LIBYA: Pigo kubwa, huzuni na simanzi!

Kitu kimoja ambacho kinanichanganya; Gadafi anaondoka madarakani kwa nguvu ya uma (kama Mubarak wa Misri na Ally wa Tunisia) au kwa nguvu ya Nato?NATO inalinda watu kwa kuua watu? Wote tunajua ilikuwaje Rwanda na Burundi in 1994,was NATO not there? mbona hawakupeleka majeshi yao pale?kuna mifano mingi kama hiyo,tusidanganyike.Westerners wana maslahi popote pale wanapotia mguu. Nawaonea huruma rebels wa Libya,wamefanywa chambo cha kuiuza nchi yao wenyewe na historia itawahukumu milele.


ni kweli kabisa .........pamoja na kuuza nchi yao ..........wamesababisha umwagaji mkubwa wa damu ..........damu iliyomwagika itawahukumu daima ..... watoto, wazee, wanawake na wanaume wa Kilibya waliokuwa waendelea na shughuli zao .... halafu wanastukia wanauwawa hovyo ..eti NATO inarusha marisasi ............si hao wazungu wangewaacha Walibya wafanye mambo yao wenyewe?????? YES THE WORLD IS NOT FAIR BUT MOSTLY THE WESTERNERS (FREEMASONS) ARE NOT FAIR.
 
Yaani walibya wasubiri .......mafuta yao yatakavyochotwa kiulani na wazungu .......wataweka bomba kubwaaaaaaaa baharini na kuyanyonya wapendavyo ............hata kama gadaffi alikuwa mbabe ila alilinda rasilmali ya nchi yake ....
After some days .......watamkumbuka tu ............ Ngoja watawaliwe tena na wazungu - wanafiki ...
 
Nimefatilia kwa umakini sana kile kinachoandikwa hapa nanyi wadau, nilichojifunza ni kwamba wengi wa wachangiaji hawajui kinachoendelea na wamefumbwa na propaganda za vyombo vya habari vya magharibi... Ni kweli tuna utapiamlo wa kufikiri na kufanya uchunguzi wa mambo ya kimataifa na hili ni tatizo la kitaifa, hatuko salama..<br />
<br />
Tumieni muda huu kufikiri na mfanye uchunguzi issue ya Libya ni zaidi ya kusikia na kusoma.
<br />
<br />
Tupe huo uchunguzi uliofanya!
 
Hv mambo yaliyosababisha uasi huko Libya huku Tz hayapo na kuzidi? Mbona hakuna rebels walioamua kwenda msituni? Au ni misitu hakuna? Au tumezoea tabu? Au mshika remote {western's} hawana cha kuiba hapa tz? Au tumewapanulia wanajisevia wenyewe? GOD 4GIVE CUZ NAJICKIA KUHASI HASI TU!!
 
Rebels wanadai wamewazunguka Gaddafi na wanawe kwenye "Hole" ambayo ipo kwenye apartment buildings next to his Bab Al Aziziya compound.Source ni CNN
 
<br />
<br />
Tupe huo uchunguzi uliofanya!

Hivi Kikosi cha SEAL chaweza torokwa na mtuhumiwa kweli. nadhani hii vita itakuwa na undumilakuwili mwingi sana. Maana navyofahamu kulitakiwa kusiwe na upinzani wa aina yeyote kwa sasa. Inaoeneka baadhi ya Rebels bado wapo kwa mzee.
 
Hv mambo yaliyosababisha uasi huko Libya huku Tz hayapo na kuzidi? Mbona hakuna rebels walioamua kwenda msituni? Au ni misitu hakuna? Au tumezoea tabu? Au mshika remote {western's} hawana cha kuiba hapa tz? Au tumewapanulia wanajisevia wenyewe? GOD 4GIVE CUZ NAJICKIA KUHASI HASI TU!!

Yaani ulishabanwa Lontime uliambiwa weka demokrasia binafisha sasa wamfadhili muasi wa nini wakati wanachota kilainiiiiiiii kama wananawa. jifanye una uchungu kama Mzee mchonga kama huta shinda njaa muda wote. gadafi alikomaa nao mpaka sasa akawa tishio. Pesa alizonazo huko akichomoa tu mtiki siko wa uchumi duniani.
 
