Leonardo Da-Vinci

Leonardo Da-Vinci

sasa wewe unanishangaza ni mimi ndiye niliyekuambia kuwa mungu anajua yote na alijua kuwa wanadamu watamsulubisha na kumuua lakini kwa vile yeyey mwenyewe alipanga hayo ilikuwa lazima itokee hivyo. kwani wewe unafikiri binadamu anao uwezo wa kumuua mungu? la hasha kwa imani ya kikristo tango mwanzo yeye alijua yajayo. na ndio maana nilikwambia yote yaliyotukia ilibidi yatokee ili neno litimie.
sasa unahangaika nini kueleza mambo kutoka katika kitabu chako ambacho kimejaa uongo juu ya huyu ambaye sisi tunamuamini kuwa ni mungu na mwokozi wa mwanadamu?

halafu bado unaendelea kunukuu vitu kutoka katika QURAN wakati mimi nakwambia mambo yaliyomo katika biblia. lete mistari ya biblia hapo tutaelewana.

kwanza namna mnavyomsoma yesu (kwenu mnamuita nabii issa) ni tofauti na tunavyomjua sisi.

Achana na huyo maamuma atakuchosha!
 
..............hiyo bold ukijisoma ulichoandika utajionea huruma wewe mwenyewe !
Unasema binaadamu wamemuua mungu, then unauliza binaadamu ana uwezo wakumuua mungu ?
Hakika nyie mmeghafilika !!:shocked:

inaelekea wewe ni mgumu sana kuelewa embu soma tena toka mwanzo hadi mwisho kisha usome tena toka post za mwanzo hadi mwisho.
 
inaelekea wewe ni mgumu sana kuelewa embu soma tena toka mwanzo hadi mwisho kisha usome tena toka post za mwanzo hadi mwisho.

.........nilikuambia: sifa za Mwenyezi Mungu ni hizi,

'Aliye Hai Milele, (Mungu hakuwahi kufa, wala kusulubiwa !)

Mwangalizi Mkuu, (Mwangalizi Mkuu akifa....shift ya kuangalia anamwachia nani ?)

Yeye anajua yalio mbele yao (wanadamu- ghaibu)

(na) yaliyo nyuma yao,

(na wanadamu) hawawezi kumjua Yeye !

Qur'an; 20:110-111.:busu
(Iron Lady ) : Sasa hapo nani haelewi !?..........mungu naye anakufa kama binaadamu ?!.....pole yako !
 
.........nilikuambia: sifa za Mwenyezi Mungu ni hizi,

'Aliye Hai Milele, (Mungu hakuwahi kufa, wala kusulubiwa !)

Mwangalizi Mkuu, (Mwangalizi Mkuu akifa....shift ya kuangalia anamwachia nani ?)

Yeye anajua yalio mbele yao (wanadamu- ghaibu)

(na) yaliyo nyuma yao,

(na wanadamu) hawawezi kumjua Yeye !

Qur'an; 20:110-111.:busu
(Iron Lady ) : Sasa hapo nani haelewi !?..........mungu naye anakufa kama binaadamu ?!.....pole yako !

Katika serikali ya mbinguni yupo Baba, Mwana na Roho mtakatifu wote hao ni Mungu mmoja. Aliyesurubiwa ni Mungu mwana naye anaitwa Yesu. Ally Kombo sikushangai leo maana hata kipindi kile wazee wa dini na mafarisayo walipata shida sana kama unayopata wewe leo kwa kutoyaelewa maandiko
 
Katika serikali ya mbinguni yupo Baba, Mwana na Roho mtakatifu wote hao ni Mungu mmoja. Aliyesurubiwa ni Mungu mwana naye anaitwa Yesu. Ally Kombo sikushangai leo maana hata kipindi kile wazee wa dini na mafarisayo walipata shida sana kama unayopata wewe leo kwa kutoyaelewa maandiko

alakadabra..........sarakasi tu hapo !.......mungu baba alikuwa anatizama tu wakati mungu mwana anakula kipondo ?
 
Mimi nilimsikia Leonado Da Vinci kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la 4 toka kwa class mate aliyeitwa Peter Bakilana (RIP), alimtaja Da Vinci akitutambulisha picha yake ya Mona Lisa ndio ilikuwa the most expensive painting of all the time mpaka kesho!. Kwa sasa haiuziki tena, inasemekana its value ni priceless!. Tangu hapo nikilisikia tuu jina la Leonado Da Vinci, namkumbuka Peter Bakilana.

Nilimuuliza ni nini kinachoifanya picha iwe ghali kiasi hicho?, Peter akajibu ni ubunifu uliowekwa na mchoraji wakati akichora, akamuelezea Da Vinci kuwa ni Genius!. Akanionyesha hiyo picha ya Mona Lisa, na nyingine mbili za Madonna na Last Supper, akaniambia niziangalie nione ninaona nini!. Mimi niliziangalia nikamwambia naona picha tuu sioni kingine chochote!. Ndipo Peter akaniambia ili uweze kuona zaidi ya hicho unachokiona, lazima kwanza uwe na uwezo wa kuona zaidi ya kuona tuu, akaanza kuielezea picha ya the Last Supper, kuwa kati ya wale mitume 12 wa Yesu, mmoja alikuwa ni Mwanamke ila alivaa nguo za kiume wakati woite na watu hawakumtambua hata mara moja na mwanamke huyo alikuwa jirani na Yesu wakati wote!. Siku ya kutezwa kwake, alimuachia Kitambaa chenye picha yake!.

Da Vinci alipochora Madonna alimaanisha ni Bikira Maria, na alipoichora Mona Lisa, ambayo ndio picha yake ya mwisho kabla hajafa, alianza kuichora mwaka 1503 na kuikamilisha mwaka 1519, alitumia miaka 15 kuichora na kikubwa alkichokuwa anakifanya ni kuficha hizo secret codes!, alimchora huyo Mwanamke with coded lines ukiitazama sana itamuona Yesu ndani yake!. Mimi nilitazama sana sikuona kitu kwa vile sikujaaliwa huo uwezo wa kuona zaidi ya kuona.

Tangu pale nikadevelop interest na Leonado Da Vinci na mambo ya paintings hadi kuwajua kina Va Gogh, Pablo Picasso Michelengelo na wengine. Inasemekana kwenye michoro yake ameweka secret codes zenye siri ya Yesu!.
Mfano hebu soma hii hapa

  • Leonardo was a member of the Priory of Sion and knew the secret of the Grail. The secret is in fact revealed in The Last Supper, in which no actual chalice is present at the table. The figure seated next to Christ is not a man, but a woman, his wife Mary Magdalene. Most reproductions of the work are from a later alteration that obscured her obvious female characteristics.
  • The androgyny of the Mona Lisa reflects the sacred union of male and female implied in the holy union of Jesus and Mary Magdalene. Such parity between the cosmic forces of masculine and feminine has long been a deep threat to the established power of the Church. The name Mona Lisa is actually an anagram for "Amon L'Isa", referring to the father and mother gods of Ancient Egyptian religion (namely Amun and Isis).
Pasco.

kimsingi watu wamefuatilia sana maisha ya yesu na falsafa zake..Hakuna ubishi kwamba hakuna mwanafalsafa ambaye falsafa yake iliaminiwa na kuaminiwa mpaka vizazi na vizai zaidi ya Yesu...maisha yake yameacha maswali mengi kuliko majibu..na watu walipojaribu kuandika maisha yake walipotezwa......, tujiulize tena kwa nini wayahudi waliomba wafunguliwe Baraba kwa ajili ya pasaka inexchange of yesu?...Yuda Iskariot ni nani? na kwa nini amuuze Yesu? ...wengi watajibu shaortly kwamba ilitabiriwa hivyo....think and tupe majibu......leave uwepo wa Mungu Intack katika hili....da vinc ni miongoni mwa wale waliokuwa wanatafuta majibu ya maswali ya watu kuhusu yesu..simulizi hizi zipo na hazitakufa.
 
Leonardo da Vinci
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]I[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]INTRODUCTION[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Leonardo da Vinci (1452-1519), Florentine artist, one of the great masters of the High Renaissance, celebrated as a painter, sculptor, architect, engineer, and scientist. His profound love of knowledge and research was the keynote of both his artistic and scientific endeavours. His innovations in the field of painting influenced the course of Italian art for more than a century after his death, and his scientific studies—particularly in the fields of anatomy, optics, and hydraulics—anticipated many of the developments of modern science.
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]II[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]EARLY LIFE IN FLORENCE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Leonardo was born on April 15, 1452, in the small town of Vinci, near Florence, in Tuscany. He was the son of a wealthy Florentine notary and a peasant woman. In the mid-1460s the family settled in Florence, where Leonardo was given the best education that Florence, a major intellectual and artistic centre of Italy, could offer. He rapidly advanced socially and intellectually. He was handsome, persuasive in conversation, and a fine musician and improviser. In about 1466 he was apprenticed as a garzone (studio boy) to Andrea del Verrocchio, the leading Florentine painter and sculptor of his day. In Verrocchio’s workshop Leonardo was introduced to many activities, from the painting of altarpieces and panel pictures to the creation of large sculptural projects in marble and bronze. In 1472 he was admitted to the painters’ guild of Florence, and in 1476 he was still considered Verrocchio’s assistant. In Verrocchio’s Baptism of Christ (c. 1470, Uffizi, Florence), the kneeling angel in the left of the painting is by Leonardo.
In 1478 Leonardo became an independent master. His first commission, to paint an altarpiece for the chapel of the Palazzo Vecchio, the Florentine town hall, was never executed. His first large painting, The Adoration of the Magi (Uffizi), begun in 1481 and left unfinished, was ordered for the monastery of San Donato a Scopeto, Florence. Other works ascribed to his youth are the so-called Benois Madonna (c. 1478, Hermitage, St Petersburg), the portrait Ginevra de’ Benci (c. 1474, National Gallery, Washington, D.C.), and the unfinished St Jerome (c. 1481, Pinacoteca, Vatican).
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]III[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]YEARS IN MILAN[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
In about 1482 Leonardo entered the service of Ludovico Sforza, Duke of Milan, having written the duke an astonishing letter in which he stated that he could build portable bridges; that he knew the techniques of constructing bombardments and of making cannons; that he could build ships as well as armoured vehicles, catapults, and other war machines; and that he could execute sculpture in marble, bronze, and clay. He served as principal engineer in the duke’s numerous military enterprises and was also active as an architect. In addition, he assisted the Italian mathematician Luca Pacioli in the celebrated work Divina Proportione (1509), a treatise on aesthetics centring on the concept of the Golden Section.
Evidence indicates that Leonardo had apprentices and pupils in Milan, for whom he probably wrote the various texts later compiled as Treatise on Painting (1651; trans. 1956). The most important of his own paintings during the early Milan period was The Virgin of the Rocks, two versions of which exist (1483-1485, Louvre, Paris; 1490s to 1506-1508, National Gallery, London); he worked on the compositions for a long time, as was his custom, seemingly unwilling to finish what he had begun. From 1495 to 1497 Leonardo laboured on his masterpiece, The Last Supper, a mural in the refectory of the monastery of Santa Maria delle Grazie, Milan. Unfortunately, his experimental use of oil on dry plaster (on what was the thin outer wall of a space designed for serving food) led to technical problems, and by 1500 the mural had begun to deteriorate. Since 1726 attempts have been made, unsuccessfully, to restore it; a concerted conservation and restoration programme, making use of the latest technology, was begun in 1977 (completed in 1999) and has reversed some of the damage. Although much of the original surface is gone, the majesty of the composition and the penetrating characterization of the figures give a fleeting vision of its vanished splendour.
During his long stay in Milan, Leonardo also produced other paintings and drawings (most of which are now lost), theatre designs, architectural drawings, and models for the dome of Milan Cathedral. His largest commission was for a colossal bronze equestrian statue of Francesco Sforza, father of Ludovico, for the courtyard of Castello Sforzesco. In December 1499, however, the Sforza family was driven from Milan by French forces. Leonardo had made the clay model but contingency dictated that the metal intended for the statue be used for cannon instead. The model was destroyed by French archers, who used it as a target. Leonardo returned to Florence in 1500.
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]IV[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]RETURN TO FLORENCE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
In 1502 Leonardo entered the service of Cesare Borgia, Duke of Romagna and son and chief general of Pope Alexander VI. In his capacity as the duke’s chief architect and engineer, Leonardo supervised work on the fortresses of the papal territories in central Italy. In 1503 he was a member of a commission of artists who were to decide on the proper location for Michelangelo‘s statue of David (1501-1504, Accademia, Florence), and he also served as an engineer in the war against Pisa. Towards the end of the year Leonardo began to design a decoration for the great hall of the Palazzo Vecchio. The subject was the Battle of Anghiari, a Florentine victory in the war with Pisa. He made many drawings for it and completed a full-size cartoon, in 1505, but he never finished the wall painting. The cartoon itself was destroyed in the 17th century, and the composition survives only in copies, of which the most famous (c. 1615, Louvre) is the one by Peter Paul Rubens.
During this second Florentine period, Leonardo painted several portraits, but the only one that survives is the famous Mona Lisa (1503-1506, Louvre), one of the most celebrated portraits ever painted. It is also known as La Gioconda, after the presumed name of the woman’s husband. Leonardo seems to have had a special affection for the picture, for he took it with him on all his subsequent travels.
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]V[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]LATER TRAVELS AND DEATH[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
In 1506 Leonardo went again to Milan, at the summons of its French governor, Charles d’Amboise. The following year he was named court painter to Louis XII of France, who was then residing in Milan. For the next six years Leonardo divided his time between Milan and Florence, where he often visited his half-brothers and half-sisters and looked after his inheritance. In Milan he continued his engineering projects and worked on an equestrian figure for a monument to Gian Giacomo Trivulzio, commander of the French forces in the city; although the project was not completed, drawings and studies have been preserved. From 1514 to 1516 Leonardo lived in Rome under the patronage of Pope Leo X: he was housed in the Palazzo Belvedere in the Vatican and seems to have been occupied principally with scientific experimentation. In 1516 he travelled to France to enter the service of Francis I. He spent his last years at the Château de Cloux, near Amboise, where he died on May 2, 1519.
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]VI[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]PAINTINGS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Although Leonardo produced a relatively small number of paintings, many of which remained unfinished, he was nevertheless an extraordinarily innovative and influential artist. During his early years, his style closely paralleled that of Verrocchio, but he gradually moved away from his teacher’s stiff, tight, and somewhat rigid treatment of figures to develop a more evocative and atmospheric handling of composition. The early Adoration of the Magi introduced a new approach to composition, in which the main figures are grouped in the foreground, while the background consists of distant views of imaginary ruins and battle scenes.
Leonardo’s stylistic innovations are even more apparent in The Last Supper, in which he re-created a traditional theme in an entirely new way. Instead of showing the 12 apostles as individual figures, he grouped them in dynamic compositional units of three, framing the figure of Christ, who is isolated in the centre of the picture. Seated before a pale, distant landscape seen through a rectangular opening in the wall, Christ—who is about to announce that one of those present will betray him—represents a calm nucleus while the others respond with animated gestures. In the monumentality of the scene and the weightiness of the figures, Leonardo reintroduced a style pioneered more than a generation earlier by Masaccio.
The Mona Lisa, Leonardo’s most famous work, is as well known for its mastery of technical innovations as for the mysteriousness of its legendary smiling subject. This work is a consummate example of two techniques—sfumato and chiaroscuro—of which Leonardo was one of the first great masters. Sfumato (smoked) is a delicately atmospheric haze or smoky effect produced by subtle, almost infinitesimal transitions between areas of colour; it is especially evident in the delicate gauzy robes worn by the sitter and in her enigmatic smile. Chiaroscuro (light and dark) is the technique of modelling and defining forms by means of contrasts between light and shadow; the sensitive hands of the sitter are portrayed with a luminous modulation of light and shade, while colour contrast is used only sparingly.
Leonardo was among the first to introduce atmospheric perspective (the effect that the atmosphere appears to have on the colour and definition of distant scenery); landscape backgrounds painted in this way are an especially notable characteristic of his paintings. The chief masters of the High Renaissance in Florence, including Raphael, Andrea del Sarto, and Fra Bartolommeo, all learnt from Leonardo; he completely transformed the school of Milan; and at Parma, the artistic development of Correggio was given direction by Leonardo’s work.
Leonardo’s many extant drawings, which reveal his brilliant draughtsmanship and his mastery of the anatomy of humans, animals, and plant life, may be found in the principal European collections; the largest group is at Windsor Castle, in England. Probably his most famous drawing is the magnificent self-portrait in old age (c. 1510-1513, Biblioteca Reale, Turin).
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]VII[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]SCULPTURAL AND ARCHITECTURAL DRAWINGS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Because none of Leonardo’s sculptural projects was brought to completion, his approach to three-dimensional art can only be judged from his drawings. The same strictures apply to his architecture; none of his building projects was actually carried out as he devised them. In his architectural drawings, however, he demonstrates mastery in the use of massive forms, a clarity of expression, and especially a deep understanding of ancient Roman sources.
[TABLE="class: section_hdr"]
[TR]
[TD="class: section_prefix"]VIII[/TD]
[TD][/TD]
[TD="class: section_title"]SCIENTIFIC AND THEORETICAL PROJECTS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
As a scientist Leonardo towered above all his contemporaries. His scientific theories, like his artistic innovations, were based on careful observation and precise documentation. He understood, better than anyone of his century or the next, the importance of precise scientific observation. Unfortunately, just as he frequently failed to bring to conclusion artistic projects, he never completed his planned treatises on a variety of scientific subjects. His theories are contained in numerous notebooks, most of which were written in mirror script. Because they were not easily decipherable, Leonardo’s findings were not disseminated in his own lifetime; had they been published, they would have revolutionized the science of the 16th century. Leonardo actually anticipated many discoveries of modern times. In anatomy he studied the circulation of the blood and the action of the eye. He made discoveries in meteorology and geology, understood the effect of the Moon on the tides, foreshadowed modern conceptions of continent formation, and surmised the origin of fossilized shells. He was among the originators of the science of hydraulics and probably devised the hydrometer; his scheme for the canalization of rivers still has practical value. He invented a large number of ingenious machines, many potentially useful, among them an underwater diving suit. His flying devices, although not practicable, embodied sound principles of aerodynamics.
Microsoft ® Encarta ® Encyclopedia 2004. © 1993-2003 Microsoft Corporation. All rights reserved.
 
