Kabisa.Lakini mawakala wa vyama lazima wahakiki vituo vya kupigia kura wasikae kwenye vituo km mabua
Kabisa.Lakini mawakala wa vyama lazima wahakiki vituo vya kupigia kura wasikae kwenye vituo km mabua
Zililetwa kwa mbwembwe snNahisi ilikua na mapungufu.
, wataibaje??NEC bado mmelala Sana. Kura ilibidi zipigwe kielekroniki.
Wizi ni kitu kingine. Kwa kituo hewa, unaweza "kupiga" kura mara kadhaa bila hata ya kuhitaji kitambulisho chochote, for that matter. Sasa anaendaje physically kupiga kura kwenye kituo hewa?Hebu fikiria scenario hii
Mtu ana vitambulisho vinne, cha mpiga kura, leseni, passport n. k...
Hii wamepewa akili na mtaalam wa siasa chafu.... si alienda kumtembelea na kuomba ushauri baada ya hali kuwa teteGoli lamkono litapigiwa hapa
Zitaingizwa kura kibao ambazo huwezi jua ziloitokea wapi
Hii move ilitakiwa isiwe ua kushtukiza zikiwa zimebaki siku 9 kupiga kura
... human migration is a very difficult issue to control; really very complex. Haiwezekani watu wote wakapiga kura, haitokaa itokee kamwe hata watu wajiandikishe hadi siku ile ya kupiga kura bado kuna ambao hawatapiga kwa sababu mbalimbali. Muhimu ni kuwa na good representation on behalf of the rest.Wangetoa hata ruhusa hiz siku zilizobaki kuna watu tulijiandikisha mkoa fulani kwasababu za kiutafutaji tuko mkoa mwingine tungeweza hata kuhakikiwa tumchague raisi tu. Ni idadi kubwa sana ya watu ambao kiukweli tutakosa kupiga kura kwasababu hii.
Hata kwa kutumia mfumo huu wa makaratasi wizi upo sana., wataibaje??
Kura yangu nishafanya maamuzi na naendelea kishawishi wengine wampigie Lisu. Huyu mbabe asiyetaka kupangiwa na asiyetaka kuingiliwa akapumzike Chato.Mkuu hawawezi kukubali maana CCM yao inaondoka madarakani wakat wao kila kukicha wanawaza ni nini wafanye ili ccm uendelee kutawara milele we nenda kapige kura kwa Lissu hawataziiba maana zitakuwa nyingi mno watz tumechoka kuwa wakimbizi kweny nchi yetu.
Pumbavu unaishi wapi wewe? Wakati wa kuboresha mlisusa Leo unajifanya chizi ili mseme mtaibiwa kura wakati hamtapiga.Una ushahidi gani kuwa CHADEMA hawakuboresha taarifa zao? Yaani kuna mijitu haina akili hadi kero.
Nyinyi ndo mnaomfariji Tundu Lisu kwa kujaa kwenye mikutano yake kumbe hamna sifa za kupiga kura, CCM mbele kwa mbele iwasubiri tu muingie barabarani .Wangetoa hata ruhusa hiz siku zilizobaki kuna watu tulijiandikisha mkoa fulani kwasababu za kiutafutaji tuko mkoa mwingine tungeweza hata kuhakikiwa tumchague raisi tu. Ni idadi kubwa sana ya watu ambao kiukweli tutakosa kupiga kura kwasababu hii.
Ukiona hivi ujue hawana pumzi ccmHapa kuna harufu ya utapeli wa kuongeza mamluki wasiokua wamejiandikisha. CCM inatafuta bao la mkono.
kabisa kabisa,,,NEC na ccm sasa wameingia choo cha kike!!!!!!!Hapo CCM itang'olewa mapema sn
Balaa tupukabisa kabisa,,,NEC na ccm sasa wameingia choo cha kike!!!!!!!
Unasema nini?? Haya mabadiliko ya mwishoni ni hatari kwa upinzani chekini movie mtakayochezewa.hii inaenda kuwagharimu CCM, tukumbuke kwamba huwa inasemwa sana kwamba CHADEMA huwa wana wafuasi tu na si wapiga kura. sasa kuruhusu hilo... maana yake hao wafuasi wanapata fursa ya kupiga kura.
Ngoja tuone.
Na inafunguka"Tushasukuma sana milango iliyoandikwa vuta"