Hamadi Masauni: Kufikia Disemba 2024, Kila Mtanzania atakuwa na Kitambulosho cha Taifa-NIDA

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,080
49,786
Waziri wa Mambo ya ndani Hamadi Masauni ameyasema hayo Mkoani Mara wakati akizindua rasmi zoezi la ugawaji wa Vitambulisho vya Taifa.
---
Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya NIDA kitaifa Mkoani Mara, huku akiahidi kila mtu aliyesajiliwa na NIDA atapata kadi yake ya kitambulisho cha utaifa kabla ya Disemba 2024.

Akizindua zoezi hilo la ugawaji wa vitambulisho vya NIDA kitaifa Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Hamadi Masauni amesema kufikia Disemba 2023 hadi machi 2024 kila mtanzania atakuwa nakitambulisho cha NIDA kama maelekezo ya Rais yanavyotaka.

Pia katika hatua nyingine Waziri Masauni amesema wanaangalia namna bora ya kuboresha mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA kuanza kuzalisha vitambulisho yenyewe.

My Take
Kama jambo hili litafanikiwa,basi hii itakuwa historia nyingine na mfupa ulimshinda fisi umetafinwa Kwa meno.
 
Waziri wa Mambo ya ndani Hamadi Masauni ameyasema hayo Mkoani Mara wakati akizindua rasmi zoezi la ugawaji wa Vitambulisho vya Taifa.

View: https://www.instagram.com/reel/CyTeDAWMA2m/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Kama jambo hili litafanikiwa,basi hii itakuwa historia nyingine na mfupa ulimshinda fisi umetafinwa Kwa meno.

Ni jambo jema ila kumbuka watu tunasubiri vitambulisho toka 2018 (miaka 5) tangu tujiandikishe! Vitambulisho vinatushinda hivi, tutaweza kweli reli na bandari?!
 
Ni jambo jema ila kumbuka watu tunasubiri vitambulisho toka 2018 (miaka 5) tangu tujiandikishe! Vitambulisho vinatushinda hivi, tutaweza kweli reli na bandari?!
Nimeshakwambia Samia anatafuna mifupa iliyowashinda hao wengine
 
Back
Top Bottom