Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,510
- 28,530
Mwanaume umeshajua wewe ni mnene umejinenepea kama kiboko basi jisitiri.
Kwa nini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika makalio yote mpaka juu?
Kwa nini uvae T shirt au shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane kama umevaa kitop au ukiinama mfereji wa matako unabaki wazi makalio nje?
Unakuta jitu bonge linashindwa kuvaa vest ndani kujisitiri likiinama sega lote nje.
Ukishakuwa mnene wewe vaa vest na manguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.
Inachukiza sana kuona mwanaume kainama halafu mfereji wa matako unaonekana.
Mabonge wengi ni kama hata akili zao hazipo sawa, unakuta limeinama na mfereji wa matako upo wazi na lenyewe linaona sawa tu. Ni upuuzi na ujinga mkubwa kabisa.