Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Status
Not open for further replies.
Mwanaume umeshajua wewe ni mnene umejinenepea kama kiboko basi jisitiri.

Kwa nini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika makalio yote mpaka juu?

Kwa nini uvae T shirt au shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane kama umevaa kitop au ukiinama mfereji wa matako unabaki wazi ****** nje?

Unakuta jitu bonge linashindwa kuvaa vest ndani kujisitiri likiinama sega lote nje.

Ukishakuwa mnene wewe vaa vest na manguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.

Inachukiza sana kuona mwanaume kainama halafu mfereji wa matako unaonekana.

Mabonge wengi ni kama hata akili zao hazipo sawa, unakuta limeinama na mfereji wa matako upo wazi na lenyewe linaona sawa tu. Ni upuuzi na ujinga mkubwa kabisa.
​
Mimi ni brother bonge ila sina tabia hata moja uliyo itaja/ elezea.

😊😁 Haaahaa 😂 noma SANA
 
Jamani… BMI yako inasemaje? Unene sio mzuri kwa afya.
Shusha ubaki na 75
Wastani Mimi futi SITA na kilo 92 naupenda sana huu mwili.

Nakitambi cha wastani cha kuvalia suti

By the way nilikuaga kimbau mbau ila watu nilio somaga nao wakiniona wanasema Duniani hakunaga mtu mwembamba ☺️😊

Of course napenda huu mwili kiasi nilienda dukani au elsewhere bai inakua juu
 
Salamu kubwa kwetu utasikia BROTHER BIG
Hizo BIGGIE tumezizoea sasa mkuu
-Yeah wavae vest ndani
-Btw akiwa demu halafu mstari wa mnduku uonekane inaongeza mzuka
Wadada wapo keen sana kulinda maungo yao hasa sehemu hizo kuliko Me. Wakipanda bodaboda mda wote wanahakikisha huko nyuma pamekaa sawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom