Leonardo Da-Vinci

Mkuu mambo mengine unajiweka nayo pembeni tu mkuu maana itakuwa ni kupoteza muda tu!

vizuri tutashinda kwa hoja tu mi simu yangu kutype maneno mengi inaniconsume tupia wewe hio article hapoo juuu
 

Huyo Eiyer hajui kitu...Nahizo hints ulizompa ndo kwanza leo kazisikia....Kwasababu ana ule ugonjwa wa kujifanya anajua, ili usimuone hajui atajikweza "umejuaje mimi sijui".....

Ngoja mm nipitie hizo hints zako...
 
Huyo Eiyer hajui kitu...Nahizo hints ulizompa ndo kwanza leo kazisikia....Kwasababu ana ule ugonjwa wa kujifanya anajua, ili usimuone hajui atajikweza "umejuaje mimi sijui".....

Ngoja mm nipitie hizo hints zako...



www.jesus-is-savior.com/Wolves/davinci.htm
 
www.jesus-is-savior.com/Wolves/davinci.htm

Sawa Dan Vinci picha zake hazina ukweli....Unajua ile picha ya Last Supper aliichora baada ya yeye kusemekana kuamishiwa Vatcan Library kwa hiyo alipata wasaa mkubwa wa kusoma nyaraka na vitabu mbalimbali ..

Sasa watu wanasema kusoma huko ndo kulipelekea kuchora picha ile..
 

hiyo link inamajibu yote all in all davinci alikuwa ni satan @ work
 

Unachokijua ww kupitia those channels ni so called propaganda but da Vince have too many secrets
 
Unachokijua ww kupitia those channels ni so called propaganda but da Vince have too many secrets

Unadai kuwa ninachokijua mimi ni propaganda,sawa..... Je hicho unachodai wewe kuwa ni siri ambazo alikuwa anazijua huyo jamaa ni kwanini sio propaganda?

Sitaki kuamini kuwa umelitumia neno propaganda bila kuwa na uwezo wa kuelezea propaganda ni nini na ili jambo lisiwe propaganda najua kuwa unaweza kulielezea

Hebu fanya hivyo kwanza!
 
Unachokijua ww kupitia those channels ni so called propaganda but da Vince have too many secrets

secrets=secret societies=masonics=devils





www.jesus-is-savior.com/Wolves/davinci.htm
 
Huyo Eiyer hajui kitu...Nahizo hints ulizompa ndo kwanza leo kazisikia....Kwasababu ana ule ugonjwa wa kujifanya anajua, ili usimuone hajui atajikweza "umejuaje mimi sijui".....

Ngoja mm nipitie hizo hints zako...

mkuu pitia pia na source zako nyingine kama unazo.Usisahau pia kuweka majina ya injili 20 zilizoondolewa kwenye mtaguso wa Efeso ili tuzijadili na kisha twende kwenye vitabu vingine.

Nakusubiri tufanye mjadala mpana wenye elimu na siyo mambo ya dogma na hisia hisia kama za Eiyer.
Mtu ambaye hajui na hajui kuwa hajui au hataki kujifunza ameng'ang'ania ubishi tu,hafai kufanya naye majadiliano yenye kujenga
 

Mkuu uwezo wako wakuanalyse ndo umeishia hapo? yani kwa maajabu alofanya yesu, anza ya kufufua, kuwalisha watu maelf kwa mikate mitano na kufa na kufufuka leo hii awe ana kizazi chake kipotee watu wakisau kirahisi tuu?
 
Mkuu kuna hii documentary inaelezea jinsi biblia ilvyo tengenezwa icheki kaka tuje tushee understandings "banned from the bible"
 

Kama walikuwa na uwezo wa kuandika biblia how do you think wanashindwa kuficha familia ya yesu? Biblia yenyewe inajicontradict kwenye maisha ya yesu kuanzia ukoo wake, maisha yake, kukamatwa kwake, kufa kwake, kufufuka kwake na mwisho kupaa kwake kwenda mbinguni. So kwa wenye akili na wanaotaka kujua ukweli juu ya ukristo lazima wataibuka na maswali mengi ambayo yanasababisha mtu kutoiamini biblia na hivyo kuifanyia utafiti. Yesu alikuwa myahudi lakini historia yake inapatikana zaidi ktk lugha tofauti na za kiyahudi the question is still there WHY???
 
Vatcan????
Sory,i don't trust them!

Kaka unajua Kuwa biblia agano jipya lilikuwa compiled kwa initiative ya jamaa mmoja ambaye alikuwa ni tajiri na mfanyabiashara ambaye ni mchamungu na yeye ndo aloanzisha mchakato wa kutengeza biblia agano jipya na yeye na watu wake ndo walokuwa na uamuzi kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe inasemaekana baada ya kifo cha yesu viliandikwa vitabu vingi sana na waandishi wengi mmoja wao ni Mary Magdalene kitabu chake hakikuzingatiwa kwa kipindi kile ni sababu ya mtazamo wa jamii ya enzi izo towards wanawake. Siyo maneno yangu mkuu na mie nimepitia pitia hizi documentariea na google.
 
mkuu ningependa kukuonesha hizo docs lakini zipo katika dvd na sina utaalamu wa kuaatach such a documents. nielekeze nikutumie

Vingi vipo you tube! Kunadocumentaries nyingi za BBC zinaitwa bible mystries nimeangalia mbili so far.
 

Its worth it to know for the sake of knowing napend kukazia maarifa kwa kitabu cha ufunuo wataalamu wanasema kuwa kulikuwa na vitabu viwili vya ufunuo kimoja cha peter na kingine cha yohane kilichukuliwa cha yohana kikaachwa cha peter kwa nn? Inasema peter kitabu chake kilkuwa so straight na kinasema aliambiwa Christ kuwa mwishowe wote waovu watasamehewa na maisha yataendelea lakini wahusika wakaona si logic ya kukijumuisha kitabu hicho sababu watu hawatakuwa na hofu ya kuacha mabaya kwa sababu wanajua mwishowe watasamehewa. Jamani narudia haya si maneno yangu
 
Hii thread ngoja nitafutie muda niisome kwa urefu na mapana


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Nimeona kwenye komenti zako umezungumzia kufa na kufufuka kwa yesu. Swali langu how sure are you that jesus christ rise from dead while all the four gospel of jesus contradict themselves about the rise of jesus??
 
Kwani tatizo nini?
Au unataka kumuwekea Mungu mipaka?

Dah! Kweli hii ishu ngumu, yani we huoni tatizo hapo. Hebu jiulize we utengeneze robot lako ambalo kila linachofanya we ndo unaliongoza halafu likuue wewe unaejua siri zake halafu useme hakuna tatizo? Ndugu yangu mi nashindwa kuelewa uwezo wako wa kufikiri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…