Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Status
Not open for further replies.
Leo nimekutana na kibonge kwenye parking kavaa kibukta kifupi sana chekundu yaan kifupiiii kama kiboxer cha watoto, akashuka kwenye gari akawa anakinyoosha nyoosha tisheti yake nyeupe ilikua fupi pia, baadae akainama kama anapekua pekua kitu kwenye gari, makalio hadi kende vyote viko wazi, akatoka akakinyoosha nyoosha tena kibukta chake na kushusha kitisheti chake, akawa anatembea ule mwendo wa mama mjamzito anayeenda kujifungua, nikatembea haraka haraka nikamfikia, nikwamwambia "umependeza" huku nimetoa tabasam feki, akaitikia kwa bashasha mwenyewe nikaondoka zangu.
 
Una dhambi sana 😂😂😂😂
 
laana sumaka 😂🤣
 
Mi nina sheria mija hata hapa.mtaani akipota katoto ka shule ya msingi kabonge kabonge huwa nakamata nachapa sana fimbo.

Mpaka watu wanakuja kunishika maana varangati lake linakua sio.poa.

Hapa juzi nimepishana na majamaa mabonge usiku wa saa tano sijui walikua ma lecture wale aiseee niliamua kuwafukuza tuu an

Walikimbia an huwa sipendi aisee hata nikipanda gari nikaona jamaa bonge huwa mood ina change chap nakasirika

Ila ukija kwa hawa upande wa pili yaan kibonge kidada au kimama daaah mashaallah kwanza nawaza ni mshangazi, pili nawaza kama mpenda mipasho yaani tarabu..
Tatu huwa nawaza je huyu nikimdaka tamkunja staili ipi ili apike kelele za utamu
 
Mengine yalizaliwa kawaida tu

Ila kazi kula supu , kitimoto na Pepsi ya baridi mpaka inatoa maji maji.

Yakinenepa yanasingizia eti ndio yamezaliwa hivyo hivyo!
1758733784386.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom