munirah
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 551
- 224
Bora ununue bia baridi......kaa kwenye TV......mtizame Magufuli na Majaliwa wakishiriki usafi.......msubiri mama Neema arudi nyumbani mlale.......kwanza kushakua usiku saa hizi..........
i missed u
Bora ununue bia baridi......kaa kwenye TV......mtizame Magufuli na Majaliwa wakishiriki usafi.......msubiri mama Neema arudi nyumbani mlale.......kwanza kushakua usiku saa hizi..........
Najipenda sana mkuu.mkuu kwanini huna uwezo wa kufumania?
i missed u
Najipenda sana mkuu.
Me too........ulikwenda wapi........?......
Ww unaambiwa mkeo anagegedwa eti umechanganyikiwa umekaa nyumban ungeenda ukahakikishe maradhi mengi boya ww ataleta ukimwi nyumban
Bado nipo mzima jamani sijafa ila imeniuma sana tena sana
Ita watu wawili uende nao ili usije ukafanya maamuzi mabaya. Ila andaa kabisa taraka yake akirudi aikute
Ilikuwaje jamaa hajakata marinda mkeo vp ulifanikiwa kumuachambona nimeshatoa mrejesho ndugu zangu
wewe una matatizo ha ha ha..ushauri gani huuBora ununue bia baridi......kaa kwenye TV......mtizame Magufuli na Majaliwa wakishiriki usafi.......msubiri mama Neema arudi nyumbani mlale.......kwanza kushakua usiku saa hizi..........
wewe una matatizo ha ha ha..ushauri gani huu