Kitu kimoja ambacho kinanichanganya; Gadafi anaondoka madarakani kwa nguvu ya uma (kama Mubarak wa Misri na Ally wa Tunisia) au kwa nguvu ya Nato?NATO inalinda watu kwa kuua watu? Wote tunajua ilikuwaje Rwanda na Burundi in 1994,was NATO not there? mbona hawakupeleka majeshi yao pale?kuna mifano mingi kama hiyo,tusidanganyike.Westerners wana maslahi popote pale wanapotia mguu. Nawaonea huruma rebels wa Libya,wamefanywa chambo cha kuiuza nchi yao wenyewe na historia itawahukumu milele.
kwani kosa la Al Qaeda na Al Shabab ni lipi? NATO wanafanya nini? Ukishabikia Nato ukimaliza endelea kuwashangilia wafuatao pia... Al shabab, Al Qaeda, LRA, Waasi Wa Sierra Leon, Abbu Sayyaf et al. Wote wanafanya kitu ileile kwa style tofauti
 
waasi n kivuli tu....mwenye remote yuko white house ha ha ha...kuni za pembeni inaicheka inayo ungua. Leo kwao kesho..........!! Fikiri kabla ya kufanya


Wataelewa vizuri Ghadafi akiondolewa (sitaki kusema akifa, maana sitaki auawe na hao vibaraka). They dont know what is in store for them. Traitors! Hawamjui Dikteta wala jambazi, watajua baadaye.
Na hao Marekani wakishamtoa adui yao Ghadafi ndo watajua hao waasi ni kina nani. Is Libya another Al Qaeda base?
 
[h=2]&#8216;Before NATO intrusion, Libya was African Switzerland'[/h] permalink email story to a friend print version
Published: 25 August, 2011, 15:51



Libya, Tipoli (AFP Photo / Getty Images)
(71.1Mb) embed video
XEMBED
To include this chart in your web page, paste the following HTML tag into your web page HTML: <object width="370" height="277"><param name="movie" value="http://rt.com/s/swf/player5.4.swf?file=http://rt.com/files/news/interview-libya-nato-intrusion-127/interview-658.flv&image=http://rt.com/files/news/interview-libya-nato-intrusion-127/tipoli-libya-262.n.jpg&skin=http://rt.com/s/css/player_skin.zip&provider=http&abouttext=Russia%20Today&aboutlink=http://rt.com&autostart=false"></param><embed src="http://rt.com/s/swf/player5.4.swf?file=http://rt.com/files/news/interview-libya-nato-intrusion-127/interview-658.flv&image=http://rt.com/files/news/interview-libya-nato-intrusion-127/tipoli-libya-262.n.jpg&skin=http://rt.com/s/css/player_skin.zip&provider=http&abouttext=Russia%20Today&aboutlink=http://rt.com&autostart=false" type="application/x-shockwave-flash" allowfullscreen="true" width="370" height="277" /></object>



TRENDS: Libyan conflict
TAGS: Arms, Conflict, Military, NATO, Interview, Politics, Sara Firth, Libya, Gaddafi, War

NATO's presence in Libya little resembles a humanitarian mission with houses, hospitals and schools being hit. But Libya prospered prior to NATO's intrusion, Yvonne Di Vito, an activist from Libyanfriends.com told RT.
*RT: You have been saying that here in Italy the news reports abut what is happening in Libya were very confusing, a lot of conflicting information there. Can you tell us what you saw and what you found?

Yvonne Di Vito: We went to Libya on the 28th July and we came back on the 7th August and we found a totally different situation because NATO was bombarding civilians.

The bombings were not only carried out on military targets, but they also hit houses, hospitals, schools, television centers, and this was totally against the humanitarian reasons they said they were there for.

I believe they were doing this to bring panic in the city. That's why they were bombing the things that people use daily, like places with food and essential utilities like hospitals.

This was also a difficult period for Muslims because of Ramadan and that is why in the daytime they're in their houses. We went to Tripoli and to Zitan and we saw huge protests with thousands of pro-Gaddafi supporters turning out against NATO and all these demonstrations were not shown in Italy.

We also visited Tanjur and Sansur and found a lot of women that were screaming at us, asking &#8216;Why you Italians are bombing us? What did we do to you? Why are you killing our children?' That was their main question. When we went to Zitan, the same day they bombed a house and in this house two children were killed. We tried to show the pictures of these children that were dead. But apart from us, no one else did the same.

Except the things that we saw with our own eyes visiting these places that were bombed, we have so much material that press officers and journalists from Libya gave to us as testimony to all the dead from the NATO bombings.

