sasa mkuu unakuja katika pointi zangu, kama kanisa katoliki huliamini na kumbuka kanisa hilo linaongoza mamilioni ya wakristo na kuamua mambo mengi sana ya ukristo
Sio kweli kuwa wanaamua mambo mengi ya Ukristo
Sema wanaamua mambo ya Wakatoliki
na huku wakidai wanaongozwa na mungu,
Hata wewe unaweza kudai kuwa unaandika haya kwa uongozi wa mungu
Suala tatizo ni kuwa ni mungu yupi anaekuongoza
Tatizo sio watu kudai kuongozwa na mungu
Suala ni mungu yupi huyo?
Kuna Mungu na miungu na yote inadai ni miungu
Lakini kila Mungu ana sifa zake na namna ya kufanya kazi
Huwezi kusema wewe ni binadamu na huna sifa za ubinadam
Kanisa katoliki kwa upande wake lina mengi na mengi kati ya hayo yako kinyume na Mungu
Kuna sanamu nyingi sana zinazowakilisha upagani
Katikati ya uwanja wa wazi kule Vatcun kuna kitu kinaitwa obelski jaribu kufuatilia utajua hii maana yake nini
Kanisa katoliki lina mtu anaitwa Qeen of heaven unamjua ni nani huyu?
Huwa anasanam yake amebeba mtoto mikononi mwake
Unajua hii ni nini?
Kuna mambo mengi sana yanayoweza kukuonesha kundi fulani linamuabudu au kuongozwa na mungu yupi!
unapingaje madai yangu kuwa mazao ya kanisa katika ukristo yanakasoro wakati mwingine????????????
Sijui unamaanisha nini hapa
Lakini nataka nikuweke wazi tu kuwa,kanisa linaweza kuwapotosha waumini wake kama hawasomi maandiko lakini kamwe haliwezi kuyavuruga maandiko matakatifu kwa kuwa yanalindwa na Mungu mwenyewe!
na kutokuamini hukuhuku ndiko kunakonilazimisha na mimi nisiamini waliochagua vitabu vipi viingie katika biblia hawakuwa wamefanya hivyo kwa nguvu za mungu bali mapenzi yao wenyewe na sababu zao wenyewe.
Mh!
Unajicontradict dada!
Why unamuamini Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo?
Huyu Mungu umempata wapi?
Halafu unatengeneza hatari moja iliyoko mbele yako
Utakuja kutokuwa muamini wa Mungu soon
Biblia haimuelezi Mungu kama alivyo bali inamuelezea baadhi ya sifa zake na namna ya kuishi vyema,hakuna namna nyingine yoyote ya kuishi ya kumpendeza Mungu tofauti na hiyo,kama unatilia mashaka hilo ni bora ukaacha hata kusali kwa kuwa huna uhakika wa unalofanya
Halafu hata huyo Mungu unaedai unamjua humjui na unamkana ukuu wake kwa kushindwa kulilinda neno lake ambalo aliahidi halitapita,kitendo ambacho kama bado unaendelea kumuabudu unajiingiza kwenye ktego wako mwenyewe
Unaweza kuniambia kuwa umemuona Mungu nje ya biblia lakini kitendo cha kutaja Mungu huyo ni wa Ibrahim.Isaka na Yakobo tayari umemtaja Mungu wa kwenye biblia!