Leonardo Da-Vinci

Leonardo Da-Vinci

Dada umenishangaza sana
Mazoea yanakusumbua sana

Wewe unadhani jina ni kitu gani?
Hujui kuwa ni utambulisho?

Majina tunayoyajua ni nini?
Ulitaka Mungu aitwe Hassan ndio ujue ni jina?

Kwanini usiulize tangu mwanzo kama ulikuwa hujui?
Kitendo chako cha kusema majina tunayoyajua kimeonyesha level ya juu sana ya kiwango cha ujinga[kutokujua] ulichonacho

Dada hebu achana na mazoea ya kuona majina kama ya Juma,Anet,Justine n.k na kuamini hayo na ya mtindo huo ndio majina tu na mengine sio majina
Inaonekana uwezi wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana hebu tumia muda wako kufanya tafiti ya mambo mbalimbali na utapata ufahamu

Kuna jamaa yangu mmoja amemuita mtoto wake Utukufu,kwako hili sio jina kwa sababu haliko ki mtindo wa Chrstina,lakini ukikuta Glory utasema hili ni jina!

Sikujua kama hii ndo level yako ya kufikiri!

Ki ukweli nimejisikia vibaya sana kwa swali lako hili!
Haya ndio matatizo ya kukariri!

sasa mkuu itakuwa haina maana kuendelea kubishana nawe kwa hoja. kwa sababu unataka nifikiri unavyuoona wewe inafaa. kitu ambacho si sahihi. unalazimisha nitoe hoja zitakazo kufurahisha wewe.
kama level yangu ya kufiri si level yako. ngoja tuache ili upate yule unayefikiri ni wa level yako ya kufikiri.

ila ukweli utabaki kuwa paleplae kuwa mungu hana jina, na si kwa kusoma biblia tu, bali kusoma writings nyingi zinazomzungumzia mungu. mungu hana jina sisi ndio tumekuwa tukimuita kwa majina tofauti.
siku njema mkuu.
 
Wakuu nimesoma vimakala vifupifupi kuhusu huyu mtu, sio siri vimenichanganya. Aliyemsoma kiundani naomba ufafanuzi tafadhali, maana amegusa imani, yani hatari...! Natanguliza shukran.

http://en.wikipedia.org/wiki/Leonardo_da_Vinci

Born: April 15, 1452, Italy. Vinci.

Death: May 2, 1519, France

Full: Leonardo di ser Piero da Vinci

Leonardo di ser Piero da Vinci was an Italian Renaissance polymath: painter, sculptor, architect, musician, mathematician, engineer, inventor, anatomist, geologist, cartographer, botanist, and writer.

Kimsingi huyu jamaa alikuwa na mambo mengi sana ambayo binadamu wa wakati huo hakuweza kuamini.
Michoro yake mingi sana imefichwa ili kupunguza makali ya maono yake, hiko ulichokisoma ni draft tu ya idea zake nyingi zimefichwa.

Kuna vitabu vitatu vinaitwa "DA VINCI CODES" ilibidi vipigwe marufuku kutokana na maukweli yake.
Juzi Juzi ilietengenezwa filamu, ile kuonyeshwa kwa mara ya kwanza tu Ikafungiwa hapo hapo.

Aliwahi kuchora idea ya helicopter miaka ya 1500 huko! Lakini inasemekana ndege ya kwanza kuruka ni miaka ya 1903.

Vinci ni kijiji kimoja huko Italy. Ambacho ni sehemu ya jina lake.
 
Inasemekana kuwa huyu jamaa aligundua siri nyingi zilizofichwa na Roman Catholic kushirikiana na Knight Templer society. Ila kwa wakati ule alikuwa anaogopa kufichua maana angeuawa na pia alikuwa sponsored na kanisa hivyo angepata taabu. Ila alitumia ujuzi wake kuchora na kutoa words ambazo aliamini generation ijayo itagundua siri hizo na kuweza kujua codes zake. Pia kuna michoro yake maarufu iligundulika siri zake Kanisa likaiedit kuficha undani wake.

Alikuwa mwanadamu mjanja sana na mwenye busara mno.
 
wewe wasema

"Basi, ni nani aliye dhaalimu (mzushi) zaidi kuliko yule anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu na akazikanusha ishara zake ?
Hakika hawafanikiwi wakosefu !
Nao, badala ya Mwenyezi Mungu, wanaabudu wasio wadhuru wala kuwanufaisha, na wanasema: Hawa ndio waombezi wetu kwa Mwenyezi Mungu. Sema: Je ! mnamwambia Mwenyezi Mungu asiyo yajua katika mbingu wala katika ardhi ? Sub'hana waTaala ! Ametakasika na Ametukuka nao hao wanao mshikisha naye !
Qur'an: Yunus:17-18
 
tatizo lako unanukuu vitu kutoka katika kitabu chako na hali uliuliza yale yalio katika kitabu changu. tutaelewana vipi ili hali vitabu vyenyewe vipo tofauti?
 
sasa mkuu itakuwa haina maana kuendelea kubishana nawe kwa hoja. kwa sababu unataka nifikiri unavyuoona wewe inafaa. kitu ambacho si sahihi. unalazimisha nitoe hoja zitakazo kufurahisha wewe.
kama level yangu ya kufiri si level yako. ngoja tuache ili upate yule unayefikiri ni wa level yako ya kufikiri.
Sio kweli hata kidogo
Sina uwezo wa kukulazimisha na sitakua nao,kinachokufanya uone hivyo ni woga tu
Nimesema unapotezwa na mazoea na nimekupa ushahidi vile ambavyo wewe unaupofu kuhusiana na jina
Tatizo langu likowa pi hapo?

ila ukweli utabaki kuwa paleplae kuwa mungu hana jina, na si kwa kusoma biblia tu, bali kusoma writings nyingi zinazomzungumzia mungu. mungu hana jina sisi ndio tumekuwa tukimuita kwa majina tofauti.
siku njema mkuu.
Unajua maana ya ukweli wewe?
Ukweli kwa maana fupi ni makubaliano kati ya hali halisi na kinachozungumzwa
Sasa wewe huko kusema Mungu hana jina kunakubalianaje na hali halisi?
Ni kwanini asiwe na jina?
Hana jina au wewe unadhani hana jina kutokana na mazoea yako?
Jina ni nini?
 
Kyenju.............ndani ya Biblia hakuna aya inayosema 'kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe !!?:A S 39:

cc: kahtaan

Nimekwambia utuwekee aya ili wasomaji wapate wepesi wa kuipata.
 
tatizo lako unanukuu vitu kutoka katika kitabu chako na hali uliuliza yale yalio katika kitabu changu. tutaelewana vipi ili hali vitabu vyenyewe vipo tofauti?

........Haa...haa...haaa.. !
Angalia hayo maneno yanavyo gonga !.......ile stori yako ni ya uzushi tu !:shocked:

'hakika wale wanao ficha (ukweli) tuliyoyateremsha nazo ni hoja zilizo wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha watu Kitabuni: Hao anawalaani Mwenyezi Mungu, na wana walaani kila mwenye kulaani
Qur'an; 2:159

Angalia sifa za Mwenyezi Mungu:

'Yeye anajua yaliyo mbele yao (Wanaadamu) na yaliyo nyuma yao. Wala wao (Waanaadamu) hawawezi kumjua Yeye (Mwenyezi Mungu) vilivyo !

'Na zitadhalilika nyuso mbele ya Aliye Hai Milele, Mwangalizi Mkuu. Na atakuwa ameharibikiwa mwenye kubeba dhulma (mzushi !)
Qur'an: 20:110-111.
 
Hivi haya ni maneno ya nani?
 
Wewe ulitaka yawe ya nani ?!

Nilitaka?
Kivipi?
Kwani mimi nani?
Sitaki chochote na wala sijasema nataka chochote
Mimi nimekuuliza haya maneno ni ya nani wewe unaniambia nataka...!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe vipi?

Si ujibu swali?
Au unajistukia?
 
........Haa...haa...haaa.. !
Angalia hayo maneno yanavyo gonga !.......ile stori yako ni ya uzushi tu !:shocked:

'hakika wale wanao ficha (ukweli) tuliyoyateremsha nazo ni hoja zilizo wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha watu Kitabuni: Hao anawalaani Mwenyezi Mungu, na wana walaani kila mwenye kulaani
Qur'an; 2:159

Angalia sifa za Mwenyezi Mungu:

'Yeye anajua yaliyo mbele yao (Wanaadamu) na yaliyo nyuma yao. Wala wao (Waanaadamu) hawawezi kumjua Yeye (Mwenyezi Mungu) vilivyo !

'Na zitadhalilika nyuso mbele ya Aliye Hai Milele, Mwangalizi Mkuu. Na atakuwa ameharibikiwa mwenye kubeba dhulma (mzushi !)
Qur'an: 20:110-111.
sasa wewe unanishangaza ni mimi ndiye niliyekuambia kuwa mungu anajua yote na alijua kuwa wanadamu watamsulubisha na kumuua lakini kwa vile yeyey mwenyewe alipanga hayo ilikuwa lazima itokee hivyo. kwani wewe unafikiri binadamu anao uwezo wa kumuua mungu? la hasha kwa imani ya kikristo tango mwanzo yeye alijua yajayo. na ndio maana nilikwambia yote yaliyotukia ilibidi yatokee ili neno litimie.
sasa unahangaika nini kueleza mambo kutoka katika kitabu chako ambacho kimejaa uongo juu ya huyu ambaye sisi tunamuamini kuwa ni mungu na mwokozi wa mwanadamu?

halafu bado unaendelea kunukuu vitu kutoka katika QURAN wakati mimi nakwambia mambo yaliyomo katika biblia. lete mistari ya biblia hapo tutaelewana.

kwanza namna mnavyomsoma yesu (kwenu mnamuita nabii issa) ni tofauti na tunavyomjua sisi.
 
as and engineer nilimsoam uyu jamaa kama alikua mtu wa kwanza kuonyesha idea ya boiler ambayo baadae uko uk watu wakagundua steam engine na ndio mpaka leo ikaleta industrial revolution!! he was very genius guy!!
 
Ok sasa kama ni mkristo ila huna dhehebu ..... inamaana unaamini biblia bila shaka.....sasa hujui kuwa biblia ilitengenezwa na hao wa roma na ndo kanisa la kwanza sasa iweje usiwaamini roma wakati unaamini biblia waliyo tengeneza

biblia ilitengenezwa?tena na waromi!unazingua ndg,bibla ni mkusanyiko mbalimbali ya maandiko ya manabii na wateule wa Mungu,labda warumi walifanya compilation ya maandiko hayo!
 
sasa wewe unanishangaza ni mimi ndiye niliyekuambia kuwa mungu anajua yote na alijua kuwa wanadamu watamsulubisha na kumuua lakini kwa vile yeyey mwenyewe alipanga hayo ilikuwa lazima itokee hivyo. kwani wewe unafikiri binadamu anao uwezo wa kumuua mungu? la hasha kwa imani ya kikristo tango mwanzo yeye alijua yajayo. na ndio maana nilikwambia yote yaliyotukia ilibidi yatokee ili neno litimie.
sasa unahangaika nini kueleza mambo kutoka katika kitabu chako ambacho kimejaa uongo juu ya huyu ambaye sisi tunamuamini kuwa ni mungu na mwokozi wa mwanadamu?

halafu bado unaendelea kunukuu vitu kutoka katika QURAN wakati mimi nakwambia mambo yaliyomo katika biblia. lete mistari ya biblia hapo tutaelewana.

kwanza namna mnavyomsoma yesu (kwenu mnamuita nabii issa) ni tofauti na tunavyomjua sisi.

..............hiyo bold ukijisoma ulichoandika utajionea huruma wewe mwenyewe !
Unasema binaadamu wamemuua mungu, then unauliza binaadamu ana uwezo wakumuua mungu ?
Hakika nyie mmeghafilika !!:shocked:
 
biblia ilitengenezwa?tena na waromi!unazingua ndg,bibla ni mkusanyiko mbalimbali ya maandiko ya manabii na wateule wa Mungu,labda warumi walifanya compilation ya maandiko hayo!

Quran mbona ilitengenezwa na maswahaba kutokana na maneno ya Mohamad? Maana alikuwa anaongea tu maneno yake jamaa wanaandika, mbaya zaidi mohamad hakujua kusoma inawezekana jamaa waliongezea uongo wao juu ya uongo wa mwanzo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom