Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Status
Not open for further replies.
Vizazi vijavyo vitakana kabisa kwamba hii eti ni picha ya rais wa nchi akiwa na libonge tapeli la kimataifa tena ikulu.

IMG-20250920-WA0023.jpg
 
Mi nina sheria mija hata hapa.mtaani akipota katoto ka shule ya msingi kabonge kabonge huwa nakamata nachapa sana fimbo.

Mpaka watu wanakuja kunishika maana varangati lake linakua sio.poa.

Hapa juzi nimepishana na majamaa mabonge usiku wa saa tano sijui walikua ma lecture wale aiseee niliamua kuwafukuza tuu an

Walikimbia an huwa sipendi aisee hata nikipanda gari nikaona jamaa bonge huwa mood ina change chap nakasirika


Ila ukija kwa hawa upande wa pili yaan kibonge kidada au kimama daaah mashaallah kwanza nawaza ni mshangazi, pili nawaza kama mpenda mipasho yaani tarabu..
Tatu huwa nawaza je huyu nikimdaka tamkunja staili ipi ili apike kelele za utamu
Huyo uliyemuweka kwenye profile yako angesoma ulichoandika, nna hakika ingekuwa zamu yako kukimbizwa maana hapendagi ujinga jinga!
 
Leo nimekutana na kibonge kwenye parking kavaa kibukta kifupi sana chekundu yaan kifupiiii kama kiboxer cha watoto, akashuka kwenye gari akawa anakinyoosha nyoosha tisheti yake nyeupe ilikua fupi pia, baadae akainama kama anapekua pekua kitu kwenye gari, makalio hadi kende vyote viko wazi, akatoka akakinyoosha nyoosha tena kibukta chake na kushusha kitisheti chake, akawa anatembea ule mwendo wa mama mjamzito anayeenda kujifungua, nikatembea haraka haraka nikamfikia, nikwamwambia "umependeza" huku nimetoa tabasam feki, akaitikia kwa bashasha mwenyewe nikaondoka zangu.
😂😂😂😂😂 ila wewee, nimecheka km mwehu.
 
Inachukiza sana kuona mwanaume kainama halafu mfereji wa matako unaonekana.

Mabonge wengi ni kama hata akili zao hazipo sawa, unakuta limeinama na mfereji wa matako upo wazi na lenyewe linaona sawa tu. Ni upuuzi na ujinga mkubwa kabisa.
Wanazingua sana huwa najiuliza au mtu akishakuwa na kitambi boxer huwa haipandi zaidi juu?
mtu anainama kimstari cha tako kinachungulia kinasema "wasomi haii" ni fedheha sana.
 
Leo nimekutana na kibonge kwenye parking kavaa kibukta kifupi sana chekundu yaan kifupiiii kama kiboxer cha watoto, akashuka kwenye gari akawa anakinyoosha nyoosha tisheti yake nyeupe ilikua fupi pia, baadae akainama kama anapekua pekua kitu kwenye gari, makalio hadi kende vyote viko wazi, akatoka akakinyoosha nyoosha tena kibukta chake na kushusha kitisheti chake, akawa anatembea ule mwendo wa mama mjamzito anayeenda kujifungua, nikatembea haraka haraka nikamfikia, nikwamwambia "umependeza" huku nimetoa tabasam feki, akaitikia kwa bashasha mwenyewe nikaondoka zangu.
Kuna watu sijui akili hawana kabisa, ni vizuri sana kuzingatia uvaaji wa kuendana na mwili wako. Watu wengi hili wanalipuuza na hupelekea kujidhalilisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom