huku kwetu mbona hata hivyo vimisaada vidogo hatuvipati!! tunasikia tu kina Shimbo wana trillion 4 kwenye akaunti zao!! na wengine wanaziita vijisenti tu, mbona kina babu Seya na wanae wamefungwa!!?? tunasikia tu mabinti wadogo warembo wapo mjengoni wabunge viti maalum au wakuu wa wilaya!!!, ni kheri kuwa na kiongozi mmoja kwa muda mrefu anayeijali na kuiletea maendeleo nchi yake kama Ghaddafi, kuliko kuwa na viongozi wengi wanaojazana kina Luhanjo, Jairo, Ngeleja, Shimbo, na wakina nanilii wale kina naniliii wale...kwa vipindi vifupi vifupi!! ona sasa miaka 50 ya uhuru bado tunalia na vitu kama umeme!!!!??? kweli Ghaddafi alikua kiongozi shupavu...