mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,598
Vincenzo alikukosea nini jamani?😅😹😹😹 Umesahau yanapenda kujamba hovyo huku yanacheka ili ku balance sauti ya ushuzi..!!
Vincenzo Jr we bonge umemsoma prezidaa wa China? 🤣
Vincenzo alikukosea nini jamani?😅😹😹😹 Umesahau yanapenda kujamba hovyo huku yanacheka ili ku balance sauti ya ushuzi..!!
Vincenzo Jr we bonge umemsoma prezidaa wa China? 🤣
😂😂😂😂😂😹😹😹 Umesahau yanapenda kujamba hovyo huku yanacheka ili ku balance sauti ya ushuzi..!!
Vincenzo Jr we bonge umemsoma prezidaa wa China? 🤣
sio nzuri sana hiyo hali, punguza kwa ajili ya afyaWastani Mimi futi SITA na kilo 92 naupenda sana huu mwili.
Nakitambi cha wastani cha kuvalia suti
By the way nilikuaga kimbau mbau ila watu nilio somaga nao wakiniona wanasema Duniani hakunaga mtu mwembamba ☺️😊
Of course napenda huu mwili kiasi nilienda dukani au elsewhere bai inakua juu
Uchokoziiii 😃 huu wa ngumii kabisaaa.Matusi yapo kitandani hii ni misemo tu dr manyau nyau 😹😹
Bro wote tuna jua weee haji manara ni linene, sasa hapa una nisingizia ili kujifarijiSema umefanya vyema kujikubali mkuu, kuna hii ng'ombe moja Intelligent businessman ni kitufe bonge nyanya ila hapa inakandia vibonge
Nikikumbuka hili bonge lilienda kujamba pale ikulu kwetu ngachoka kabisa mm!Vobonge wanamsumbua mpaka "Mama" si wanenu tu.
Anasema unamzungumzia yeyeee?
Unamjua yeye nani?
Anaweza kukupeleka kwenye VPN ya VPN 😂😂😂
View attachment 3479467
Naona kama wanakula kama hawata kula tena mkuu, 😅Sema unatuchukuliaje ili tujue kabisa🤣🤣
NomaKaka Mimi ni bonge ila SIJAFIKIA kua kama CHIVAYO yule bonge nyanya alie alikwagwa ikulu 😃☺️😂😁
Hakitoki hicho kitambi huyo ni MGENI 😊☺️ Zaidii ni kuongezeka.........sio nzuri sana hiyo hali, punguza kwa ajili ya afya
mambo ya kuteseka na pressure, visukari sio poa
nina kakitambi ka kichokozi kale ukisimama hakaonekani ukikaa kanaonekana lakini nakichukia kama nini, napambana nacho
Wanakwambia joto, watu wa Daslam hawakosi majibuKuna watu sijui akili hawana kabisa, ni vizuri sana kuzingatia uvaaji wa kuendana na mwili wako. Watu wengi hili wanalipuuza na hupelekea kujidhalilisha.
Nilikuwa na 102 April mwaka huu. Nimepima leo nimefika 78. Unashauri niishie wapi ili BMI ikae sawa? I am 5"10Kwahiyo uzi pg3 zote hamna wakaka bonge kilo mia
Joto anasikia yeye tu sio dar nzima😂Wanakwambia joto, watu wa Daslam hawakosi majibu
Haji mwenyewe halisi sio mnene mi naanzaje kuwa chibongeBro wote tuna jua weee haji manara ni linene, sasa hapa una nisingizia ili kujifariji
😂 kukonda ghafla n tishio kwa wambeaNajiuliza hizi 92kg nikizishusha nifike 75kg(ambazo Dr kasema ndio sawa kwa urefu wangu) watasema jamaa ARV zimemkataa🤣🤣
Kwani wasio vibonge hawajambi mkuu?Nikikumbuka hili bonge lilienda kujamba pale ikulu kwetu ngachoka kabisa mm!
Mkuu naona umeamua uhamie upande wa mabwanyenye..😂Mwanaume umeshajua wewe ni mnene umejinenepea kama kiboko basi jisitiri.
Kwa nini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika makalio yote mpaka juu?
Kwa nini uvae T shirt au shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane kama umevaa kitop au ukiinama mfereji wa matako unabaki wazi ****** nje?
Unakuta jitu bonge linashindwa kuvaa vest ndani kujisitiri likiinama sega lote nje.
Ukishakuwa mnene wewe vaa vest na manguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.
Inachukiza sana kuona mwanaume kainama halafu mfereji wa matako unaonekana.
Mabonge wengi ni kama hata akili zao hazipo sawa, unakuta limeinama na mfereji wa matako upo wazi na lenyewe linaona sawa tu. Ni upuuzi na ujinga mkubwa kabisa.