MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
Duh! Maskini Mzungu wa watu. Kesha lishwa!
Ile kipande cha nyama kinawekwa kwenye uchi wa mwanamke siku saba then una mixiwa kwenye msosi
kama bachelor je?
upungufu wa akili na tamaa ndo huwa inasumbua sanabasi baadhi ya wanawake ni katili sana sana,, aah:A S angry: jamanii, kwann umfanyie hivyo mwenzio?
Hizo vitu imani yako ikijikita kwa Yesu wala huwezi kuwa chochote yaani vitakuwa vinaungua vyenyewe na kuwarudia hao wanaovielekeza kwako. Jesusiiiii Powerrrrrrr
hahaha, huku kwetu tanga wanyamwezi tunawatimua wakifiliska. Tunachuna weeeh, akimaliza hela yote aliyouza ng'ombe tunamuitia wazee na viongozi wa dini.
Limbwata tamu banaa, hebu acha kujinyima raha za duniani!
a.k.a Shuntama
Aka kaligaligo
Nahisi humu jamvini wengi wanajilisha limbwata wenyewe kwa kwenda chumvini