Kwahiyo alipo kufa msalabani, aliye waumba yeye mwenyewe ndio walio muua !?
Aiseeh !
Leonardo da Vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baloon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya Monalisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa Yesu Kristu alimuoa Marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu
Ni vyema kwa wasomaji wa Biblia wakaielewa lugha ya Kiiblia.
Kwa mfano inaposema Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo, maneno haya waliyatumia kwa sababu amani zile kulikuwa na miungu mingi, hili kutofautisha ni mungu gani wanamtaja iliwapasa watumie lugha hii kwamba wanamaanisha yule Mungu waliyemwabudu baba zao.
Ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa watu wote, anasema hivi, tazama mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili hakuna neno gumu lolote nisiloliweza.
google last supper/davinci code.......wanafalsafa wa kale wamekuwa wakidadisi kwa muda mrefu sana uhusiano tete kati ya yesu na Marry Magdalena...kuna waandishi wengi ambao waluigusia uhusiano huu na wakaishia kupotezwa na Romani empire ikiwamo Leonanardo davinci...baada ya mchoro huo Davinci alihama nchi yake kwa kuhofia maisha yake ambayo yaliwekwa rehani na utawala wa Roma wa kipindi chake...kisa chake kinamambo meni ..lakini simulizi ambazo zimeendelea kuzikwa ni ukweli kuhusu maisha ya Yesu...
1)..nini position ya Marry Magdalena b4, during & after jesus christ.
2) mbona alivuma ghafla katika biblia na kupotea ghafla baada ya kifo cha yesu..ni sawa na maisha ya Yoseph mme wa mama yake yesu nayo ni kizungu mkuti.
3) alegations kwamba yesu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Merry Magdalena na walipata watoto wawili ni za kale even b4 Leonardo who is did put the thing in public via drawings..na inasemekana baada ya kifo chake watoto na familia yake ilitoroshewa ulaya magharibi inasemekana hasa parts za Ireland/UK
si kweli,vitabu vya injili vimemtaja mary magdalena,yule aliyefumaniwa akaokolewa na yesu,na tena kwenye msiba wa lazaro yule Yesu alimfufua,Mary magdalena nduguye martha,mkuu umesahau,injili umemtaja sana tu,na tena alienda kaburini siku ya kwanza ya juma
Huyu ni master architect wa conspiracy against Roman Catholic by then and up to date. Hiyo ni kifupi cha kazi zake.
Ngoja tusubiri tuone kama wataweza kujibu,but for sure hawatoweza.In fact you can't know what U have till you loose it,cjui wanasomaga hao jamaa kwenye kitabu chao,mnfyuuuuuuh.......!
Mkuu naona kuna maswali mawili hapo ya Msingi kwenye comment yako moja ni kwanini watu Wamzushie? Pili ni kwanini vitabu vyote havikuingizwa kwenye biblia.Ntajaribu kukujibu kwa kadri ya uwezo wangu na kwa bahati nzuri comments zako zinaonyesha ni mtu unayeweza kuargue kwa facts na bila dharau/dhihaka kwa anayetofautiana mawazo na wewe
1. Kwanini wamzushie - Utakubaliana na mimi kuwa watu wasiokupenda au maadui zako wanaweza kufanya lolote kukuharibia kwa namna yoyote ile so sio kila mtu anaipenda imani ya Ukristo na hivyo watafanya kila hila ili kuonyesha Imani hiyo na muanzilishi wake hawana maana kuna maadui wengi sana wa ukristo na wameshafanya mengi sana kuonyesha kuwa ukristo na huyo Yesu mwenyewe havina maana na wapo waliodiriki hata kusema ya Kuwa Yesu hakuwahi kutokea duniani (Sasa sijui hata hiyo idea ya Yesu ilitoka wapi hawaelezi) wapo waliosema Yesu hakufa na kufufuka sasa kama wameweza kuzusha ya Kuwa hakuwahi kuja Duniani na baadae wakakurupuka tena wakajikana wakasema oooh ndio alikuwepo lakini hakufa wala kufufuka watashindwa nini kuzusha ya kuwa alitembea na kuzaa na Maria Magdalena? Mbona uzushi huu ni mdogo kuliko wa kutokuzaliwa/kuja duniani au ule wa kutokufa na kufufuka?
2. Kwanini vitabu vyote havikuweka kwenye biblia? Ndugu yangu vitabu vyote vya agano jipya viliandikwa baada ya Yesu kufufuka na kupaa mbinguni na vilianza kuandika takribani miaka hamsini baada ya Yesu kupaa mbinguni vitabu hivyo vilikuwa vinaelezea maisha ya Yesu,Maisha ya Mitume na Wakristo wa Kwanza na hivyo kupelekea watu wengi sana walio ona matukio hayo kuandika vitabu mbalimbali kwa mfano kuna vitabu vingi sana vilielezea maisha ya Yesu lakini ni vinne tu (Injili) ndivyo unavyovikuta kwenye biblia sababu ni kuwa Maisha ya Yesu yalikuwa na mambo mengi sana ya kuandikia na hata kwenye biblia imeandikwa (siukumbuki ule mstari ila nadhani ni Luka au Mathayo ) Kila kitu kuhusu Yesu kingewekwa kwenye maandishi basi ulimwengu mzima usingetosa kujaza hivyo vitabu offcourse akimaanisha ni vingi sana kumbuka kila siku ya Yesu hapa duniani ilitosha kuandikia kitabu kuna mambo mengi sana yaliandikwa mathali kuna injili ambayo ilielezea utoto wa Yesu jinsi alivyokuwa akicheza na wenzake alikuwa na uwezo wa kutengeneza ndege wa udongo akawapulizia pumzi na wakapeperuka,jinsi alivyokuwa anawasaidia watoto wenzake wasipigwe majumbani wakichelewa kurudi na offcourse jinsi alivyokuwa anawawajibisha watoto wenzie waliokuwa wanajifanya wababe na kumpiga sasa kanisa lililazimika kuchambua baadhi ya vitabu tu na kuviingiza kwenye biblia ili kuepuka kuwa na biblia ndefu sana inayoweza kufanya watu wakashindwa kuisoma kwa ukubwa wake na wakaamua kuweka vitabu vichache tu vyenye umuhimu na kutujenga kiroho.
Nadhani nimejaribu kidogo kukujibu mheshimiwa
hakika MUNGU uliyemtaja ndiye MUNGU wa kweli! Huitaji kumjua jina bali yeye YUPO amabaye YUPO, Mwenye uhai wa milele mwenye kusimamia mambo ya viumbe, hashikwi na usingizi wala kulala, ni vyake peke yake vilivyomo mbinguni na ardhini(quran 2:255) inaeleza sifa za MUNGU wa kweli. Ni MUNGU wa IBRAHIM, ISIHAKA, ISMAILI, YAKOBO, MUSA, YESU, MUHAMADI NA MIMI NA WEWE. Kama huamini, hiyo ni shauri yako, ila mimi nimeamini na kwake nimenyenyekea. Ili umjue MUNGU wa kweli usisimame sana katika dini, ila jaribu kujua sifa za MUNGU kwanza kablaya dini yako, hiyo itakusaidia sana kwani mwisho wa siku utaacha tabia ya kipumbavu ya kuabudu kanisa, msikiti, dhehebu, mchungji, papa, shehe, mitume n.k, hatimaye utamwabudu MUNGU, ambaye si lazima umjue jina bali ujue tu kuwa YEYE NI MUNGU, HAKIKA HATAKUACHA. Ahsante brother niliyeku quote hapo juu kuhusu MUNGU, nimependezwa sana maana hata kama tutakuwa tupo dini tofauti lakini hakika MUNGU wetu ni mmoja, Hakuzaa wala hakuzaliwa, ni wa milelenamuamini mungu aliyeumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo, aliyekuwapo yupo na atakuwapo milele. mungu huyo wengine wametokea kumuita yehova, lakini ndiye mungu huyo aliyekuwa wa wa musa yakobo isaya na wengine wengi.
mungu hana jina. ni mungu.
nafikiri nimejaribu kukujibu.
kwa majini yaliyoko mwilini mwako huwezi elewa!
Hujamuelewa Iron lady...Anasema kuna vitabu wakati Kanisa Katoliki lina-compile Biblia iliviacha.....Hivyo vitabu anadai vinamuelezea Maria Magdalena kwa undani...
Yeye anataka kujua kwann kanisa iliviacha....???
hakika MUNGU uliyemtaja ndiye MUNGU wa kweli! Huitaji kumjua jina bali yeye YUPO amabaye YUPO, Mwenye uhai wa milele mwenye kusimamia mambo ya viumbe, hashikwi na usingizi wala kulala, ni vyake peke yake vilivyomo mbinguni na ardhini(quran 2:255) inaeleza sifa za MUNGU wa kweli. Ni MUNGU wa IBRAHIM, ISIHAKA, ISMAILI, YAKOBO, MUSA, YESU, MUHAMADI NA MIMI NA WEWE. Kama huamini, hiyo ni shauri yako, ila mimi nimeamini na kwake nimenyenyekea. Ili umjue MUNGU wa kweli usisimame sana katika dini, ila jaribu kujua sifa za MUNGU kwanza kablaya dini yako, hiyo itakusaidia sana kwani mwisho wa siku utaacha tabia ya kipumbavu ya kuabudu kanisa, msikiti, dhehebu, mchungji, papa, shehe, mitume n.k, hatimaye utamwabudu MUNGU, ambaye si lazima umjue jina bali ujue tu kuwa YEYE NI MUNGU, HAKIKA HATAKUACHA. Ahsante brother niliyeku quote hapo juu kuhusu MUNGU, nimependezwa sana maana hata kama tutakuwa tupo dini tofauti lakini hakika MUNGU wetu ni mmoja, Hakuzaa wala hakuzaliwa, ni wa milele
mkuu
ninaisoma biblia kwa sababu ina mambo yanayumzungumzia mungu.
biblia ninayoisoma ni ile inayoitwa biblia takatibu yenye agano la kale na jipya.
hakuna sehemu mungu alipotajwa jina lake ambalo labda mimi na wewe tunayajua kuwa ni majina ya watu. amekuwa akiitwa kwa majumuisho tu mungu wa baba zenu, mungu wa isaya, mungu wa jakobo na kuendelea.
kutoka sura 3 mstari wa 14-15 musa alitumwa kwenda kuwaambia watu kitu, akamuuliza mungu watu hao wataniuliza ni mungu gani huyo anaitwa nani, mungu akamjibu musa akamwambia kawaambie MIMI NIKO AMBAYE NIKO amenituma kwenu. sasa mimi niko ni jina? kwa maana ya majina haya tunayoyajua.
mungu hana jina watu wamekuwa wakimuita kwa majina mbalimbali wengine bwana, wengine baba, na mengine mengi ikiwa kuna jina la mungu naomba nijulishe n ami nitakuwa nimejifunza kitu.
Sio kweli hata kidogo
Sina uwezo wa kukulazimisha na sitakua nao,kinachokufanya uone hivyo ni woga tu
Nimesema unapotezwa na mazoea na nimekupa ushahidi vile ambavyo wewe unaupofu kuhusiana na jina
Tatizo langu likowa pi hapo?
Unajua maana ya ukweli wewe?
Ukweli kwa maana fupi ni makubaliano kati ya hali halisi na kinachozungumzwa
Sasa wewe huko kusema Mungu hana jina kunakubalianaje na hali halisi?
Ni kwanini asiwe na jina?
Hana jina au wewe unadhani hana jina kutokana na mazoea yako?
Jina ni nini?
Hpo ndipo mtu mwenye akili timamu ataanzia kuutafuta ukweli
Kuna vita inaendelea ndugu yangu ya kumpaka matope huyu aliyebadilisha historia ya dunia!
in real sense kuna mengi wameyaficha kuhusu uhalisia wa maisha ya yesu ila hata mimi nakubaliana na leonardo da vinc na wengineo kua yesu alikua na mahusiano ya kimapenzi na maria magdalena pamoja na dem mwingine anaitwa elizabeth na ushahidi upo ingawa unafichwa fichwa
hakika MUNGU uliyemtaja ndiye MUNGU wa kweli! Huitaji kumjua jina bali yeye YUPO amabaye YUPO, Mwenye uhai wa milele mwenye kusimamia mambo ya viumbe, hashikwi na usingizi wala kulala, ni vyake peke yake vilivyomo mbinguni na ardhini(quran 2:255) inaeleza sifa za MUNGU wa kweli. Ni MUNGU wa IBRAHIM, ISIHAKA, ISMAILI, YAKOBO, MUSA, YESU, MUHAMADI NA MIMI NA WEWE. Kama huamini, hiyo ni shauri yako, ila mimi nimeamini na kwake nimenyenyekea. Ili umjue MUNGU wa kweli usisimame sana katika dini, ila jaribu kujua sifa za MUNGU kwanza kablaya dini yako, hiyo itakusaidia sana kwani mwisho wa siku utaacha tabia ya kipumbavu ya kuabudu kanisa, msikiti, dhehebu, mchungji, papa, shehe, mitume n.k, hatimaye utamwabudu MUNGU, ambaye si lazima umjue jina bali ujue tu kuwa YEYE NI MUNGU, HAKIKA HATAKUACHA. Ahsante brother niliyeku quote hapo juu kuhusu MUNGU, nimependezwa sana maana hata kama tutakuwa tupo dini tofauti lakini hakika MUNGU wetu ni mmoja, Hakuzaa wala hakuzaliwa, ni wa milele
in real sense kuna mengi wameyaficha kuhusu uhalisia wa maisha ya yesu ila hata mimi nakubaliana na leonardo da vinc na wengineo kua yesu alikua na mahusiano ya kimapenzi na maria magdalena pamoja na dem mwingine anaitwa elizabeth na ushahidi upo ingawa unafichwa fichwa