Leo nisipokufa basi sifi tena

Leo nisipokufa basi sifi tena

Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.

Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.

Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.

Una umri gani mkuu!?
Usije kufanya maamuzi ya ajabu mkamuacha Neema kwenye simanzi na matatizo katika hii Dunia ya Leo isiyo na huruma.
Kufumania wakati mwingine sio suluhu ya matatizo katika ndoa. Tafakari yaliyomo chukua uamuzi sahihi na wa busara.
 
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.

Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.

Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.

Bro ulifanikiwa kufa au?
 
Sasa usipoenda utajuaje kama ni kweli
 
Pumzika kwa Amani Mkuu, kama vipi tuandalie siti huko...
 
Mkuu bado uko hai kweli...???!!!!
Mrejesho tafadhali.!!
 
Bora ununue bia baridi......kaa kwenye TV......mtizame Magufuli na Majaliwa wakishiriki usafi.......msubiri mama Neema arudi nyumbani mlale.......kwanza kushakua usiku saa hizi..........

hahaha Preta you bless my day today
 
Last edited by a moderator:
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.

Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.

Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.

Hivi mtu aliyefumaniwa anawezaje kupata muda wa kuandika uzi jamani km sio fix hizi!!!.
 
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.

Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.

Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.

Tutahitaji mrejesho wa hii siredi.
 
Duh!!pole sana mkuu.si unajua mijizi ya wake za watu wanavyojitahidi kufanya ufundi?nahisi saa hizi jamaa linamfanyia mama neema ile style ya mbuzi kagoma.nakushauri utulie mkuu.kuendelea kufuatilia ni kutafuta presha
 
Achana na maneno ya watu mkuu. Maneno yanavunja unyumba. Akirudi mpige busu na big hug kisha maisha yaendelee bila kusahau kuulizia hali ya mgonjwa

We kichwa yako nzima kweli ama hujui uzito wa ndoa,mimi hata angekuwa demu wangu tu ningeenda kufa na mtu sembuse mke.
 
Bado nipo mzima jamani sijafa ila imeniuma sana tena sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom