Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.
Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.
Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.

unavyozidi kuchelewa huko gesti mama neema anazidi kumpa viuno jamaa wa tanesco!