Libwata!! Libwata!!

Libwata!! Libwata!!

<dl class="userstats">Join Date : 8th January 2013
Location : Arusha
Posts : 443

</dl> <dl class="user_rep">Rep Power : 393
</dl> <dl class="vbseo_like"><dt>Likes Received</dt><dd>152</dd>
<dt>Likes Given</dt><dd>331</dd>
</dl>

Hii kali mtu amejiunga leo tayari ana posts 443 na kupata thanks 152?

Tiba
 
8th January 2013
today is 8th February 2013
 
Kwani limbwata ndio ule mtandao maarufu wa simu??
 
Wazaramo mtanisikia tu na sana sana ntachovya na kujirudia zangu Sikonge kabla hata hamjawaza neno Limbwata. Wazaramo Shenzi zenu kabisa na Limbwata lenu pamoja na jirani zenuwa Tanga.

429456_10151340748035252_1412152833_n.jpg
 
Weeeeee!!! Ukinyweshwa maji yaliyotumika kumuosha maiti utafanya kila atakacho mkeo!!!
 
Ile kipande cha nyama kinawekwa kwenye uchi wa mwanamke siku saba then una mixiwa kwenye msosi
 
<dl class="userstats">Join Date : 8th January 2013
Location : Arusha
Posts : 443

</dl> <dl class="user_rep">Rep Power : 393
</dl> <dl class="vbseo_like"><dt>Likes Received</dt><dd>152</dd>
<dt>Likes Given</dt><dd>331</dd>
</dl>

Hii kali mtu amejiunga leo tayari ana posts 443 na kupata thanks 152?

Tiba

au Ndio LIMBWATA lenyewe...?
 
KUNA KITU LIMBWATA KWELI JAMANI??

Mimi huwa siamini amini kama kweli? hivi wadau ni kweli kuna kitu kama hii huku kwenye dunia ya mapenzi?

​

​

Kuna siri nyingi duniani bado kujulikana, ni chache tu ambazo zinafahamika kwa wachache.
Kuna mimea mingi ambayo baadhi ina dawa za kutibu naradhi na mimea mingine yenye mvuto fulani kwa mtu, kitu au wanyama.

Hadithi za kwamba fulani analeta simba si kwamba mtu mwenyewe analeta simba, ila kuna aina fulani ya mmea ukichukua pingili yake na kuiweka karibu na nyumba unayokusudia, basi simba watakuwa na mazoea ya kufuata harufu ya pingili ile, wajuaji wanaficha siri ya mmea huo ila ipo, na ukifuatilia na kufanya utafiti sana porini wanakoishi simba unaweza kuigundua. Tatizo simba si rafiki na huwezi kufanya mazoea naye kama chui.

Jamani Weekend njema, Asalm aleiku wabarakatu.
 
Wazaramo mtanisikia tu na sana sana ntachovya na kujirudia zangu Sikonge kabla hata hamjawaza neno Limbwata. Wazaramo Shenzi zenu kabisa na Limbwata lenu pamoja na jirani zenuwa Tanga.

429456_10151340748035252_1412152833_n.jpg

hahaha, huku kwetu tanga wanyamwezi tunawatimua wakifiliska. Tunachuna weeeh, akimaliza hela yote aliyouza ng'ombe tunamuitia wazee na viongozi wa dini.
Limbwata tamu banaa, hebu acha kujinyima raha za duniani!
 
Walimfuma tu Kaka yangu na Binamu yangu ingawa wote Tanga walifika tu kusalimia.

Mie nikisikia mtu wa Tanga tu, Punda anagoma kubeba mzigo palepale na hata Limbwata halitasaidia. Hivyo watu wa Tanga nisikieni tu ila Totoz za huko hazinipati ng'o. Kwanza kama kangozi keupe, mbona hapa Sikonge wamejaa Machotara kibao na Vikongwe wa Kidhungu wanaokuja kufanya kazi hapa Misheni ya Sikonge.
Nikitaka kumla basi ntachagua aliyenona. Unaowa kabisa Mudhungu na unafanya mashindano na Muke ya Mudhungu.

Mkumbusheni basi mleta mada arekebishe heading , libwata ndio kitu gani?
 
Kuna siri nyingi duniani bado kujulikana, ni chache tu ambazo zinafahamika kwa wachache.
Kuna mimea mingi ambayo baadhi ina dawa za kutibu naradhi na mimea mingine yenye mvuto fulani kwa mtu, kitu au wanyama.

Hadithi za kwamba fulani analeta simba si kwamba mtu mwenyewe analeta simba, ila kuna aina fulani ya mmea ukichukua pingili yake na kuiweka karibu na nyumba unayokusudia, basi simba watakuwa na mazoea ya kufuata harufu ya pingili ile, wajuaji wanaficha siri ya mmea huo ila ipo, na ukifuatilia na kufanya utafiti sana porini wanakoishi simba unaweza kuigundua. Tatizo simba si rafiki na huwezi kufanya mazoea naye kama chui.

Jamani Weekend njema, Asalm aleiku wabarakatu.

ahsante, kwahiyo unataka kuniambia hakuna limbwata bali ni dawa za mitishamba zenye mvuto? its wonderful, thanks for info
 
Mkumbusheni basi mleta mada arekebishe heading , libwata ndio kitu gani?

ahsante,nathani baada ya kuingia humu ulijua ni kitu gani kinazungumziwa, ni style tu si kwamba nilishindwa kuweka 'm' bali nilitaka kudraw attention... thanks
 
Walimfuma tu Kaka yangu na Binamu yangu ingawa wote Tanga walifika tu kusalimia.

Mie nikisikia mtu wa Tanga tu, Punda anagoma kubeba mzigo palepale na hata Limbwata halitasaidia. Hivyo watu wa Tanga nisikieni tu ila Totoz za huko hazinipati ng'o. Kwanza kama kangozi keupe, mbona hapa Sikonge wamejaa Machotara kibao na Vikongwe wa Kidhungu wanaokuja kufanya kazi hapa Misheni ya Sikonge.
Nikitaka kumla basi ntachagua aliyenona. Unaowa kabisa Mudhungu na unafanya mashindano na Muke ya Mudhungu.

Asante kaka Sikonge waambie hao wasidhani wanyamwezi wote wanaingilika kilaini,wapo walioaga kwao...Na siku moja waje wajaribu kwa msukuma...
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwanamke mmoja niliwahi kukutana nae, tena kwa kunitongoza yeye mwenyewe, ila kunako sita kwa sita, alinifanyia malavi davi amboyo, hakuna mwanamke yeyote aliwahi kunifanyia. Nawala sio hicho unachofikiria, maana hicho sio issue.

Tatizo alikua hajatulia. Sasa kwa kua alikua ananipa maraha adimu saaana, ingawa sio kivile, ila dah! ni penzi kali. Nili lazimika kumsamehe kila ninapo mfumania. Hakika nilihisi kua sasa nimepatikana. Si uchawi jamani, ni differences tu.

Hatimae nilikuja kumshindwa kutokana na kauli zake.

Sasa hivi sinae tena. Watu wanajifaidia tu. Na watu wenyewe Wajinga wajinga wajinga tu. Tatizo alikua anataka kutawala PSCHOLOGIA YANGU, hapo nikabidi nijikaze maana angeniaharibia mustakabali wa Maisha yangu na Heshima yangu. Kwa hiyo Limbwata ni akili yako tu, kutokana na mavituz utakavyo fanyiwa.
 
oooh kumbeee
 
Back
Top Bottom