After all the things that we saw we have one question: is this a humanitarian war? Are they really helping the civilians, because I believe that all this is because of economic reasons, or at least there are other reasons that this war happened, petroleum or other things.

We also visited Libya before and what we found was a normal situation where people were fine. Differently from other countries that went through a revolution &#8211; Libya is considered to be the Switzerland of the African continent and is very rich and schools are free for the people. Hospitals are free for the people. And the conditions for women are much better than in other Arab countries.

RT:You've met Gaddafi personally on a number of occasions. What do you think post war and post Gaddafi Libya is going to look like?

YDV: Even if all the television stations are showing people fighting and demonstrating against Gaddafi, I personally saw many people demonstrating for Gaddafi. I don't know why so many journalists are not showing this, because they are manipulating the situation. Independent media show these videos on the internet because there is more freedom. From what we saw personally from when we were in Libya and from the documents we got we saw the rebels as disorganized groups.

RT: Are there fears among the people that the rebels coming to power will prove an ongoing continuation of the volatile situation?

YDV: I believe that the rebels will not be able to do a good job after Gaddafi. Among them there are many extremist groups, Islamists, Tunisian people, I don't know why they are there. Al-Qaeda, rebels from Libya that just wanted a change, but there is too much disorganization to make a good job.

The people we interviewed were very afraid to imagine that the rebels could take power, because they think that they are not able to govern the country or take control in a proper way. The chiefs of these groups of rebels are ex-politicians, former politicians that before were with Gaddafi and then they completely changed their face. They went with the wind, as they say in Italy.

RT:Are there concerns that amongst the rebels now there are many ex-politicians that are simply taking off their uniforms joining the rebels and leaving to fight?

YDV: I think they are corrupt politicians. And this was also demonstrated as the chief of the rebels was killed at the order of the leader of the rebels.

We've seen many times that these rebels are making criminal acts, for example they've taken Libyan soldiers and killed them by cutting their heads off and they take their hearts out and show [sic] them to the people. So our question is, are we making allies of these people who are committing criminal acts and can these people really govern a country.

RT:NATO as a humanitarian mission &#8211; does this stand up to scrutiny now?

YDV: I believe it's not a valid justification because most of the targets were civilian and many people say the people were targets on purpose to create panic on the ground.

RT:How much of a discrepancy did you see on the ground between what NATO was saying and what was happening?

YDV: We saw many discrepancies every day. The first day that NATO bombed a civilian target, I apologized to people saying that it was a mistake.

But the day after, they kept bombing the civilian targets and when the Libyan government was asking why they are bombing civilians, NATO were denying it saying it was Gaddafi propaganda. That wasn't true. We saw it.

RT: This has been described by you as a war of disinformation. How much of that did you see on the ground?

YDV: We can see still how much the media are manipulating this situation &#8211; they say that Gaddafi's sons have been arrested, whilst this turns out to be untrue. They report that all of Tripoli has been taken over by the rebels and this also proves untrue.

A friend of ours who is a businesswoman who lives in Tripoli and also created a commission to make an investigation into the facts of what happened in Libya, told me she found some journalists who were making false reports, saying that the rebels were behind them when in fact the city behind them was empty. We saw pictures of Green Square that is completely full of rebels. But if you compare those pictures to other pictures of Green Square it's completely different, it seems like a set was created on purpose to make the public think that all of Tripoli was taken by the rebels, and all the Gaddafi family was dead.

We think this is a NATO tactic because they want people to think that rebels have taken power and I believe they are doing this because NATO is in a hurry to show this before the 30th August, because they do not want to have to provide further financing for the war.

RT:Are there fears among the people that the rebels coming to power will prove an ongoing continuation of the volatile situation?

YDV: This was not a popular demonstration, but a huge military action against Gaddafi. I think after Gaddafi it will be very difficult and NATO won't leave the National Transitional Council to govern as they have put a lot of money into this war, so probably they will want some of that power and to be in charge.

So it is just an excuse or justification that they want to help the people &#8211; they will continue to take control on the city.

RT: You were talking about the tribes in Libya. Do you think that Western countries understand exactly what it is going to take to unite and bring democracy to Libya?

YDV: Before it was difficult to maintain the government in Libya because it is made of many tribes, it's a tribal democracy, a society made of tribes that have conflicts with each other.
So it was difficult before and I imagine now it'll be even more so.

RT: What do you think will going to happen in Libya now?

YDV: Me and many other people that are watching Libya are afraid that it may become another Afghanistan &#8211; a country that is devastated by wars that last for years and years.

It is a society completely different from us and our idea of democracy, they don't approve it. Their idea of government is based on groups and tribes that have their own chief, then those chiefs together form a national counsel.

They believe that this is the only way to represent all the social groups. For example they don't like our form of democracy because if 60 per cent of a country votes for one president, then the remaining 40 per cent don't agree with the president, they believe this is not a form of democracy.

This is the first time that a country was attacked even though they asked for a commission to go into the country and to investigate and find facts. That didn't happen. They just attacked. This was started with false pictures sent by Al Jazeera though the media. Other media took these pictures and confirmed them as true and the war was on.

The most important thing is that the government said it was open to negotiations, but NATO didn't want that.
 
Nawewe kwa kuchanganya siasa na dini nakuaminia, ila sikulaumu maana ukichanganya hivyo vitu viwili lazima uwe chizi.
Ila machizi nao ni watu pia hivyo ondoa shaka juu ya mustakabali wako.
Eeh! Yaani wewe ndio kabsia unajitangaza ni wa mlengo gani.... Ukiondoa ako kachuki kako ka udini, basi akili yako itarutubika vema kabisa, just use atleast 5% of ur brain utakuwa upo fine.
 
Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,

In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,

Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.

Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.

Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.

wewe na umasikini wako ulipoona hali nzuri ukadhani wananchi wanfurahia. Haikuwa lazima wakwambie shida zao. Ni sawa na watalii waliofika zanzibar kabla ya wapemba kukimbilia kenya baada ya uchaguzi wa 2000. Unadhani walijua kama wapemba walikuwa na matatizo na serikali. Amka umasikini wako usitawale na kudumaza uwezo wako wa kufikiri.

Kumbuka huyu huyu Ghadaffi wako ndiye aliyemletea silaha Nduli Iddi Amini. Bila Uongozi wa nchi ya Kenya kumuingiza maboya nadhani maafa ambayo yangetokea yasingekufanya useme uliyosema leo. Mwache atoke hana tofauti na magamba huyo. Alishajisahau kuwa siku moja angetoka madarakani.
 
Kabila la Weberiberi (Berbers) kutoka milima ya Nafus wako njiani wanachanja jangwa kulelekea Tripoli, jamaa hwataki kabisa kusikia kauli ya NTC kuiita Libya ni nchi ya kiarabu kazi kweli ipo mwaka huu...
 
Gaddafi alikuwa kiongozi dikteta, muuaji na mdhulumishi aliyewahadaa wananchi wake kwa vimisaada vidogo huku yeye akijilimbikizia mali nyingi. Alidiriki kuwaua wapinzani wake na kuwafunga kwa muda mrefu wote wanaomchukia. Hakuna kingine anachostahili ili kukabiliana na mashtaka yake kwenye ICC na ikiwezekana anyongwe ili akaonane na mwenzake Saddam.
<br />
<br />
toa ushahidi,acha kufata mkumbo,kadanganye watoto wadogo.
 
Kabila la Weberiberi (Berbers) kutoka milima ya Nafus wako njiani wanachanja jangwa kulelekea Tripoli, jamaa hwataki kabisa kusikia kauli ya NTC kuiita Libya ni nchi ya kiarabu kazi kweli ipo mwaka huu...
.........

Majembe ya ukweli hayo.
Sio hawa kina Askari kanzu na wenzake wamejazwa porojo tu basi kutwa kuchwa ni kumponda Baba yetu waafrika.
 
Wataelewa vizuri Ghadafi akiondolewa (sitaki kusema akifa, maana sitaki auawe na hao vibaraka). They dont know what is in store for them. Traitors! Hawamjui Dikteta wala jambazi, watajua baadaye.
Na hao Marekani wakishamtoa adui yao Ghadafi ndo watajua hao waasi ni kina nani. Is Libya another Al Qaeda base?
Wameshaanza kulilia pesa zilizokuwa frozen,however hao wazungu waliowasaidia bado wana wasiwasi kuwakabidhi.Nadhani wao macho yao ni kwenye prize(wese)
 
Is there anyone who doubts the basic principle of life that we reap what we sow? Libya is for libyans and not for Gaddafi's family!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom