Kwanini kisitumike Kitambulisho cha Taifa pekee (NIDA) kwenye maombi ya Passport?

Dec 12, 2020
14
34
Habarini wadau wa JF,

Kitambulisho cha Nida kina taarifa kamili za muhusika wa kitambulisho hicho.

Sasa kwanini kisitumike hicho pekee katika kujaza fomu ya kupata passport ya kusafiria...badala yake wanahitaji cheti cha kuzaliwa, kitambulisho / namba ya nida n.k

Badala ya kujaza maelezo mengi katika fomu na kuhitaji viambatanishi mbalimbali, kwanini isingekuwa inaingizwa namba ya nida pekee maana hio ina taarifa kamili ya muhisika.

Nadhani hoja yangu itakuwa imeeleweka kidogo kwa waelewa...naomba ufafanuzi kidogo.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom