Leo nisipokufa basi sifi tena

Leo nisipokufa basi sifi tena

Kufa tu huku ilemela nimeshaanza kukusanya rambirambi ndugu,badala ulete taarifa kuwa,ume msodoma mtu kwa kumfumania we unakuja kulalamika hapa dume zima?
 
Ukimuona neeema,namuonea huruma,anamjua mama anamjua baba,ilala mama yake neeema kaenda kuchepuka,najua inawezekana kw kila.aliye dunia,kwan kama mrungura wa ndani kauzoea sas anatafuta mwingine,mim nilieee au nikamfumanie
 
weka vocha ya kutosha kupata bando la mwezi, mpigie simu akipokea anza kumuuzia chai, mwambie asikate simu maana umekaribia hapo alipo, umuonye kuwa akikata simu talaka inamuhusu.
Atapanik na mawasiliano ya kiuno yatatoweka.
 
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.

Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.

Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.

Kwa ni ww upo wapi?na kama upo hapo mza kwa nn? Usiende?
 
Naona kama hii in hadithi, hivi kweli unaambia kuwa mkeo anagongwa gesti na jamaa, una muda wa kuanza kuandika hiki ktk jf kweli?sijashawishika kuamini kama kweli. Nilitegemea ungekuja baadae sana wakati mgoni wako ushampa vitasa ama umemla kiboga
 
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.

Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.

Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.
mkuu umekufa?
 
daaah jamaa alishakufa huyu....atakuwa yupo mbinguni anagawa uji .....
RIP broo maana uliamin papuchi ya mama neema ni yako pekee ulisahau kwamba kilicho chako ni nafsi yako tu.
mbele wewe, nyuma sisi
 
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.

Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.

Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.
Umeumia sana bila shaka sababu nawe huwa unachepuka,naamin wanawake wengi wanaheshimu sana ndoa sio kama sis wanaume ukiona anachepuka ujue kuna tatizo hivyo kaa nae mzungumze tatizo liko wapi mpaka kafikia kufanya ufirauni huo,msamehe bila masharti kisha maisha yaendelee yawezekana tatizo ni wewe mwenyewe
 
Kwa ni ww upo wapi?na kama upo hapo mza kwa nn? Usiende?
aende wapi tena?
toka jana usiku Mama Neema kaliwa na jamaa la TANESCO
sasa yupo home na Neema na Marehemu katengewa chai kamaliza hana la kusema
unafanya mchezo na limbwata
sasa hivi atatengewa papuchi na haina shobo atulizie maumivu
 
Ha ha huuuuu haaaaa. Jamani coment zenu tuuu zina nivunja mbavu hapa jamani.
 
Muda huu unaopoteza hapa jamaa atakua tayari alisha mwaga @WARENO
 
"Huyo mke wangu wa baadae, huyo mke wangu..mmm,..." by Maguful voice

yani hao ndo maana kuoa naona kero tu na kufa kwa haraka kabla ya muda wako kwasababu ya stress za kifamba kama hizi
 
ndiyo maana umeme hukatika hovyo hawa Tanesco wanagonga wake za watu laana hiyo!
"na walaaniwe hao Tanyechiko na watu wote tuseme ameeen!!!
 
ujanja wa kutokufa huna.

ipo siku moja tu utakufa mkuu acha porojo hapa.

Na Mungu ni mjanja kweli maana angeweka ukitaka kufa unanunua moyo wa mwingine ili uendelee kuishi matajiri wasingekufa ila maskini.

aliliona hilo mapema ndo maana kila nafsi lazima ionje mauti.

Tulia msubiri mama Neema arudi huku wewe ushaende kumsalimia huyo ndugu mgonjwa ili akija aamue mwenyewe kunyoa au kusuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom