Binafsi siamini kama mbinguni ni kuzuri kuliko duniani

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,087
Reaction score
5,899
Hapo VIP!!

Kuna imani ambayo tumeaminishwa yakwamba mbinguni ni kuzuri kuliko duniani,na MTU anayekuaminisha hajawahi hata kufika huko na kurudi..maan yake hii itakuwa kama conspiracy theory.

Hivi ni kweli kwamba mbinguni pamendelea kuzidi uzuri wa huku duniani kam new York,Dubai,Landon,Tokyo,n.k

Yaani mbinguni kuna nagari mazuri kuzudi Ferrari, larbogin,n.k na ndege,meli nzuri kuzudi hizi za duniani Kweli?

Sijui,ila kama mbinguni ni kuzuri kuzidi huku duniani basi Mungu atukunze haswa.

Binafsi siamini aisee mpaka nione palivyo ila sidhani kama nitaamini kirahisi.

Inaweza ikatokea baadhi ya watu wakifika huko mbinguni,baadaye wakatamani kurudi duniani Kwa sababu ya uzuri wa duniani.
 
Hapo VIP!!

Kuna imani ambayo tumeaminishwa yakwamba mbinguni ni kuzuri kuliko duniani,na MTU anayekuaminisha hajawahi hata kufika huko na kurudi..maan yake hii itakuwa kama conspiracy theory.

Hivi ni kweli kwamba mbinguni pamendelea kuzidi uzuri wa huku duniani kam new York,Dubai,Landon,Tokyo,n.k

Yaani mbinguni kuna nagari mazuri kuzudu Ferrari, larbogin,n.k na ndege,meli nzuri kuzudi hizi za duniani Kweli?

Sijui,ila kama uzuri kuzidi juu wa duniani basi Mungu atukunze haswa.

Binafsi siamini aisee mpaka nione palivyo ila sidhani kama nitaamini kirahisi.
Ulikuwa hujazaliwa? Soma hiyo: Uzuri wa Mbinguni
 
Hapo VIP!!

Kuna imani ambayo tumeaminishwa yakwamba mbinguni ni kuzuri kuliko duniani,na MTU anayekuaminisha hajawahi hata kufika huko na kurudi..maan yake hii itakuwa kama conspiracy theory.

Hivi ni kweli kwamba mbinguni pamendelea kuzidi uzuri wa huku duniani kam new York,Dubai,Landon,Tokyo,n.k

Yaani mbinguni kuna nagari mazuri kuzudu Ferrari, larbogin,n.k na ndege,meli nzuri kuzudi hizi za duniani Kweli?

Sijui,ila kama mbinguni ni kuzuri kuzidi huku duniani basi Mungu atukunze haswa.

Binafsi siamini aisee mpaka nione palivyo ila sidhani kama nitaamini kirahisi.
Mbinguni ni ulimwengu wa kiroho, hau exist
 
Back
Top Bottom