Libwata!! Libwata!!

Libwata!! Libwata!!

limbwata ni jinsi unavyomhandle mumeo au mkeo na hapo kama mmekutanishwa na Mungu wote mmetulia na kujua maana ya ndoa,kuombana msamaha sana haaaaa yaani hapo ndo full limbwata,lakini hayo ya kwa kalumanzila huwa yanaisha vibaya asikwambie mtu.
 
SAWA kabisa lakini mmi nataka kujua kama ni kweli kuna dawa ambayo unaweza kumpa mtu akawa mtumwa wako kweli kama wanavyodai limbwata... mm hupata shida sana kwenye hili
 
haihalalishi kutoitwa limbwata kisa ni uganga na yanaisha vibaya
 
SAWA kabisa lakini mmi nataka kujua kama ni kweli kuna dawa ambayo unaweza kumpa mtu akawa mtumwa wako kweli kama wanavyodai limbwata... mm hupata shida sana kwenye hili
Hayo mambo yapo kweli,na wanawake wengi sana huwaendea waganga wawapatie dawa abazo zitamfanya mwanaume atii kila anachombiwa na kewe,ila huwa zina mwisho mbaya sana sio za kujaribu hata kidogo.
 
nashukuru kwa taarifa hii, lait kama angetokea mtu humu atushuhudie na yaliyompata ningefurah sana,.duuuh! dunia ina mambo jamani?? sasa mtu umfanye mwenzio mtumwa kisa nii?mbona wengine huwa na furaha kabisa wanapofanya hizo kazi kama kuosha vyombo, kufua, kupika, kuchota maji,kutumwa sokon n.k au hupumbazwa akili zao jamani? mmmh hapa ndo ninapokubali kuwa baadhi ya wanawake ni katili sana
 
SAWA kabisa lakini mmi nataka kujua kama ni kweli kuna dawa ambayo unaweza kumpa mtu akawa mtumwa wako kweli kama wanavyodai limbwata... mm hupata shida sana kwenye hili

Aroo hayo makitu usiyaulize kabisa kwa pande zile za unyamwezini na kule kwa mzee wa iyena iyena. Maana kuna watu wangu wa karibu sana hata nyumbani kwao wamekusahau na familia zao wamezitelekeza. Wacha kabisa hiyo makitu.
 
lakini hawawezi kufanyiana wanawake wenyewe kwa wenyewe ee? maana naona waathiriwa wakubwa kwa mujibu wa watu hapa ni wanaume tu..but is not good jamani aaaah! very baaaad,kweli baadh ya wanawake ni wabaya sana sana
 
images
 
Back
Top Bottom