.........nilikuambia: sifa za Mwenyezi Mungu ni hizi,

'Aliye Hai Milele, (Mungu hakuwahi kufa, wala kusulubiwa !)

Mwangalizi Mkuu, (Mwangalizi Mkuu akifa....shift ya kuangalia anamwachia nani ?)

Yeye anajua yalio mbele yao (wanadamu- ghaibu)

(na) yaliyo nyuma yao,

(na wanadamu) hawawezi kumjua Yeye !

Qur'an; 20:110-111.:busu
(Iron Lady ) : Sasa hapo nani haelewi !?..........mungu naye anakufa kama binaadamu ?!.....pole yako !

katafute kujua maana YA UTATU MTAKATIFU (mungu baba, mungu mwana mungu roho mtakatifu). ukishaelewa utakuja tueendelee kubadilishana mawazo
 
umenena kweli Ni upuuzi Sana hata Mimi nimeona hizi documentary, watu wameamua kumtumikia shetani kueleza dunia uongo but its too late,huo mchoro wa monalisa aliyochora da Vinci Ni utata mtupu Kuna documentary moja wanasema aliyemchora Ni mpenzi wake wa kiume, binadamu tuwe makini Sana na mambo tunayosikia na kuyaona
hey brother, duh mada imegeuka Biblical sijaweza kusoma all the posts in between so i'm not sure if what i'm gonna say has been said or what. Kuna sababu nyingi za huu mchoro kua maarufu duniani na kugusa watu wengi but it all depends on what you do believe. Ila mainly among the many things the hidden messages, the male lover that's speculated to be the one on it and all that. Artistically speaking these two things are the ones that have led the painting to be very popular. Kwanza ni new artistic style used, he did this in the 16th centuries huko his art was alien at the time alileta a very new technique of using two shades to create a sense of depth which is even now taught in every artschool. Hua nafanya animations and other digital paintings and graphics things on free times and the technique of painting is called "Cel shading" i believe in other forms of art itakua na jina jingine but the technique creates an illusion of depth, which at the time ni kitu hakuna mtu aliewahi kufikiria. Pili ni Mona lisa's SMILE. well to put it in simple terms kuna illusion imetengenezwa on the painting that ukiangalia tu kwanza utauangalia machoni straight (like macho aliyapaint to be the key feature) na utamwona ana SMILE but ukiendelea kuangalia mchoro for some time smile inapotea taratibu into a flat face. All these archived through his high knowledge of human anatomy and painting skills. Personally i believe the guy was gifted and out of his time (kama one guy called Nikola Tesla), that and all the designs he drew which were latter invented and made practical by scientists ni kitu amazing sana.
 
Ndugu Eiyer sorry to be saying this but your actions contradict your Signature. You do lose temper quit easily when your beliefs are put to challenge.
 
Ndugu Eiyer sorry to be saying this but your actions contradict your Signature. You do lose temper quit easily when your beliefs are put to challenge.

Not true at all!
 
Leonardo da Vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baloon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi…lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya Monalisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa Yesu Kristu alimuoa Marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu

Hapana kaka, kwa hapa umechanganya kidogo! Ni kweli Leonardo Da Vinci ndiye mchoraji wa kwaza wa picha ya YESU na wanafunzi wake (the Last Supper), hata hivyo si yeye "Leonardo Da Vinci" aliyesema eti YESU alimwoa Mariamu Magdalene. Aliye sema hayo ni "Dan Brown" mwandishi "shoga" wa kimarekani, kwenye kitabu chake alichouza sana kiitwacho "The Da Vinci Code", yaani fumbo la Da Vinci! Dan Brown anajaribu kutafsiri ile picha ya "Karamu ya Mwisho" ambayo Yohana "mwanafunzi alipendwa sana na BWANA YESU" anaonekana kumlalia YESU kifuani, akidai kuwa aliyemlalia YESU hakuwa Yohana bali Mariamu Magdalene.
 
Ndio ili neno lake litimie yakuwa atamtoa mwanae naye atasulubiwa kwa ajili ya uokovu wa wanadamu.


Je, Yesu amesulubiwa?

Qurani inaeleza katika Sura 4:157 kuwa Yesu hakusulubiwa: “Na kwa (ajili ya) kusema kwao: “Sisi tumemuua Masihi Isa, mwana wa
Maryamu, Mtume wa Mungu,” hali hawakumwuua wala hawakumsulubu,...”


Je, unaendelea kuamini kuwa Yesu amefia msalabani?

unaweza kuniambia Ndiyo, alikufa na baadaye akafufuka.

KWANZA Ufahamu kuwa hakuna mtu aliyeshuhudia muda aliofufukia.

Wao walilikuta kaburi alilolala Yesu likiwa tupu na wakahitimisha kuwa amefufuka, kwa sababu wanafunzi na mashahidi wengine walimwona akiwa hai baada madai ya kusulubiwa. Je, haiwezekani kuwa, kama inavyodai Qurani, kwamba hajafa msalabani?

Waweza kuuliza , Ushahidi upo wapi?

Majibu . Hebu tutazame vifungu vya Biblia ambavyo vinaunga mkono hitimisho hilo.

Je, unayapa uzito zaidi yale aliyoyasema Yesu au tetesi za wanafunzi, mitume, na mashahidi wengine?

Bila shaka, zaidi ni kwa kile alichosema Yesu mwenyewe.

Hiyo ni kwa mujibu wa vile alivyosema Yesu: Matayo 10:24
“Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumwa hampiti bwana wake.”
Unaweza kuniambia tena , Lakini Yesu mwenyewe amesema kuwa atafufuka miongoni mwa wafu: Luka 24:46 “Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, Kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu;”

JIBU ,Kuteseka mara nyingi kunatiwa chumvi zaidi katika Biblia kwa kutumia msamiati wa “kufa,” kama Paulo aliovyosema katika 1 wakorintho 15:31 “Naam, ndugu, kwa huku kujisifu kwangu nilikonako juu yenu katika Kristo Yesu Bwana wetu, ninakufa kila siku.” (yaani ninateseka kila siku).

Huu ni ushahidi mwengine:

1. Msalabani, Yesu alimsihi sana Mungu amsaidie: Matayo 27:46 “Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Katika Luka 22:42, inasimuliwa kuwa; “Akasema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si
mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Kombe hilo ni kombe la mauti.)

2. Ombi la Yesu asife msalabani lilikubaliwa na mungu, kwa mujibu wa Luka, mwandishi wa Waebrania, na Yakobo. Kwa hiyo, vipi afie msalabani?

Luka 22:43 “Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.” Hili linamaanisha kuwa malaika amemuhakikishia kuwa Mungu hato mwacha bila ya kumpa msaada:

Waebrania 5:7 “Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu.”

Maombi ya Yesu “yalisikilizwa,” jambo linalomaanisha kuwa maombi yake yalijibiwa na Mungu kwa wema:

Yakobo 5:16 “...Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.”

Yesu mwenyewe amesema katika Matayo 7:7-10 “Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?”

Ikiwa maombi ya Yesu yote yalikubaliwa na Mungu, likiwemo lile ombi lake asife msalabani, sasa itakuwaje mng`ang`anie kuwa amefia msalabani?
 
na hapa ndipo na mimi napata shida ya ninapojadili swala la uchaguzi wa vitabu vya biblia na wakristo wenzangu.
walio kaa chini na kusema hivi viingie na vile visiingie kwa hakika hawakuongozwa na roho bali walichagua kwa mapenzi yao na sababu zao kwa wakati huo pengine au walilenga wakati mrefu ujao. nina mashaka sana na vitabu vilivyoachwa kuingizwa katika jumuisho la vitabu vilivyotengeza biblia. na zipo habari kuwa vitabu hivyo baadhi vilifichwa na kuwa siri kwa wajao wasijue nini kilitokea wapi. wao ukiwasikia wanatetea kuwa vitabu vilivyoondolewa vilikuwa na maudhui sawa na vile walivyoviweka wakaona ni marudio wakaamua kuvitoa. lakini kuna kitabu cha maria magdalena hakipo katika biblia yetu je sababu ni nini?
je ilikuwa ni muongozo wa roho mtakatifu kutokiweka katika biblia? au kuna sababu zao?

dini inaongozwa na watu wenye malengo tofauti imani ni kitu kingine tofauti. tabaka hili la watu wanaoendesha dini wao ndio wanaamua wafuatao dini hiyo wafanye nini sasa kwa manufaa ya nani that is an issue of discussion.
Mkristu usichanginyikiwe kuhusu vitabu, Yesu aliacha kanisa, na kanisa hilo ndo lililoamua kuhusu vitabu vipi vipo inspired na vipi siyo. Kumbuka biblia ni neon la Mungu, ukianza ku doubt uhalali wake ujue unahitaji kusali zaidi ili Roho Mtakatifu akufunulie ukweli kuhusu neno la Mungu.
 
Kuna kitabu kimoja tu kinacho fuatwa na wakristo kkama katiba nacho ni biblia sasa hiyo da-vinci cord ni kama satanic vesels
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom