - je Tanzania kama Libya itataka kujipima nguvu na tsunami ?
QADDAFI+STILL+IN+LIBYA.jpg

Pole Gadafi !
 
Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,

In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,

Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.

Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.

Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.
Thank you bro. mie nipo pamoja na Gadafi. Wale tu wenye uvivu wa kufikiri watawaunga mkono waasi na mabepari wao.
 
Jamani, tusiwe mashabiki tuu kwa sababu ya kuwa mashabiki. Ukweli ni kwamba kati ya NATO na Gaddafi hakuna aliye mzuri. NATO na wanailipuwa nchi ya wenyewe wakidai wanalinda haki za raia wa libya, kama ni kweli mbona hawajaenda syria, mbona hawakuja sudan, rwanda na burundi je. Gaddafi ana mabaya yake lakini pia NATO wasiyatumie kuhalalisha maovu yao.
 
Watajaza wenyewe hao walibya na Libya yao. Mimi hayanihusu. Kama wakigeukana wachinjane kama Somalia so be it!
Najali kinachoendelea hapa bongo.
 
Nyie wote mnaojifanya mna uchungu na Gaddafi si mumtafute huko aliko na mumpe msaada. Oh sijui nina huzuni, o eti sijui alitaka kuunganisha Africa, eti ninampenda, eti ndio kiongozi pekee...bla, bla, bla. Itasaidia nini wakati Gaddafi saa izi anawindwa? Nyie kama kweli mnampenda Gaddafi si mngempa ushauri kabla hili balaa halijamkumba? Now it is too late. Trust me!
 
Kwa hiyo wewe uliwapa ushauri wale waasi, mbona uwapelekei misaada.
 
Nyie wote mnaojifanya mna uchungu na Gaddafi si mumtafute huko aliko na mumpe msaada. Oh sijui nina huzuni, o eti sijui alitaka kuunganisha Africa, eti ninampenda, eti ndio kiongozi pekee...bla, bla, bla. Itasaidia nini wakati Gaddafi saa izi anawindwa? Nyie kama kweli mnampenda Gaddafi si mngempa ushauri kabla hili balaa halijamkumba? Now it is too late. Trust me!
Umeandika kama mlevi vile amekurupushwa.
Misaada na ushauri vimekujaje tena hapa mkuu.
Watu wanajadili kutokana na uhalisia unao uona binafsi na sio uchungu au nini
 
Mimi binafsi nimefurahishwa sana kwa jinsi huyu tyrant Khaa'daafu anavyo pewa kipigo bila ya huruma na rebels. Swali ambalo bado najiuliza, ALLAH wa ISILAMU YUPO WAPI na kumwacha kiongozi wake akitolewa nishai?

Rebels nawapa big up, chapa huyu Khaa'daafu tyrant huku mkimwangalia macho.

Nyie mnao mwonea huzuni nendeni mkamsadie huyo khaaa'daafu. Yeye sasa asubiri kupewa ile dawa ya Sadam Whosain, akawahi kwenda kwa wale 72 bikira wa kishaytwain.
Mkuu jukwaa la dini limekupumbaza akili kabisa
 
waasi n kivuli tu....mwenye remote yuko white house ha ha ha...kuni za pembeni inaicheka inayo ungua. Leo kwao kesho..........!! Fikiri kabla ya kufanya
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom